Rais Magufuli amteua Bw Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(Sera)

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango anayeshughulikia Sera.

Bwana Nduguru amateuliwa kushika nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(Sera) iliyokuwa wazi

Kabla ya uteuzi huo Bw. Ndunguru alikuwa Naibu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)

Kufuatia uteuzi huo Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Msafiri Lameck Mbibo kuwa Naibu Kamishina wa TRA

Uteuzi wa viongozi hao unaanza mara moja leo Tarehe 31/3/2019



IMG_20190331_084904.jpg
 
Kiukweli japo rais Magufuli ni mchapa kazi kweli kweli, hana cha Jumapili, Sikukuu wala siku za mapumziko, kwake kila siku ni "hapa kazi tuu", lakini ikizidi, atakosa muda wa kupumzika hivyo kugeuka a workaholic.

Ila kama ni kweli Mungu alitupa siku 6 za kufanya kazi na siku moja ya kupumzika, na kuitumia kumwabudu yeye, akitokea kiongozi mchapa kazi kweli kweli kama rais Magufuli, na akawa hana cha Jumapili Sikukuu wala siku za mapumziko, kuwafanyisha watu kazi siku za ibada na kuwafanya washindwe kumwabudu Mungu wao, ni kutenda dhambi dhidi ya wenzao.

Niliwahi kushauri humu, hata kama viongozi wetu ni wachapa kazi kiasi gani na wanakuja na mafaili ya ofisini nyumbani, nyinyi wake zao, hakikisheni mafaili hayo yasiingie chumbani.

Namkumbuka Barack Obama, licha ya kuwa rais, kuna siku yeye na familia yake wanakwenda leisure tours, anacheza golf, anakwenda beach ku swim, anakwenda McDonald's kula burger etc.

Wasaidizi wa viongozi wetu, msiwaruhusu viongozi wetu wafanye office jobs on weekends, unless it's an emergency. Viongozi wapangiwe ratiba za kupumzika leisure na socializing, kama bado wanaboreka, then wafundishwe ku develop hobbies kwa lazima, kama reading, walking, swimming, movies, kama hawawezi kabisa, basi atembelee tuu wagonjwa pale jirani na kusalimia majirani lakini Jumapili asifanye kazi za ofisi.

P
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango anayeshughulikia Sera.

Bwana Nduguru amateuliwa kushika nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(Sera) iliyokuwa wazi

Kabla ya uteuzi huo Bw. Ndunguru alikuwa Naibu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)

Kufuatia uteuzi huo Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Msafiri Lameck Mbibo kuwa Naibu Kamishina wa TRA

Uteuzi wa viongozi hao unaanza mara moja leo Tarehe 31/3/2019
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2019-03-31 at 8.56.37 AM.jpeg
    WhatsApp Image 2019-03-31 at 8.56.37 AM.jpeg
    57.7 KB · Views: 35
Mbibo!!!! Kanda ya ziwa hawawezi achwa kwenye teuzi
Nachokiona kanda ya ziwa wengi walikua ktk madaraka ya juu sana na taasisi nyingi hata kabla ya jpm hawa jamaa walikua wengi. Ungekua ukanda kama hawa watu wanatoka nje ya vitengo nyeti.Mtu unakuta alikua CEO wa shirika flani anatolewa hapo anapewa kitengo kingine, ukanda unatoka wapi?Ingekua mtu katolewa tu huko mtaani angalau tungeweza hoji

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Kiukweli rais Magufuli ni mchapa kazi kweli, hana cha Jumapili, Sikukuu na mapumziko, ni "hapa kazi tuu".

P

Paskali vipi ndugu yangu... mbona Poti hakukumbuki na mda ndo unaisha hivyo.....?

Mla mla leo ndugu yangu....ya second term yatakuja na wengine....Hebu tumia intelligensia yako....akukumbuke. After all anakujua kwa jina la kwanza...
 
Back
Top Bottom