Rais Magufuli anamjenga Tundu Lissu kisiasa bila kujua!!

Ah wapi!

Hamna lolote hapo.

Tundu Lissu anajibomoa yeye mwenye pamoja na hicho chama chake kwa kuchochea ukabila.

Na Watanzania watazikataa hizo siasa za kutugawa kimakundi.

Hamuoni tu hata CHADEMA wenzie walivyo kimya kuhusu hizo tuhuma zake?

Ni kwa sababu wanajua ni uzushi tu.

Toka ukabila uhusishwe na wasukuma nakuona povu halikati,wasukuma oyee
 
Basi akae mahabusu hadi 2019 ili akitoka ashinde urais kwa asilimia 101. Hakuna haja ya kutetewa na mawakili 21.

Inaonekana wewe ndo wale kina Bashite. Mtu atakaaje mahabusu mpaka 2019? Sheria haziruhusu hata kidogo labda kwa uonevu huu wa kipuuzi anaofanya JPM kwa kukiuka KATIBAna SHERIA. Hivi unajua Nelson Mandela alikaa Jela miaka mingapi na baadaye amekuja kuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Taifa la Afrika Kusini?

Mwambia JPM atengneze hizo kesi za bandia na ushaidi wa kughushi ili awafunge wapinzani wote mpaka 2019 lakiini ajue tu kwamba ipo siku isiyo na jina kibao kitageuka kama ilivyokuwa kwa makaburu..
 
Inaonekana wewe ndo wale kina Bashite. Mtu atakaaje mahabusu mpaka 2019? Sheria haziruhusu hata kidogo labda kwa uonevu huu wa kipuuzi anaofanya JPM kwa kukiuka KATIBAna SHERIA. Hivi unajua Nelson Mandela alikaa Jela miaka mingapi na baadaye amekuja kuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Taifa la Afrika Kusini?

Mwambia JPM atengneze hizo kesi za na ushaidi wa kughushi ili awafunge wapinzani wote lakii ajue kuna siku kibao kitageuka kama ilivyokuwa kwa makaburu..
Ha ha ha, na bado unajiita mzalendo. Mzalendo wa Ufipa?
 
Mdanganyeni ili aendelee kunyea debe nyie mnalala na wake zenu nyumbani

My friend,
Hakuna mtu anayedanganywa hapa. Kwa mtu kama TL Mwanasheria maarufu anayejua sheria zote huwezi kum-fool kwa ujinga(Mkojo) kama wanaotaka kuutumia Polisi. Kwamba unamkamata mtu kwa Uchohezi halafu una mpima mkojo na baadaye unachakachua mkojo wake kwa ku-mix na madawa ya kulevya ili uweze kumshtaki kwa kosa hilo.
Huo ni ushetani ulioptiliza na siku ya Hukumu JPM na kundi lake watasimama mbele za Mungu kujibu Mashtaka haya pamoja na la Ben Saanane. Hapa duniani mtasema mko juu ya Sheria zote za Tanzania, ni sawa lakni siyo kwa Mungu.
 
Maguf
Ah wapi!

Hamna lolote hapo.

Tundu Lissu anajibomoa yeye mwenye pamoja na hicho chama chake kwa kuchochea ukabila.

Na Watanzania watazikataa hizo siasa za kutugawa kimakundi.

Hamuoni tu hata CHADEMA wenzie walivyo kimya kuhusu hizo tuhuma zake?

Ni kwa sababu wanajua ni uzushi tu.[/QUOT ] magu na lisu nani anachochea utengano katika nchi yetu, hukusikia aliyoyasema Kakonko, au ni ushabiki tu na kutafuta ukuu wa wilaya. Lisu alisema ukweli na ukweli kwa bahati mbaya rais wetu hataki kabisa kuusema
 
Inabidi wapinzani wafurahie basi maaana CCM itadorora

Sent using Jamii Forums mobile app

CCM idorore mara ngapi? Hivi kwa sasa unawasikia waze maarufu walokuwa wanaibeba CCM? Yuko wapi Kinana KM-CCM, yuko wapi Nnape, yuko wapi Mangula, yuko wapi Malecela, yuko wapi Salim Ahmed Salim ambao ni magwiji na nguzo za Siasa Tanzania? Hivi unafikiri wamenyamaza tu?? Something must be boiling inside CCM and the Boiling Point will reach at Maximum here comes 2020!!! Chama wamemkabidhi mtu aliyetoroka kutoka Mirembe na kumpa Ikulu na Umwenyekiti badala ya kuimarisha chama na kuweka sera na misingi bora ya kuendesha nchi yeye anaendeleza visasi na kukomoa watu.
Acha waisome namba.
 
You can say this one more time Mkuu.

[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]

Lissu anaweza kusimama mahakamani na kujitetea mwenyewe na kushinda kesi.
Amewahi kufanya hivyo na akashinda kesi.
Kaulize punguani wenzio pale Lumumba wakueleze.
 
Serikali ambayo hataki kukosolewa.....
Bila ya upinzan hata rais asingeweza kupata hasira za kuleta maendeleo katika nchi hii
 
Back
Top Bottom