Rais Magufuli alisomaje chuo kikuu?

Yamebadilika vipi wakati maisha ya watu yako pale pale hospital kwanini hakuna dawa kama tunalipia?

Ajira mbona hakuna kama vyoo tu unalipia?
 
Zamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Mbona Gadaffi aliweza kule Libya? usipende kutetea vitu visivyofaa, hivi hayo mabillioni yanayopotea kila siku kupitia hizi kashfa kama za RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, ESCROW nk. kama zisingekuwepo hizo fedha zisingesaidia kusomesha vijana bure? angalia bandarini, TRA viwanja vya ndege, mbuga za wanyama watu wanaiba tu lakini hakuna kilichofanyika kudhibiti hali hiyo.leo hii mikataba wa gesi, madini hata hatuijui na ni wazi hapo tunachoambulia ni vi% vichache tu huku kiasi kikubwa kikienda kwa hao wawekezaji na hao waliowauzia na familia zao.
 
Libya ina wakazi milioni tano.. tanzani ina wakazi milioni hamsini...
 
Watakuja hapa kukwambia enzi za mwalimu wasomi walikuwa wachache
Wameshasema na nimemuuliza wasomi laki moja wa vyuo ndio wengi?

Pia nikamuuliza mapato yanaongezeka au yanapungua?

Amekimbia wala sijamuona tena kuna watu wanafiki kweli nchi hii
 
Walikua wansoma bure bt mtaani kwenu ni wanafunzi wangapi walikua wanasoma chuo kikuu na sekondari. Hata sasa hivi kama watu wachache vile watakua ndo wanaosoma hakuna serikali duniani itashindwa kuwasomesha.
Ndio maana kuna baadhi ya fani wanafunzi wanasomeshwa kwa ruzuku au bureeee
 
Zamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Hii ni kisingizio tu!Kwani idadi ya watu ikiongezeka na kipato si kinaongezeka?Mi nachoona ni ubinafsi tu na uchoyo wa walionacho.Watu wamejaa roho mbaya tuu
 
Kuna
Kuna mtu alisema atatoa elimu bure hadi chuo kikuu hamkumchagua. Magufuli alisema elimu bure hadi form four. Hiyo ya chuo kikuu haikuwa sera yake. Kumchagua Magufuli maana yake mlikubali sera ya elimu bure hadi form four. Sasa hivi naona mnamwonea tu raisi wangu. Hiyo haikuwa sera yake. Mwacheni apige kazi. Wacha tuendelee kuisoma namba maana tulizoea dezo!!!!
 
Watu ni wagumu sana kuelewa wanafunzi waliokua wanasoma yaani darasa la watu 60 anachaguliwa mmoja au hachaguliwi hata mmoja kata nzima wanafunzi wawili kwamba watu walikua wachache so ukichukua asilimia ya walikua wanasoma wakati huo na sasa dhidi ya population bado unapata jibu wengi Hawakusoma kwa kukosa fedha kungekua na sehemu ya kukopa wangekopa wasome
 
Na mapato walikuwa kiasi gani?
Miaka hiyo?..

Au unafikiri nyerere alikuwa mjinga kuwapikia wanafunzi vyuoni?
 
Nleta mada bana,sasa iishu ya kulipa nkopo bodii si inatemegea ntu na ntu. Bhaaa.....!!
 
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nadhan miaka hiyo hakukuwa na kukopeshana,ilikuwa watu wanasomeshwa bure na mzee Nyerere,by then maisha yalikuwa matamu sana kwa wasomi wa miaka hiyo...............
 
Bora hata uwape watu elimu hata uwanyime vitu vingine
 
Na kweli akili zako ni TATU
1 Bange
2 viroba
3 ugoro
 
Bora hata uwape watu elimu hata uwanyime vitu vingine
Sawa mkuu lakini huyu alituambia mapema kwamba yeye bure hadi kidato cha nne. Tukimwambia sasa hivi chuo kikuu bure tunamwonea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…