Rais Magufuli ameleta socialist nirvana

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,449
Tokea Magufuli alivyoingia Ikulu Watanzania wamefarijika na wamefaidika.
Juhudi zilizofanyika kuwathibiti wakwepa kodi, mafisadi, wala rushwa, wazembe: hii ndio ilikuwa ndoto ya Watanzania siku nyingi.

Sasa Magufuli ameingia madarakani anatekeleza mambo haya. Bado zipo changamoto za kuleta harmony ndani ya nchi na harmony kati yetu na majirani.
Lakini Watanzania tusishindwe and let us make quarrelling history.

Tuishi kwa a man I from now and forever more.
 
Tokea Magufuli alivyoingia Ikulu Watanzania wamefarijika na wamefaidika.
Juhudi zilizofanyika kuwathibiti wakwepa kodi, mafisadi, wala rushwa. wazembe: hii ndio ilikuwa ndoto ya Watanzania siku nyingi.
Sasa Magufuli ameingia madarakani anatekeleza msmbo haya.
Bado zipo changamoto za kuleta harmony ndani ya nchi na harmony kati yetu na majirani.
Lakini Watanzania tudishindwe and let us make quarrelling history.

Hakuna amani bila haki.Hakuna Maendeleo bila Uhuru. Ufisadi na Rushwa kwa sasa ni kubwa mno kuliko kipindi cha JK.Na tunatarajia wizi mkubwa mno kuliko enzi za Mkapa.Na kama ndiyo hii unaiita siasa safi na Uongozi bora basi siyo Kama niipende CCM pamoja na Uongozi wake toka TANU mpaka leo
 
Yaani mbali na kutembelea nyota ya mzee Nyerere(RIP)

Wengi wa wana familia yake wameshindwa "kuvaa" viatu vyake.

Wengine wameongeza "ma" ili ziwe Nyerere nyingi

Wamebaki kujiita "familia ya mwalimu"
 
Hukusikia mauaji ya vikongwe kwa tuhuma za uchawi yamepungua asilimia 50 mwaka Jana. Huo so ushindi kwa Magufuli? Hiyo siyo nirvana?
 
Hakuna amani bila haki.Hakuna Maendeleo bila Uhuru. Ufisadi na Rushwa kwa sasa ni kubwa mno kuliko kipindi cha JK.Na tunatarajia wizi mkubwa mno kuliko enzi za Mkapa.Na kama ndiyo hii unaiita siasa safi na Uongozi bora basi siyo Kama niipende CCM pamoja na Uongozi wake toka TANU mpaka leo
Haki ipi unayoitaka wewe?? Ya kunya barabarani??
 
hivi kuna watu bado wanawaza maujinga ya socialism at this age! katika mambo yaliyotuchelewesha watanzania kimaendeleo basi ni ile miaka 25 ya awamu ya kwanza ya ujamaa
 
Hukusikia mauaji ya vikongwe kwa tuhuma za uchawi yamepungua asilimia 50 mwaka Jana. Huo so ushindi kwa Magufuli? Hiyo siyo nirvana?
Magufuli amefanya nini kudhibiti mauaji hayo ya albino na Vikongwe? Sijawahi kusikia japo akiinua mdomo wake kukemea!! Magufuli hana lolote la kujivunia kuhusiana na vita dhidi ya mauaji ya Albino na wazee!! Acha kumdhihaki!!
 
Bora ungekaa kimya tu kuliko kutuandika vitu ambavyo havina uhalisia na havipo nchini!

[HASHTAG]#Bukusaba[/HASHTAG] inafanya kazi
 
Hakuna amani bila haki.Hakuna Maendeleo bila Uhuru. Ufisadi na Rushwa kwa sasa ni kubwa mno kuliko kipindi cha JK.Na tunatarajia wizi mkubwa mno kuliko enzi za Mkapa.Na kama ndiyo hii unaiita siasa safi na Uongozi bora basi siyo Kama niipende CCM pamoja na Uongozi wake toka TANU mpaka leo

"Usiongee sana wakati hujui chochote." - Mimi mwenyemwe
 
Kuna wapuuzi sana pesa za rambi rambi za wajane huko Kagera zimeliwa, wabunge wa CCM kuhongwa milioni 10 kila mbunge wapitishe muswada wa habari kweli raisi anahitaji pongezi kubwa sana
 
Tokea Magufuli alivyoingia Ikulu Watanzania wamefarijika na wamefaidika.
Juhudi zilizofanyika kuwathibiti wakwepa kodi, mafisadi, wala rushwa. wazembe: hii ndio ilikuwa ndoto ya Watanzania siku nyingi.
Sasa Magufuli ameingia madarakani anatekeleza msmbo haya.
Bado zipo changamoto za kuleta harmony ndani ya nchi na harmony kati yetu na majirani.
Lakini Watanzania tudishindwe and let us make quarrelling history.
Tuishi kwa a man I from now and forever more.
Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom