Kwa hiyo unakubali kwamba anayeamua kwenda kijiweni huku ana uwezo wa kwenda Serena maisha yake si sawa na yule ambaye yuko kijiweni na hana hata nauli ya kufika Serena?
You feel something diferent in your heart but wajua kabisa maisha hayafanani, Mko kijiwen pamoja mwenzako anaondoka na benzi we unachapa lapa na wote mlikua mnapiga story or whatever
Kuna watu wana viwiliwili na si vichwa, vimekatwa na kuwekewa vya nazi! Nimependa andiko lakoKatika ujinga uliowah kuandikwa na huu pia unaingia kwenye top 5 ...
humu jf kama vile mtu amekatwa kichwa
Ulipokuwa unazungusha mikono na kuchagua jiwe ulikuwa unafikiri sio?Watu wamelishwa unga wa ndere...
N mwendo wa vigeregere tu hakuna kufikiri...
Kuna mshkaji alikuwa anakuja kijiweni na benzi la Ikulu. Mnapiga naye story halafu baadaye anarudi Sea View kwenda kupiga story na Mkapa.
Sikuwahi kujidanganya tunaishi maisha sawa.
Al bashir, angalia kila mmoja anakuona punguani, stop that! It is strange unaonekana kuandika ka kiingereza vizuri (maana kwa nchi zilizotawaliwa na mwingereza kujua kiingereza ni dalili kuwa umeenda shule kwa kiasi fulani) , lakini umeandika mambo ya hovyo. Eti unaishi sawa na Rais, unajua kuwa huyo ana kanisa lake pale chato! Unatoa impression kuwa ni masikini kama wewe au mimi, stop that, acha mapenzi ya kike maana mwanamke akipenda huwa haambiwi lolote na huwa hafikiriUjanja ni upi mkuu
Hili ni jukwa la Great thinker ....ukitaia kujua maana yake nenda kwenye kamusi ya kiingereza ....ujue ndo uje kuanzisha mada zenye tija....Ujanja ni upi mkuu
Al bashir, angalia kila mmoja anakuona punguani, stop that! It is strange unaonekana kuandika ka kiingereza vizuri (maana kwa nchi zilizotawaliwa na mwingereza kujua kiingereza ni dalili kuwa umeenda shule kwa kiasi fulani) , lakini umeandika mambo ya hovyo. Eti unaishi sawa na Rais, unajua kuwa huyo ana kanisa lake pale chato! Unatoa impression kuwa ni masikini kama wewe au mimi, stop that, acha mapenzi ya kike maana mwanamke akipenda huwa haambiwi lolote na huwa hafikiri

nakwambia watu wamelishwa maji ya nanii, hawafikiri tena, eti jitu linasema eti Magu anaishi maisha kama ya mleta mada, stupid huyu mtu. Limelewa , akili hakuna kufikiri kabisa. Nadhani humu JF kuna haja ya kuchagua msg /posts to read
Mh. Rais anaishi maisha ya kawaida kama tunayoishi sisi kijiji kwetu mkuu ww binafsi unaonaje kwa maoni yako ndo nilichowasilisha
Acha woga, kwa kosa lipi? Usiwe mwoga kiasi hicho,Sheria ya mtandao inakunyemelea...
Hapa siyo suala la uoga, kwanini niwe mwoga?! Nasema tu kuhusu hali halisi kuhusu andiko lako.Acha woga, kwa kosa lipi? Usiwe mwoga kiasi hicho,