Rais Magufuli ampigia simu Zitto na kumtakia apone haraka

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Rais wetu ni mtu mwenye utu ni mtu wa watu na mkristo halisi leo amepigia simu Zitto Kabwe aliyepata ajali hapo jana na kumtakia maendeleo mema apone haraka aje wajenge nchi.

Pia rais amewashukuru manesi na madakari waliomtibu Zitto haraka kuwa huo ndio uzalendo halisi

Maendeleo ya vitu haya

USSR
IMG-20201007-WA0017.jpg


Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye kuwashukuru madaktari ni kama dongo kwa Zitto

Hapo anajaribu kumwonyesha kuwa pamoja na kunipinga lakini hizo Hospital nilizojenga ndio zimechangia kuokoa maisha yako.

Nimewaza tu.
 
Back
Top Bottom