Rais Magufuli amepatia jambo moja kwenye makinikia, amekosea jingine

Ile picha Rais Magufuli akipokea magari mawili ya taka kutoka kwa balozi wa Kuwait ilieleza jambo.
The president is desperate for anything he can get.

Nchi haina cash ya kujiendesha.Busara inamwambia rais kama kuna 'fimbo ya Musa na lile jabali la Meriba' basi apige chochote chaweza kutokea.

Na njia ilikuwepo tayari.
2013 Kikwete alitumia hiyo fimbo ya Musa kupiga hilo jiwe la Meriba na $20 million zikatoka. Alifanyaje?
2013 tribunal iliyoongozwa na jaji wa mahakama kuu ilitoa hukumu dhidi ya 'ukwepaji kodi' wa Barrick. Hukumu iliitaka Barrick kulipa $41.25 million kama kodi ya serikali.
Barrick ilichokisema ni kuwa, wahusika kwenye hiyo tribunal hawakuwa na uelewa juu ya tax arrangements kati ya Barrick na Serikali.
Ila, kama alama ya nia njema Barrick ikatoa $20 million kama fedha ya utangulizi kwa malipo ya kodi miaka mitatu mbele.
Take Note; Barrick haikulipa ile $41.25 million kama ruling ya tribunal ilivyotaka na maisha yakaendelea.

Kwahivyo hakuna ajabu yeyote katika hizi kelele za sasa za makinikia kwa Barrick kutoa fedha kidogo na maisha yakaendelea.

Alichokifanya Magufuli basically ni kupiga kelele kubwa zaidi ili Barrick atoe fedha nyingi zaidi.

Barrick / Acacia ni wafanyabiashara, na management ya kampuni inapimwa kwa mambo mengi ila sio kwa kushinda kesi mahakamani.
Kwahivyo , kwenye kutafuta hela, Magufuli anaweza kupata japo kidogo,ila sio hizo wanazozitaja.

ANAPOKOSEA MAGUFULI
In every war, there is enough glory for everyone. It is only a foolish general who will want to take it all for himself.

Rais Magufuli anakosea kufanya siasa za kutafuta moral high ground kwenye hili suala la Makinikia. Hawezi kuipata, sio leo wala kesho. Na haiwezekani tu kwasababu, simply, hana hiyo moral high ground na haipo kwaajili yake.

Kitu kimoja tunataka kusahau, wote tunataka kuwa bendera fuata upepo kama wabunge wa CCM.
What the president is doing is not sustainable. It is good for Mfa maji approach but, not a long term strategy to be counted upon.

Barrick/ Acacia wamewekeza around $ 3 billion - dolla billion 3.
Fedha hizi zinachangia zaidi ya robo ya exports zetu kama nchi na wachumi wanajua multiplier effect zake.
Fedha hizi kwenye uchumi wa dunia ya leo hazipatikani kirahisi. Sio kwenye mabank wala masoko ya hisa.

Tayari bei ya dhahabu imekuwa kikwazo kwenye uwekezaji wa dhahabu duniani kote kwa muda sasa. Sasa hili tatizo la 'unstable government policies' tunalojiongezea, haliendi kufanya mambo rahisi zaidi.

Magufuli akunje 'ngudo' na kusali Barrick watoe fedha kidogo ili afanye tena siasa kidogo halafu baada ya hapo akafanye mambo mengine ya maana. Makinikia kwake, kisiasa, sio nyumba nzuri ya kukaa kwa muda mrefu. Masika itaingiza maji.

Magufuli sio Sauli aliyekuja kuwa Paulo kwenye biblia kwasababu Magufuli bado ana roho ya kukomoa wapinzani wake na anaendesha serikali isiyofuata misingi ya sheria.
Magufuli hajashukiwa na roho mtakatifu kuwa mzalendo uzeeni, Magufuli hajui ni wapi apate fedha ya kuendeshea serikali. Fullstop

Ushachelewa, Nyota ya Magufuli inazidi kung'aa njoo 2025 labda, Bomboclat!
 
Hii ni hatari tunayoichekelea!!Ila itabidi busara itumike zaidi maana tribunal's ni za wazungu hivyo umakini unahitajika.
Kauli zenu hazina mashiko....na mnaonekana ni wachanga kuelewa mambo!
Kama tukiweza kuammend sheria yetu ya madini automatically na hiyo mikataka itachomoka.....
Na hata kama tukipigwa huko tribunal c tutawalipa fidia yao then ikiisha madini yanaendelea kuwa yetu.....
Na huu ni mfano ktk nchi nyingi tu ....mfano libya, venezuella, nk achane kuwakatisha watu hamasa
 
Naamini kuna mambo hauyajui na ndio maana una msimamo huu.
The second committee was the end game.
Kilichobaki ni face saving and damage control.
Yani hii fujo yote ilikuwa kelele ya mtoto kuomba pipi!
 
