Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Hatuko kwenye mtihani, hapa ni real world scenario.
My argument is for efficiency Logistics for logisticians, Medical Doctors for combating diseases and other medical conditions.
FULL STOP.

Mtu wa Logistics per see anaweza vipi kujua demanding trend na consumption ya madawa? anaweza ku forecats au ku hodhi dawa kulingana na uhitaji? Hio inahitaji medical personnel.
 
Kukaa miaka 5 siyo kwa sababu ya performance ni kwa sababu Ummy mwalimu alimbeba kama mbeleko. Hana performance yeyote aliyofanya. Ukitaka kujua nenda kaangalie maghala hayana dawa. Na hata barabarani je unayaona magari ya MSD yakienda ku deliver dawa wilayani?

Mkuu:
Huyu jamaa hakuna alichofanya hapo MSD zaidi ya kujisifu na ubadhilifu tu.
Hivi karibuni kumefanyika Special Financial Audits zaidi ya tatu mfululizo.
Malalamiko ya wateja yalizidi. Wateja walikuwa wanadeposit pesa zao lkn mahitaji hawapati na pesa hawarudishiwi na hazionekani sasa hao wateja waende wapi na hiyo ni taasisi ya serikali, nafikiri hicho ni chanzo kimojawapo kilicho pelekea mgogoro huo.
Inawezekana kuondoka kwake ni matokeo ya hizo Audit reports.
Hizo njozi alizo kuwa nazo za kuibadilisha MSD ni za kufikirika, ni wazi ameharibu mifumo mizuri iliyo kuwepo hapo awali ambayo imepelekea ufanisi wa MSD kushuka. Kama angeweza kuitumia mifumo aliyoikuta hapo MSD angefanikiwa sana.
Lkn tusimlaumu sana kwani uwezo wake ndipo ulipofikia ukomo, hakuwa mtu sahihi kwa kazi sahihi.
 
Mkuu:
Huyu jamaa hakuna alichofanya hapo MSD zaidi ya kujisifu na ubadhilifu tu.
Hivi karibuni kumefanyika Special Financial Audits zaidi ya mbili mfululizo.
Inawezekana kuondoka kwake ni matokeo ya hizo Audit reports.
Hizo njozi alizo kuwa nazo za kuibadilisha MSD ni za kufikirika, ni wazi ameharibu mifumo mizuri iliyo kuwepo hapo awali ambayo imepelekea ufanisi wa MSD kushuka. Kama angeweza kuitumia mifumo aliyoikuta hapo MSD angefanikiwa sana.
Lkn tusimlaumu sana kwani uwezo wake ndipo ulipofikia ukomo, hakuwa mtu sahihi kwa kazi sahihi.
Huyu tunajuwa alikuwa ni mburulla tu aliletwa pale na Salva Rweyemamu ambaye ni Interahamwe mwenzie.

MSD toka ianze haijawahi kupata CEO kiazi kama Bwanakunu. Kukaa miaka mitano ni sababu ya mahusiano yake na Ummy Mwalimu maana walikuwa wana share ngono
 
MSD ni sehemu ngumu sana kuiongoza. Tusimlaumu huyu aliyetoka maana hata watangulizi wake waliondoka katika hali kama hiyo. Tumtakie mema huyu mpya afanye kazi kwa weledi na maadili ili nchi yetu ipate kusonga mbele
 
Ila wanaharibu msd ni safu ya HR hakuna technical competent ,kuanzia mkurugenzi wa hr mjanja mjanja wa kuchomeka watu wake kikabila,kikanda kwenye vitengo, isitoshe ndo mpigaji pesa sana safari nyingi sana pia ndo kamrubuni bwanakunu akampa mwenyekiti wa tenda zote msd mchaga yule sasa likizo zake nje ya nchi kwa ma supplier kudaka chake. Menejiment yao haina competent and technical persons wapowapo tu umbea mwingi. Ummy na bodi wangeanza na huyu.hakuwa mshauri mzuri kwa dg wake. Kafukuza watu kimajungu kesi kibao mahakamani ambazo wanashindwa, tuzo za ATE anazipataga kwa robbing kupitia watu wa kujaza dodoso, hr kazi yao kuandikia watu barua Sisizo na weledi ,utafikiri imeandikwa na form one.
 
