Rais Magufuli aliipokea CCM ikiwa hoi bin taabani (2015)

Ndugu Esther,

Mtu kama sio muungwana hua anasahau upesi sana.

Alipochaguliwa ndugu kinana kuwa KM wa CCM, chama kilikuwa na hali gani.

Jee tumesahau yeye na Nape walipotumia miaka miwili kutembea nchi nzima kila kitongoji kukifufua chama, kazi iliyowarudishia imani wananchi, wakati huo Mheshimiwa Magufuli akiwa waziri na anakula bata kwa mrija.
Jee tumesahau walivyofanya kampeni za ajabu na kuhamasisha wapiga kura wamchagua Mheshimiwa Magufuli.

Mbona tunakuwa wasahaulifu kama mzazi. Na wanafiki.

Tuwe wakweli na wapenda haki.
 
Waweke level ground waone kama anapendwa. Mnaogopa sana yanayoendelea yajayo yanafurahisha
 
Ndugu Esther,

Mtu kama sio muungwana hua anasahau upesi sana.

Alipochaguliwa ndugu kinana kuwa KM wa CCM, chama kilikuwa na hali gani.

Jee tumesahau yeye na Nape walipotumia miaka miwili kutembea nchi nzima kila kitongoji kukifufua chama, kazi iliyowarudishia imani wananchi, wakati huo Mheshimiwa Magufuli akiwa waziri na anakula bata kwa mrija.
Jee tumesahau walivyofanya kampeni za ajabu na kuhamasisha wapiga kura wamchagua Mheshimiwa Magufuli.

Mbona tunakuwa wasahaulifu kama mzazi. Na wanafiki.

Tuwe wakweli na wapenda haki.

Unafikiri hawajui basi?
Wameamua kujitoa ufahamu tu!

CCM ilirudishiwa Uhai na Mzee Kinana na Nape!
 
MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEEEEEE wao wanaojiona ndio ccm yao walikuwa wanaiuwa.magu kaifufua hawataki wakafe huko
 
Halafu hawa hawa wazee wamesahau Fatma Karume na Yule changu wa Sarungi wanamtukana Magufuli lakini yeye kajikalia kimya anafanya kazi zake wala hajawahi kuwashtakia wala kuwajibu. Hawa wazee ni kweli walishiriki kuivuruga sana hii Nchi na wasijibanze kinafiki watoke nje waseme. Majizi makubwa. Kinana kamaliza tembo wetu kadhibitiwa basi ishakuwa nongwa. Magufuli tunakuunga mkono kanyaga twende.
 
Ndugu Esther,

Mtu kama sio muungwana hua anasahau upesi sana.

Alipochaguliwa ndugu kinana kuwa KM wa CCM, chama kilikuwa na hali gani.

Jee tumesahau yeye na Nape walipotumia miaka miwili kutembea nchi nzima kila kitongoji kukifufua chama, kazi iliyowarudishia imani wananchi, wakati huo Mheshimiwa Magufuli akiwa waziri na anakula bata kwa mrija.
Jee tumesahau walivyofanya kampeni za ajabu na kuhamasisha wapiga kura wamchagua Mheshimiwa Magufuli.

Mbona tunakuwa wasahaulifu kama mzazi. Na wanafiki.

Tuwe wakweli na wapenda haki.
Magufuli alikuwa na ataendelea kuwa kiongozi mmja very systematic and well determined ! He was and still is a consistent leader! He know where and what to speak na kwa wakati gani! Alitimiza wajibu wake mkuu kipindi hicho !

Na kama hujui Magufuli alijua system nzima na alijua wapi pa kupitia akiwa amefunikwa na baraka na mbawa za mwenyezi mungu ndio maana tunashukuru mungu! ..

Kila litokealo tunamini hupangwa hivyo hata hayo usemayo ilikuwa mipango ya mheshimiwa kuingia ikulu, wapo wanatajirika kwa kilimo wengine kwa kusoma na wengine kupitia biashara na kiujumla wote tunasema wamefanikiwa!!!
 
