Rais Magufuli amepatia jambo moja kwenye makinikia, amekosea jingine

Ile picha Rais Magufuli akipokea magari mawili ya taka kutoka kwa balozi wa Kuwait ilieleza jambo.
The president is desperate for anything he can get.

Nchi haina cash ya kujiendesha.Busara inamwambia rais kama kuna 'fimbo ya Musa na lile jabali la Meriba' basi apige chochote chaweza kutokea.

Na njia ilikuwepo tayari.
2013 Kikwete alitumia hiyo fimbo ya Musa kupiga hilo jiwe la Meriba na $20 million zikatoka. Alifanyaje?
2013 tribunal iliyoongozwa na jaji wa mahakama kuu ilitoa hukumu dhidi ya 'ukwepaji kodi' wa Barrick. Hukumu iliitaka Barrick kulipa $41.25 million kama kodi ya serikali.
Barrick ilichokisema ni kuwa, wahusika kwenye hiyo tribunal hawakuwa na uelewa juu ya tax arrangements kati ya Barrick na Serikali.
Ila, kama alama ya nia njema Barrick ikatoa $20 million kama fedha ya utangulizi kwa malipo ya kodi miaka mitatu mbele.
Take Note; Barrick haikulipa ile $41.25 million kama ruling ya tribunal ilivyotaka na maisha yakaendelea.

Kwahivyo hakuna ajabu yeyote katika hizi kelele za sasa za makinikia kwa Barrick kutoa fedha kidogo na maisha yakaendelea.

Alichokifanya Magufuli basically ni kupiga kelele kubwa zaidi ili Barrick atoe fedha nyingi zaidi.

Barrick / Acacia ni wafanyabiashara, na management ya kampuni inapimwa kwa mambo mengi ila sio kwa kushinda kesi mahakamani.
Kwahivyo , kwenye kutafuta hela, Magufuli anaweza kupata japo kidogo,ila sio hizo wanazozitaja.

ANAPOKOSEA MAGUFULI
In every war, there is enough glory for everyone. It is only a foolish general who will want to take it all for himself.

Rais Magufuli anakosea kufanya siasa za kutafuta moral high ground kwenye hili suala la Makinikia. Hawezi kuipata, sio leo wala kesho. Na haiwezekani tu kwasababu, simply, hana hiyo moral high ground na haipo kwaajili yake.

Kitu kimoja tunataka kusahau, wote tunataka kuwa bendera fuata upepo kama wabunge wa CCM.
What the president is doing is not sustainable. It is good for Mfa maji approach but, not a long term strategy to be counted upon.

Barrick/ Acacia wamewekeza around $ 3 billion - dolla billion 3.
Fedha hizi zinachangia zaidi ya robo ya exports zetu kama nchi na wachumi wanajua multiplier effect zake.
Fedha hizi kwenye uchumi wa dunia ya leo hazipatikani kirahisi. Sio kwenye mabank wala masoko ya hisa.

Tayari bei ya dhahabu imekuwa kikwazo kwenye uwekezaji wa dhahabu duniani kote kwa muda sasa. Sasa hili tatizo la 'unstable government policies' tunalojiongezea, haliendi kufanya mambo rahisi zaidi.

Magufuli akunje 'ngudo' na kusali Barrick watoe fedha kidogo ili afanye tena siasa kidogo halafu baada ya hapo akafanye mambo mengine ya maana. Makinikia kwake, kisiasa, sio nyumba nzuri ya kukaa kwa muda mrefu. Masika itaingiza maji.

Magufuli sio Sauli aliyekuja kuwa Paulo kwenye biblia kwasababu Magufuli bado ana roho ya kukomoa wapinzani wake na anaendesha serikali isiyofuata misingi ya sheria.
Magufuli hajashukiwa na roho mtakatifu kuwa mzalendo uzeeni, Magufuli hajui ni wapi apate fedha ya kuendeshea serikali. Fullstop
Naunga mkonyo hoja kwa 1,000,000%
 
Ni lini tutaachana ufukuaji wa MAKABURI ya mikataba ya makinikia ya dhahabu na kuanza kufukua makaburi ambayo bado ni mabichi ya miakataba ya gesi asilia na mafuta ya Ntwara? Lakini pia na hii ya ununuzi wa bomba dia na 'terrible teens'. Nimeshangaa kusikia wabunge wa CCM wanahoji aliyeturoga ni nani? Mchawi mkubwa wa waTanzania ni CCM.
 