Ile picha Rais Magufuli akipokea magari mawili ya taka kutoka kwa balozi wa Kuwait ilieleza jambo.
The president is desperate for anything he can get.

Nchi haina cash ya kujiendesha.Busara inamwambia rais kama kuna 'fimbo ya Musa na lile jabali la Meriba' basi apige chochote chaweza kutokea.

Na njia ilikuwepo tayari.
2013 Kikwete alitumia hiyo fimbo ya Musa kupiga hilo jiwe la Meriba na $20 million zikatoka. Alifanyaje?
2013 tribunal iliyoongozwa na jaji wa mahakama kuu ilitoa hukumu dhidi ya 'ukwepaji kodi' wa Barrick. Hukumu iliitaka Barrick kulipa $41.25 million kama kodi ya serikali.
Barrick ilichokisema ni kuwa, wahusika kwenye hiyo tribunal hawakuwa na uelewa juu ya tax arrangements kati ya Barrick na Serikali.
Ila, kama alama ya nia njema Barrick ikatoa $20 million kama fedha ya utangulizi kwa malipo ya kodi miaka mitatu mbele.
Take Note; Barrick haikulipa ile $41.25 million kama ruling ya tribunal ilivyotaka na maisha yakaendelea.

Kwahivyo hakuna ajabu yeyote katika hizi kelele za sasa za makinikia kwa Barrick kutoa fedha kidogo na maisha yakaendelea.

Alichokifanya Magufuli basically ni kupiga kelele kubwa zaidi ili Barrick atoe fedha nyingi zaidi.

Barrick / Acacia ni wafanyabiashara, na management ya kampuni inapimwa kwa mambo mengi ila sio kwa kushinda kesi mahakamani.
Kwahivyo , kwenye kutafuta hela, Magufuli anaweza kupata japo kidogo,ila sio hizo wanazozitaja.

ANAPOKOSEA MAGUFULI
In every war, there is enough glory for everyone. It is only a foolish general who will want to take it all for himself.

Rais Magufuli anakosea kufanya siasa za kutafuta moral high ground kwenye hili suala la Makinikia. Hawezi kuipata, sio leo wala kesho. Na haiwezekani tu kwasababu, simply, hana hiyo moral high ground na haipo kwaajili yake.

Kitu kimoja tunataka kusahau, wote tunataka kuwa bendera fuata upepo kama wabunge wa CCM.
What the president is doing is not sustainable. It is good for Mfa maji approach but, not a long term strategy to be counted upon.

Barrick/ Acacia wamewekeza around $ 3 billion - dolla billion 3.
Fedha hizi zinachangia zaidi ya robo ya exports zetu kama nchi na wachumi wanajua multiplier effect zake.
Fedha hizi kwenye uchumi wa dunia ya leo hazipatikani kirahisi. Sio kwenye mabank wala masoko ya hisa.

Tayari bei ya dhahabu imekuwa kikwazo kwenye uwekezaji wa dhahabu duniani kote kwa muda sasa. Sasa hili tatizo la 'unstable government policies' tunalojiongezea, haliendi kufanya mambo rahisi zaidi.

Magufuli akunje 'ngudo' na kusali Barrick watoe fedha kidogo ili afanye tena siasa kidogo halafu baada ya hapo akafanye mambo mengine ya maana. Makinikia kwake, kisiasa, sio nyumba nzuri ya kukaa kwa muda mrefu. Masika itaingiza maji.

Magufuli sio Sauli aliyekuja kuwa Paulo kwenye biblia kwasababu Magufuli bado ana roho ya kukomoa wapinzani wake na anaendesha serikali isiyofuata misingi ya sheria.
Magufuli hajashukiwa na roho mtakatifu kuwa mzalendo uzeeni, Magufuli hajui ni wapi apate fedha ya kuendeshea serikali. Fullstop
Ile picha Rais Magufuli akipokea magari mawili ya taka kutoka kwa balozi wa Kuwait ilieleza jambo.
The president is desperate for anything he can get.

Nchi haina cash ya kujiendesha.Busara inamwambia rais kama kuna 'fimbo ya Musa na lile jabali la Meriba' basi apige chochote chaweza kutokea.

Na njia ilikuwepo tayari.
2013 Kikwete alitumia hiyo fimbo ya Musa kupiga hilo jiwe la Meriba na $20 million zikatoka. Alifanyaje?
2013 tribunal iliyoongozwa na jaji wa mahakama kuu ilitoa hukumu dhidi ya 'ukwepaji kodi' wa Barrick. Hukumu iliitaka Barrick kulipa $41.25 million kama kodi ya serikali.
Barrick ilichokisema ni kuwa, wahusika kwenye hiyo tribunal hawakuwa na uelewa juu ya tax arrangements kati ya Barrick na Serikali.
Ila, kama alama ya nia njema Barrick ikatoa $20 million kama fedha ya utangulizi kwa malipo ya kodi miaka mitatu mbele.
Take Note; Barrick haikulipa ile $41.25 million kama ruling ya tribunal ilivyotaka na maisha yakaendelea.

