Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,913
“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”
Hii laana itatutafuna vizazi na vizazi, aliyeelewa hapo anipe mwongozo
Hii laana itatutafuna vizazi na vizazi, aliyeelewa hapo anipe mwongozo