Rais Magufuli amualika Rais wa Zambia kwa ziara ya siku 3

hivi mbeya hakuna ikulu ndogo?kama ipo si wangekutania mbeya tu?ili kuutangaza uwanja wa ndege wa SONGWE(SIA),na pia ingempunguzia rafiki yake gharama!!! mh!nimeropoka tu jamani,asifanye hivo.
 
kwanza katafute wenye maarifa afu uwaulize ziara ya kualikwa gharama analipa nani?ukipata jibu ndio urudi tena tuanze kujadiliana.. kuhusu wafanyabiashara wa DRC na Rwanda kuikacha bandari hadi sasa hilo kaulize kamati ya bunge iliyotembelea pale na taarifa yao kwa vyombo vya habari.. Kama Bakharesa mwenyeji anashusha mizigo yake Beira ni mfanyabishara gani kichaa kutoka nje atapitisha mzigo pale?
Usilete siasa kwenye uchumi.. tunajua usiyoyajua
Mhh, longo longo sasa zimezidi, yaani bakharesa ashushe mizigo beira kwa ajili ya biashara ya Tanzania? si kweli kule amejenga viwanda kule. Je unajua hali ya barabara toka beira hadi mpakani mwa Tanzania zikoje?,je gharama yake ni ndogo kuliko hiyo kodi iliyoko bandari ya Dar?. Labda kama hii ni porojo tu kupitisha siku.
 
Mhh, longo longo sasa zimezidi, yaani bakharesa ashushe mizigo beira kwa ajili ya biashara ya Tanzania? si kweli kule amejenga viwanda kule. Je unajua hali ya barabara toka beira hadi mpakani mwa Tanzania zikoje?,je gharama yake ni ndogo kuliko hiyo kodi iliyoko bandari ya Dar?. Labda kama hii ni porojo tu kupitisha siku.
Najua ninachokiongea narudia tena Bakharesa anashusha mizigo yake Beira na Mombasa..ambacho hukijuia mizigo mingi aliyokuwa akishusha TZ ilikuwa ni transit inakwenda kwenye nchi za Rwanda Uganda Malawi Congo DRC ambako ana viwanda na miradi mingi tu.Serikali ilipoweka VAT kwenye mizigo hiyo Bakharesa akawa wa kwanza kuhama akifuatiwa na wafanyabiashara wengine kama 100.. Unabisha nini wakati Serikali yenyewe iliwaita hao wafanyabiashara na kuwaomba warudi( hizi taarifa ziliandikwa na kutangazwa na vyombo vya habari jaribu ku google utaziona) We unadhani mkuu wa kaya kwenda kufungua Kiwanda cha vinywaji cha Bakharesa kule Vikindu ambacho kinafanya kazi ziadi ya miaka mitatu sasa ilikuwa kwa sababu gani? Tena hakikuwa na umeme muda wote huo...mzee akahidi umeme ndani ya miezi mitatu na akampa na ekari kadhaa kama mbinu ya kumlainisha.... wape salamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom