Magufuli aliingia kwa mbwembwe na dharau ikulu akifikiri kwamba anajua kila kitu na anaweza fanya kila kitu bila waliomtangulia.
Amekua akiwadhihaki na kuwakejeli hadharani bila kulinda utu wao na heshima waliyoitengeza kwa jasho, sasa Magufuli ameona siku zinavyozidi kwenda, anazidi kupoteza mvuto ambao alikua anautengeneza kwa kudhalilisha waliomtangulia bila kujua walifanyaje wakadumu Magogoni miaka (10)
Magufuli amejua hana sifa tena yakuendelea kutawala, amejua 2020 either chama kisimchague na akipitishwa, anahukumiwa na wananchi, sasa akijua nguvu aliyonayo mama Salma anaamua kumtumia ili amvushe tena 2020.
Watanzania huu ni unafiki uliopitiza, na Magufuli hana nia nzuri na hii nchi tukifanya kosa tukampa awamu ya pili haitakua tu (mwafaaa) itakua (kufeni kabisa)
Kampeni zimeanza na Magufuli hana jinsi yoyote ta kuwashawishi watanzania kwani, Tanzania ya viwanda haitakuwepo, waalimu wataendelea kuwa duni, elimu itakua mbovu zaidi ya 1960, mishahara ya wafanyakazi isipokua ya jeshi tu mingine itakua duni kabisa, biashara nyingi zitakua zimekufa, sasa anajihami kwa kuandaa watu Wa kumpigia tena kampeni.
Tushikamane wote tumwambie Magufuli tunataka uchumi Wa viwanda, Elimu bora, Ajira serikalini, mazingira bora ya kufanyia biashara, masoko, bila hivyo lazima pamoja na ujanja anaotumia sasa, lazima tummalize 2020.
Tukifanya kosa akapita tena hali ya sasa itakua mbaya Mara mia moja, kama huamini? tujaribu tuone