Anaitwa nani uyo HR tafadhari mkuu?
 
Hii nafasi inahitaji mtu anayejua sana idara ya usambazaji na ununuzi supply chain management na sio lazima ajue au awe mtu aliyesomea medical.
Nadhani Kwanza awe na fani ya daktari hii elimu ya supplies iwe added advantage.Kununua kitu ambacho hukijui kazi yake nalo ni tatizo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMA MSD WANTAKA IFANIKIWE INAHITAJI MABADILIKO MAKUBWA YAFUATAYO; KUONDOA HRA DIRECTOR NA MWENYEKITI WA MANUNUZI, KUONDOA WAKUU WA VITENGO WENGI AMABO WAMEWEKWA NA HUYU HRA DIRECTOR WA MSD BILA KUFUATA COMPTENCE BALI URAFIKI ILI KUANGALIA DILLS ZAO, KUMUONDOA WIZARA YA AFYA UMMY KATIKA UONGOZOI UJAO. KAMATA ACCOUNTS NA KUZIAUDITI HASA ZA WAKURUGENZI WA WAKUU WA VITENGO KUANZIA MIAKA 7 ILIYOPITA. ANGALIA MAHUSIANO YA WAKUU WA MSD , WAZIRI NA WAZABUNI HASA KATIKA KUPOKEA HONGO.
IKIPENDEZA HR HEAD NA WAKUU WA VITENGO WENGI WATOKE NJE YA MSD

Ila wanaharibu msd ni safu ya HR hakuna technical competent ,kuanzia mkurugenzi wa hr mjanja mjanja wa kuchomeka watu wake kikabila,kikanda kwenye vitengo, isitoshe ndo mpigaji pesa sana safari nyingi sana pia ndo kamrubuni bwanakunu akampa mwenyekiti wa tenda zote msd mchaga yule sasa likizo zake nje ya nchi kwa ma supplier kudaka chake. Menejiment yao haina competent and technical persons wapowapo tu umbea mwingi. Ummy na bodi wangeanza na huyu.hakuwa mshauri mzuri kwa dg wake. Kafukuza watu kimajungu kesi kibao mahakamani ambazo wanashindwa, tuzo za ATE anazipataga kwa robbing kupitia watu wa kujaza dodoso, hr kazi yao kuandikia watu barua Sisizo na weledi ,utafikiri imeandikwa na form one.
 
Anaitwa nani uyo HR tafadhari mkuu?
Hr director corporate affairs & Administration ni mtu muelevu na mtendaji mzuri toka alipotoka Tanesco Dada yetu Vick mwanri Elangwa.( Mchaga Sanya juu/mpare)

Nadhani Alipoingia Msd alikutana na mizizi ya mfumo nae akabadilika kuufuata mfumo uliopo.

Makabila haya ya kaskazini kwenye pesa na mbinu za upigaji yako vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Kwanza awe na fani ya daktari hii elimu ya supplies iwe added advantage.Kununua kitu ambacho hukijui kazi yake nalo ni tatizo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni kampuni ya usambazaji wa vitu vya Afya sio hospitali. Kama angekuwa na uzoefu wa kazi za usambazaji isingekuwa Tatizo lakini kuna tofauti kubwa sana ya uongozi wa kampuni ya usambazaji na hospitali kama muhimbili au Bugando. Ni ujuzi tofauti sana. Hii ni nafasi ambayo wangetakiwa kumtafuta mtu kutoka kwenye biashara za usambazaji. Sio lazima kila kazi to hamishe watu kazi nyingine kama hizi zingekuwa bora kuajiri manager kutoka kampuni mojawapo ya usambazaji.
 
Hr director corporate affairs & Administration ni mtu muelevu na mtendaji mzuri toka alipotoka Tanesco Dada yetu Vick mwanri Elangwa.( Mchaga Sanya juu/mpare)

Nadhani Alipoingia Msd alikutana na mizizi ya mfumo nae akabadilika kuufuata mfumo uliopo.

Makabila haya ya kaskazini kwenye pesa na mbinu za upigaji yako vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!

Pesa inabadilisha mtu sometime,kwaiyo ana kampuni zake ndio zina supply madawa na kits hapo MSD?
 
Back
Top Bottom