Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Hilo lilikuwa kosa kubwa sana,hupaswi kuweka utaalamu bali kufuata matakwa ya boss!Mafuru alijisahau akaongea kitaalamu.
Kwa Magufuli, KUSEMA KWELI maana yake ni KUSEMA KILE ANACHOAMINI YEYE. Hapo utakuwa salama. Ukweli ni kumsifia yeye Magufuli na serikali yake.Mafuru ni yule aliyetumbuliwa na JPM akiwa mweka hazina wa taifa kwa sababu ya kusema ukweli clouds 360 juu ya noti kupotea!
-Alisema noti imepotea kwa maamuzi ya serikali kubana matumizi!
-Akasema pesa imepotea baada ya serikali kuzilazimisha taasis kuweka fedha BOT ambako hazizai na wala haziko kwenye mzunguko!
-Akasema serikali kugharamia miradi mikubwa hivyo fedha kwenda nje kunapunguza mzunguko wa ndani!
Wakati akisema hayo,JPM alikuwa akisema waliokuwa wakilalamika juu ya kukosekana kwa noti mtaani ni wapiga dili na wavivu!
Mafuru alipotoka kwenye kipindi alikutana na barua ya kutumbuliwa!!!!!!
JPM:"Msema kweli ni mpenzi wa Mungu"!
Sasa sijui kuna ukweli mwingine unakuwa sio mpenzi wa Mungu!
Jamaa haeleweki kabisa,watu wakiusema ukweli anawatumbua!Ni bora awape muongozo kabisa!Kwa Magufuli, KUSEMA KWELI maana yake ni KUSEMA KILE ANACHOAMINI YEYE. Hapo utakuwa salama. Ukweli ni kumsifia yeye Magufuli na serikali yake.
Hahahahahaaa,walimwingiza chaka!Maprofesa wa tume za madini walimjulia wote walimpa ripoti alizotaka kuzisikia na wote wakapata vyeo, sasa makinikia na almasi imekuwa ni story
Ila watu wake watakuwa wameshajifunza kuishi naye!Unampa kile anachotaka kusikia!Hakutambua kuwa awamu hii akili unapeleka likizo kama akina kabundi, unabaki na kazi moja tu: kulamba miguu ya mkulu
Nafikiri Jiwe kwa kipindi hiki keshaelewa Mafuru alikuwa akimaanisha nini! Kuna msemo wa waswahili "masikio yakizidi kichwa...... ". Sasa waTz wanataabika kwa maamuzi ya mkemiamchumimhandisi anayejua kila kitu. Nakumbuka Bw.Alfayo Kidata alipokuwa CG wa TRA Jiwe alileta sokomoko juu ya mabenki kutozwa VAT kwenye miamala ya wateja wao akidai mzigo wa tozo utakuwa kwa mabenki wakati uhalisia mlaji wa mwisho ndiye anabebeshwa zigo la VAT na kasababisha Kidata kuingia mitini kila akifuatwa ili kuepuka kutofautiana na maamuzi ya JiweMafuru ni yule aliyetumbuliwa na JPM akiwa mweka hazina wa taifa kwa sababu ya kusema ukweli clouds 360 juu ya noti kupotea!
-Alisema noti imepotea kwa maamuzi ya serikali kubana matumizi!
-Akasema pesa imepotea baada ya serikali kuzilazimisha taasis kuweka fedha BOT ambako hazizai na wala haziko kwenye mzunguko!
-Akasema serikali kugharamia miradi mikubwa hivyo fedha kwenda nje kunapunguza mzunguko wa ndani!
Wakati akisema hayo,JPM alikuwa akisema waliokuwa wakilalamika juu ya kukosekana kwa noti mtaani ni wapiga dili na wavivu!
Mafuru alipotoka kwenye kipindi alikutana na barua ya kutumbuliwa!!!!!!
JPM:"Msema kweli ni mpenzi wa Mungu"!
Sasa sijui kuna ukweli mwingine unakuwa sio mpenzi wa Mungu!
Hivi hiyo VAT kwenye miamala iliishia wapi?Nafikiri Jiwe kwa kipindi hiki keshaelewa Mafuru alikuwa akimaanisha nini! Kuna msemo wa waswahili "masikio yakizidi kichwa...... ". Sasa waTz wanataabika kwa maamuzi ya mkemiamchumimhandisi anayejua kila kitu. Nakumbuka Bw.Alfayo Kidata alipokuwa CG wa TRA Jiwe alileta sokomoko juu ya mabenki kutozwa VAT kwenye miamala ya wateja wao akidai mzigo wa tozo utakuwa kwa mabenki wakati uhalisia mlaji wa mwisho ndiye anabebeshwa zigo la VAT na kasababisha Kidata kuingia mitini kila akifuatwa ili kuepuka kutofautiana na maamuzi ya Jiwe
Muulize Jiwe uone Kama hatujaenda kukuzika na kukusahauHivi hiyo VAT kwenye miamala iliishia wapi?
Siamini kama umeokoka maana kipindi kile uliacha ubongo kwa slow slow na Jiwe
- Kwakweli tumepata raisi ambae yuko radhi nchi iangamie lakini yeye asifiwe tu.
Niliweka waazi kuwa nimekihama chama cha mashetani.Siamini kama umeokoka maana kipindi kile uliacha ubongo kwa slow slow na Jiwe
Hahahahaaaa,ulizuka mjadala sana!Watu tulikuwa tumeandaa vibubu tuhifadhi pesa zetu!Muulize Jiwe uone Kama hatujaenda kukuzika na kukusahau
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Niliweka waazi kuwa nimekihama chama cha mashetani.