Rais Magufuli aliipokea CCM ikiwa hoi bin taabani (2015)

Queen Esther

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
2,194
1,416
Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.

Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.

Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.

Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!

Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.

Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.

Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.

Queen Esther
 
Hiyo CCM ni tatizo lenu wana CCM.
Magufuli ndio mpango mzima.

Mabaya anayo lakini hayazidi mazuri anayo yatenda kuleta mabadiliko ya kweli ktk maendeleo ya nchi.

Jembe letu hilo 2020 tunampa kura tena. Akikosea tunamkosoa, dhambi kuto kukosoa yale mabaya yake. Mbaya kumkwamisha asifanikiwe kufanya majukumu yake sawia.

Kuna kukosoa na kumkwamisha mtu, maneno hayo yana tofauti kubwa.
 
Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.

Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.

Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.

Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!

Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.

Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.

Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.

Queen Esther
Ila inasikitisha sana kijana kama Nape kumtukana mtu mzima ka baba yake Dr Magufuli, tena anamzidi umri, elimu na mamlaka. Nape kuna pahala malezi hayakuwa sawa.
 
Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.

Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.

Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.

Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!

Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.

Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.

Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.

Queen Esther
Kama aliipokea ukiwa hoi bin taaban ,ilimpitisha vipi mpaka kuwa dikteta uchwara 2015 kwenye uchaguzi mkuu .Lumumba mtatunga ngonjera za kila aina ili kumbadili shetani awe malaika ,haya semeni musiba kashushwa na mungu kuwa mtetezi wa Yona a.k.a Jiwe .
 
Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.

Wewe ni fu...ck..n shit!!kivip?huyu mpiga risasi na kukataza democracy ktk ulimwengu wa sasa????!!!wha hell are you writing niga?
Katafakar kwanza ndo uje.Umeona hali za watu sasa huko mtaani zilivyo mbaya?Mungu atawahukumu
 
Na Mungu atazidi kuwa nawe! Katika maisha wapo watakaokudharau na watakaokuheshimu, kejeli ,chuki na matusi mengine yanayolenga kukwamisha juhudi za kufikia malengo huwa hakuna namna bali kuzichukulia kama daraja la kufikia huko!

Huyu ni Rais na binafs ananikosha sana kwenye ziara hana makuu, ana upendo na kwakweli anasaidia sana nje ya kasoro za kibinadamu lakn kwakweli Magufuli Mungu azidi kuwa karibu na wewe! Wapo uliowaumiza ili kundi kubwa la watanzania lipone!

Nionapo unayoyafanya Magufuli nakumbuka historia ya nchi za ulaya enzi za utawala wa kifalme uliokuwa wa kimabavu ambapo tabaka la chini lilinyonywa na kuteswa kwa kulipizwa kodi na kutumikishwa !! Nikuonapo baba naona picha inakuja kipindi kile cha " watopianist" walivyokua wanaamini kwamba siku moja Tabaka tawala litawasikiliza na kuwajali ! Namkumbuka Robert Owen , Engels, Charles na Kina Karl Marx bila kusahau Luddism na chartism !! Leo kama ilivyokuwa kwao karne zile unabii umekamilika kwenye nchi ya ulimwengu wa tatu!!

Utasemwa , utaitwa majina yote ,na kupewa kila lililobaya lakini Mungu yu pamoja nawe! Tunajua changamoto bado zipo lakn hakuna kitu muhimu sana duniani kama "upendo" na "utu"

Hebu fikiria wafungwa hapo jana? Hata kama hujawatoa jela lakn jana umepeleka tiba na kuwajaza matumaini watz wenzetu, tizama kina mama unaowasaidia hata kama wangekuwa wawili lakn kumbuka baraka zake ni matilioni! Ajira ni tatizo lakn kwa haya unayoyafanya ipo siku moja historia itasema!

Mungu akutie nguvu! Acha wakuseme lakn huo ndio ushindi kwako! Sioni haya kukusemea na kukutetea maana wewe unastahili, sina chembe ya kumumunya maneno kwamba Magufuli mungu akulinde na mengi ya kuandika lakn sina hakika kama tutapata Rais kama wewe
 
Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.

Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.

Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.

Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!

Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.

Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.

Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.

Queen Esther
Wacha ukauzuu hebu ondoweni zuio la kufanya siasa muone mnajitekenya na kucheka hamna chama hapo pana maslahi tuu
Polepole bashiru wameijua lini ccm??
 
Wacha ujinga wewe! ccm ni ile ile ya wahuni, majizi, mafisadi na waongo wa kutupa na WAUAJI pia.

Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.

Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.

Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.

Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!

Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.

Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.

Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.

Queen Esther
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom