Rais Magufuli aliipokea CCM ikiwa hoi bin taabani (2015)

Nakumbuka 2015 tulikua na Chagua Magufuli sio chagua CCM kwasababu CCM ilikua haiaminiki tena.
Umenena vyema. Leo hao waliokuwa hawaaminiki Rais Magufuli amefanya wakaaminika wameanza kumporomoshea matusi na kejeli!!! Mungu akupe moyo mkuu Rais Magufuli. Uwe kama baba wa yule mwanampotevu ktk Biblia.

Queen Esther
 
Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.

Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.

Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.

Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!

Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.

Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.

Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.

Queen Esther
Ccm kama ilikuwa hoi ni nani walioivusha mpaka ikashinda uchaguzi wa 2015?
 
Umenena vyema. Leo hao waliokuwa hawaaminiki Rais Magufuli amefanya wakaaminika wameanza kumporomoshea matusi na kejeli!!! Mungu akupe moyo mkuu Rais Magufuli. Uwe kama baba wa yule mwanampotevu ktk Biblia.

Queen Esther

Acha kumfananisha baba wa mwana mpotevu na magufuli wewe! Ungemlinganisha huyo mzee na baba wa makonda, musiba, Ali Hapi, ole sabaya nani sijui yule, nk, ningekupongeza sasa hivi.
 
Back
Top Bottom