Rais Magufuli amteua Prof. Isaya Jairo kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA)

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
TAARIFA YA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU (NBAA)
IMG_20180411_153411_518.jpg
 
Matokeo ya November 2017 kwa sasa yako kwenye Pipeline.Ila kwa sasa Mh waziri wa fedha anaandaa mchakato wa kuwateuwa wajumbe wa bodi ya NBAA.
 
Alikuwa mwalumu wangu IFM kipindi nasoma masters, ni ndugu yake jairo wa hazina alitumbuliwa na Jakaya kwenye mkumbo wa Mstafa Mkulo kuwaomba rushwa taasisi za hazina kupitisha bajet
 
Back
Top Bottom