technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,648
- 58,455
- Thread starter
-
- #81
We ndio unaonekana ulisoma bureNa wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nadhan miaka hiyo hakukuwa na kukopeshana,ilikuwa watu wanasomeshwa bure na mzee Nyerere,by then maisha yalikuwa matamu sana kwa wasomi wa miaka hiyo...............
hahahaaaaKupambana na Wanasiasa ni Kupoteza Muda!
Well said mkuu ....Elimu zamani haikuwa bure, ni kodi za wananchi iliyokuwa inatumiwa vizuri na serikali kugharimia elimu. Leo kapu la kodi zetu halina mwangalizi, limetoboka kia cent tunayolipa kama kodi inapenya na chini kuna mabakuli ya wajanja. Kwamba sasa idadi ya wanafunzi ni wengi haina mashiko. Idadi hiyo inaendana na idadi ya ongezeko la watu, ongezeko la kodi. Leo budget ni trilions, zamani ilikuwa in milions na kisha ikaingia billions. Tofauti ni vipaumbele. Mishahara na malupulupu ya wafanya kazi yanaifyeka kodi yetu. Watumishi wanakwapua, kama sio nenda ofisi yoyote uond magari yalivyopangana. Ukijumlisha na ufisadi ndio unafunga namba.
Mkuu usijaribu kumtetea alieweka bandiko utajiaibisha pamoja nae. Yeye kaweka bandiko bila kutafiti sheria ya mikopo ya elimu ya juu iliyopelekea kuanzishwa kwa bodi ya mikopo. Ameandika kama mtoto, sheria haiwahusu waliosoma miaka hiyo aliyosoma Mh. Magufuli.Umesoma bandiko lake lote na jinsi alivyohitimisha au mumekaririshwa kubweka bweka tu kama vijibwa koko?
We vipi acha utoto soma bandiko language kwa makini .....Mkuu usijaribu kumtetea alieweka bandiko utajiaibisha pamoja nae. Yeye kaweka bandiko bila kutafiti sheria ya mikopo ya elimu ya juu iliyopelekea kuanzishwa kwa bodi ya mikopo. Ameandika kama mtoto, sheria haiwahusu waliosoma miaka hiyo aliyosoma Mh. Magufuli.
Kupambana na Wanasiasa ni Kupoteza Muda!
Ulikuwa unajaribu kutafuta kosa la JPM ili umshambulie lakini kwa kosa ili umechemsha mkuu. Tafuta jingine maana kusema ukweli yeye ni binaadamu hivyo anayo makosa kibao tu lakini sio hili la mikopo. Jipange kikubwa katafute makosa yake mengine.We vipi acha utoto soma bandiko language kwa makini .....
Tatizo wewe ndiye mtoto hoja yangu ipo wazi ....
Acha utoto kama uwezi changia unapita tu kuwanyima wanafunzi mkopo wakati wewe ulisoma bure ni kumshambulia?Ulikuwa unajaribu kutafuta kosa la JPM ili umshambulie lakini kwa kosa ili umechemsha mkuu. Tafuta jingine maana kusema ukweli yeye ni binaadamu hivyo anayo makosa kibao tu lakini sio hili la mikopo. Jipange kikubwa katafute makosa yake mengine.
Mkuu kuna watu wana roho mbaya nchi hii huyu ni namba moja!! Na ndiye kapewa mamlakaMkuu lazima tupambane nao hawa au kukaa kimya itakula kwetu na nchi kuangamia Mkuu. Mfano tunalipa bilioni 900 kwa deni la Taifa na makusanyo kwa mwezi ni Trilioni 1.33. Hawajali wanaendelea kukopa tu jambo kama hili lazima tulikemee Mkuu vinginevyo Tanzania yetu itaangamizwa na hawa wanasiasa uchwara.
Wakuu
Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.
Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.
Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?
Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?
Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Hapo ndipo unaiona langi harisi ya mwanasiasaMkuu alishasema tufyatue watoto serikali itawasomesha. Ha ha ha...Wanasiasa buana...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sio hoja na idadi ya pesa iliyokuwa ikikusanywa uwezi linganisha na sasaKUMBUKA IDADI YA WATU WALIOKUWA WANAPATA NAFASI ZA KUSOMA UKILINGANISHA NA SASA
Zamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Na wewe itabidi ufanye utafiti kwanza pesa zilizokuwa zikikusanywa mwaka 1980 na TRA ni ngapi na sasa ni ngapiInabidi ufanye utafiti kwamba watu waliokuwa wanakwenda sekondari na vyuo walikuwa wangapi wakati wa Nyerere, ukipata hesabu ufanye tathmini kama serikali ya leo ingeshindwa kusomesha idadi hiyo bure.
SijawaiHivi umewah kusomesha au wew unaon raha kuandika hivyo
unaweza kuwa na hoja,lakini vipi hili ya kumuandalia mtoto wako elimu bora mapema?kwani watu wengi hili wamekuwa ama hawalifahamu au wanalipuuzia kwa kutegemea kuwa kuna hii mikopo ya elimu ya juu,narudia nadhani kuna haja sasa ya watu wakafunguka na kuona hakuna haja tena ya kuendelea kulia lia ila wajipange wenyewe kubeba mizigo yao mapema ,wewe unapata mtoto elo hii jaribu kupiga picha ya miaka 20 25 mbele ya mtoto wako na changamoto za ukuaji wake ,anza utaratibu wa kumuwekea akiba yake ya pesa za masomo ya baadaye ili mwisho wa siku inapofika katika hali kama hii unaondokana na aibu ya kulia liaChuo kikuu kuna gharama zinaongezeka kama accomodation na gharama nyingine tofauti na level hizo za chini na ukitoa hilo wazazi wengi wanakuwa na umri mkubwa na ni wakati muaafaka wa mtu kuanza kujiandaa na retirement ndo mana wazazi wengi wanaomba relief wapunguziwe hii burden.
Ukiendeleza argument kama hii you are eithier too young or too dumb