King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,489
- 96,755
Nini Mo Ibrahim?? Hata Ya Mo Dewji wampe tu.Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.
Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.
Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.
Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.