Kwahivyo hakuna ajabu yeyote katika hizi kelele za sasa za makinikia kwa Barrick kutoa fedha kidogo na maisha yakaendelea.

Alichokifanya Magufuli basically ni kupiga kelele kubwa zaidi ili Barrick atoe fedha nyingi zaidi.

Barrick / Acacia ni wafanyabiashara, na management ya kampuni inapimwa kwa mambo mengi ila sio kwa kushinda kesi mahakamani.
Kwahivyo , kwenye kutafuta hela, Magufuli anaweza kupata japo kidogo,ila sio hizo wanazozitaja.

ANAPOKOSEA MAGUFULI
In every war, there is enough glory for everyone. It is only a foolish general who will want to take it all for himself.

Rais Magufuli anakosea kufanya siasa za kutafuta moral high ground kwenye hili suala la Makinikia. Hawezi kuipata, sio leo wala kesho. Na haiwezekani tu kwasababu, simply, hana hiyo moral high ground na haipo kwaajili yake.

Kitu kimoja tunataka kusahau, wote tunataka kuwa bendera fuata upepo kama wabunge wa CCM.
What the president is doing is not sustainable. It is good for Mfa maji approach but, not a long term strategy to be counted upon.

Barrick/ Acacia wamewekeza around $ 3 billion - dolla billion 3.
Fedha hizi zinachangia zaidi ya robo ya exports zetu kama nchi na wachumi wanajua multiplier effect zake.
Fedha hizi kwenye uchumi wa dunia ya leo hazipatikani kirahisi. Sio kwenye mabank wala masoko ya hisa.

Tayari bei ya dhahabu imekuwa kikwazo kwenye uwekezaji wa dhahabu duniani kote kwa muda sasa. Sasa hili tatizo la 'unstable government policies' tunalojiongezea, haliendi kufanya mambo rahisi zaidi.

Magufuli akunje 'ngudo' na kusali Barrick watoe fedha kidogo ili afanye tena siasa kidogo halafu baada ya hapo akafanye mambo mengine ya maana. Makinikia kwake, kisiasa, sio nyumba nzuri ya kukaa kwa muda mrefu. Masika itaingiza maji.

Magufuli sio Sauli aliyekuja kuwa Paulo kwenye biblia kwasababu Magufuli bado ana roho ya kukomoa wapinzani wake na anaendesha serikali isiyofuata misingi ya sheria.
Magufuli hajashukiwa na roho mtakatifu kuwa mzalendo uzeeni, Magufuli hajui ni wapi apate fedha ya kuendeshea serikali. Fullstop
Mimi yangu ni macho tu najua jakaya aliingiaje madarakani tena kwa ule mkataba ambao ulisimamiwa na balozi mwanaidi maajar!, Na Huyu mpenda kiki kaja kuumbua wenzie wakati alikuwepo kwenye kikao cha baraza la mawaziri kuridhia mikataba ya hawa wezi! Sasa asubiri 2020 wakati hawa wezi watakapowezesha kumuondoa ikulu na hatoamini kitakachotokea
 
Magu alitafuta huruma ya Watanzania ili 2020 ashinde tena
Na ndio sabbau ya kuita watu kutoka mikoani
Wakuu wa Mikoa sikuona sababu ya wao kuwa pale
Wasanii
etc
 
Bado hajajua kwenye ukumbi kiti chake kiko wapi,ila wazungu watamuonyesha mapematu najua.
 
Ila tatizo kapata wajinga wengi kila mtu sasa anamuona Lissu mbaya
kwenye daladala huko watu wanamsifia sana. mara MD wa Acacia kakimbia
Uelewa wa Watanznia uko chini sana ana ndio maana magu katuchezea hivi siku ya jana

Kampuni haina leseni ila inalipa kodi kupitia hilo jina
Imesajiliwa DSE

Hajawazuia kuchimba ila Makanikia hawatasafirisha hadi wakubaliane malipo
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
Ila tatizo kapata wajinga wengi kila mtu sasa anamuona Lissu mbaya
kwenye daladala huko watu wanamsifia sana. mara MD wa Acacia kakimbia
Uelewa wa Watanznia uko chini sana ana ndio maana magu katuchezea hivi siku ya jana

Kampuni haina leseni ila inalipa kodi kupitia hilo jina
Imesajiliwa DSE

Hajawazuia kuchimba ila Makanikia hawatasafirisha hadi wakubaliane malipo
Njoo hapa wiki moja mbele uone kwamba hii ni nyimbo kama ile ya darasa.
 
Wapinzani waliyasema hayo ya madini has a mh.zitto alisema weeee lakini waliishia kuzomewa na has a Vito maalum Leo kwa kuwa lemesemwa na ccm limepakwa asali .tunapaswa kutambua kwamba nchi ni yetu site maslahi ni ya watawala si ya walipakodi sisi
 
Back
Top Bottom