Ma CCM ni majizi hakuna mfano
 
Mimi yangu ni macho tu najua jakaya aliingiaje madarakani tena kwa ule mkataba ambao ulisimamiwa na balozi mwanaidi maajar!, Na Huyu mpenda kiki kaja kuumbua wenzie wakati alikuwepo kwenye kikao cha baraza la mawaziri kuridhia mikataba ya hawa wezi! Sasa asubiri 2020 wakati hawa wezi watakapowezesha kumuondoa ikulu na hatoamini kitakachotokea

Ndoto za abunuasi

Magufuli 2020
 
U
Ile picha Rais Magufuli akipokea magari mawili ya taka kutoka kwa balozi wa Kuwait ilieleza jambo.
The president is desperate for anything he can get.

Nchi haina cash ya kujiendesha.Busara inamwambia rais kama kuna 'fimbo ya Musa na lile jabali la Meriba' basi apige chochote chaweza kutokea.

Na njia ilikuwepo tayari.
2013 Kikwete alitumia hiyo fimbo ya Musa kupiga hilo jiwe la Meriba na $20 million zikatoka. Alifanyaje?
2013 tribunal iliyoongozwa na jaji wa mahakama kuu ilitoa hukumu dhidi ya 'ukwepaji kodi' wa Barrick. Hukumu iliitaka Barrick kulipa $41.25 million kama kodi ya serikali.
Barrick ilichokisema ni kuwa, wahusika kwenye hiyo tribunal hawakuwa na uelewa juu ya tax arrangements kati ya Barrick na Serikali.
Ila, kama alama ya nia njema Barrick ikatoa $20 million kama fedha ya utangulizi kwa malipo ya kodi miaka mitatu mbele.
Take Note; Barrick haikulipa ile $41.25 million kama ruling ya tribunal ilivyotaka na maisha yakaendelea.

Kwahivyo hakuna ajabu yeyote katika hizi kelele za sasa za makinikia kwa Barrick kutoa fedha kidogo na maisha yakaendelea.

Alichokifanya Magufuli basically ni kupiga kelele kubwa zaidi ili Barrick atoe fedha nyingi zaidi.

Barrick / Acacia ni wafanyabiashara, na management ya kampuni inapimwa kwa mambo mengi ila sio kwa kushinda kesi mahakamani.
Kwahivyo , kwenye kutafuta hela, Magufuli anaweza kupata japo kidogo,ila sio hizo wanazozitaja.

ANAPOKOSEA MAGUFULI
In every war, there is enough glory for everyone. It is only a foolish general who will want to take it all for himself.

Rais Magufuli anakosea kufanya siasa za kutafuta moral high ground kwenye hili suala la Makinikia. Hawezi kuipata, sio leo wala kesho. Na haiwezekani tu kwasababu, simply, hana hiyo moral high ground na haipo kwaajili yake.

Kitu kimoja tunataka kusahau, wote tunataka kuwa bendera fuata upepo kama wabunge wa CCM.
What the president is doing is not sustainable. It is good for Mfa maji approach but, not a long term strategy to be counted upon.

Barrick/ Acacia wamewekeza around $ 3 billion - dolla billion 3.
Fedha hizi zinachangia zaidi ya robo ya exports zetu kama nchi na wachumi wanajua multiplier effect zake.
Fedha hizi kwenye uchumi wa dunia ya leo hazipatikani kirahisi. Sio kwenye mabank wala masoko ya hisa.

Tayari bei ya dhahabu imekuwa kikwazo kwenye uwekezaji wa dhahabu duniani kote kwa muda sasa. Sasa hili tatizo la 'unstable government policies' tunalojiongezea, haliendi kufanya mambo rahisi zaidi.

Magufuli akunje 'ngudo' na kusali Barrick watoe fedha kidogo ili afanye tena siasa kidogo halafu baada ya hapo akafanye mambo mengine ya maana. Makinikia kwake, kisiasa, sio nyumba nzuri ya kukaa kwa muda mrefu. Masika itaingiza maji.

Magufuli sio Sauli aliyekuja kuwa Paulo kwenye biblia kwasababu Magufuli bado ana roho ya kukomoa wapinzani wake na anaendesha serikali isiyofuata misingi ya sheria.
Magufuli hajashukiwa na roho mtakatifu kuwa mzalendo uzeeni, Magufuli hajui ni wapi apate fedha ya kuendeshea serikali. Fullstop
Una kila dalili ya ulofa kwenye hoja zako. Ikiwezekana ni bora ukae kimya kama huna la kuongea
 
Kubali kuwa hujamuelewa kwani uchambuzi wake watu kama wewe si rahisi kumbulia kitu
kubali kwamba hujaelewa nilichochangia kwani maneno yangu machache yamekufanya kushindwa kuyatafsiri kwa namna yako
 
Back
Top Bottom