Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aliwahi kusema kuwa wapinzani hawana ilani, leo ameanza kutaja kurasa za ilani ya CHADEMA na kuzitolea ufafanuzi (Soma hapa)

“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”

Hii laana itatutafuna vizazi na vizazi, aliyeelewa hapo anipe mwongozo
 
Mkuu, huo ni upumbavu wa Hali ya juu zaidi kupita hata udicteta

Na ndio maana hata hawasemi hii Kwa watu, wanatangaza habari za majimbo bila kubainisha ugawaji wa rasilima zetu

Na ndio maana Mbeligiji anapewa nguvu na sapoti nyingi Sana na Mabeberu, kumbe wameahidiwa kupewa madini yetu Bondi?

Hiyo Sera itawapeleka wananchi wengi kabrini na ndio Furaha ya Mabeberu, tuataona!
 
ila hili komeo bana...eti.."....wataweka rehani hata wake zetu..." yani yy mda wote anawaza Chezo tu
 
Issue hapo ni dhamana sio pesa unayochukua!!
Kuweka ardhi yenye madini au gesi kuwa dhamana hilo ndilo tunapinga
Kwani mikataba ya madini ambayo ipo unaijua, tofauti yake na kuweka dhamana ni kuwa wanalipa hela baada ya kukata percent, kuna wamiliki wa migodi wanamikataba inaisha miaka sitini ijayo.

Mbona uhumiii moyo wanakaa miaka mingi (chadema wanataka wapate chao mapema wafanye maendelea

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo safi, kuliko kukopa bora uweke bondi mgodi, uchukue pesa ambayo uliyltakiwa uipate miaka 100/miamoja ijayo, tanzania itakuwa kama ulaya

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Hata sasa si tumeweka migodi yote dhamana kwa jina la wawekezaji?Nani anachimba Almasi pale Mwadui?Nani anachimba Natural Gas yetu Songo songo?Tusiwapotoshe Wananchi wenzetu kwa kuwajaza hofu ya vitu vilivyokwisha uzwa kitambo!
 
Back
Top Bottom