Acha ujuha wewe! Kuna jizi nchi hii zaidi ya huyo nduli na dikteta wa Ikulu!? 😳

Halafu hawa hawa wazee wamesahau Fatma Karume na Yule changu wa Sarungi wanamtukana Magufuli lakini yeye kajikalia kimya anafanya kazi zake wala hajawahi kuwashtakia wala kuwajibu. Hawa wazee ni kweli walishiriki kuivuruga sana hii Nchi na wasijibanze kinafiki watoke nje waseme. Majizi makubwa. Kinana kamaliza tembo wetu kadhibitiwa basi ishakuwa nongwa. Magufuli tunakuunga mkono kanyaga twende.
 
Mbona musiba anawatukana babu zake ...tena aliowakuta kwenye chama lakin bado anaachwa?
Ila inasikitisha sana kijana kama Nape kumtukana mtu mzima ka baba yake Dr Magufuli, tena anamzidi umri, elimu na mamlaka. Nape kuna pahala malezi hayakuwa sawa.
 
Wasiomtaka
Wakalambe malimao.

Kwa bahati mbaya unaamini sasa ccm imeaimarika, lakini kwa bahati mbaya ccm haina uimara wa chama cha siasa bali ina uimara wa taasisi ya kidola. Sehemu kubwa ya ccm ya sasa sio ushawishi wa kisiasa bali vitisho na ukatili kwa utaratibu wa vyombo vya dola. Ushahidi kwamba ccm sio imara na haipo kwenye mioyo ya wananchi zaidi ya kuwatawala kibabe na kuwatia hofu ni idadi ndogo ya wapiga kura.

Fuatilia vizuri chaguzi nyingi za marudio zilitawaliwa na ukatili, wizi wa kura, ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi tena kwa utaratibu wa vyombo vya dola, na kwa sababu ya kuchezea huko box la kura idadi ya wapiga imekuwa ndogo ajabu mpaka kupelekea kupika idadi ya wapiga kura. Hata hiyo 2020 ccm itashinda uchaguzi, lakini idadi ya wapiga kura haitafika watu 7m, na yote ni kuonyesha kwamba hakuna support ya umma wala uhalali wa kutawala zaidi ya kubaka demokrasia.
 
Watu wote tunafahamu mwaka 2015 kuvaa sare ya CCM ilikuwa kama laana maana unaweza kuzomewa mpaka ukaingia nyumba yoyote kujificha.

Ma Kada wa CCM wote wanafahamu ilikuwa unaweka sare kwenye mkoba na unavalia Karibu na uwanja wa mkutano.

Ndani ya miaka Karibu minne Rais Magufuli umeiletea heshima kubwa sana CCM na umetukanwa mara nyingi kwa kuibeba CCM kwenye nyanja zote.

Mfano kwenye ajira makada wengi wamepata ajira kuliko ilivyowahi kutokea. Lumumba ilisafishwa yoooteeee!!!

Mhe. Magufuli umefanya mengi ambayo yamekiletea heshima chama cha mapinduzi. Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi CCM ni kishindo kikubwa haijapata kutokea. Serikali yako imefanya wonders.

Ni bora uchukiwe na wachache na kupendwa na wengi. 2020 wakae pembeni waone utakavyozoa kura.

Pole sana Rais Magufuli kwa dharau na kebehi. Hata Yesu na Mtume walidharauliwa lakini wakawa Mitume wakubwa. Endelea kumuamini Mungu hakika atawaweka adui zako chini ya miguu yako.

Queen Esther
Kuna mtu mmoja baada ya kujiita kichaa hatimaye kajipachika jina lingine Mfungwa Mtarajiwa, tunamdai damu za watu wengi sana damu ya Lissu, ya Alphonce Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda, Aquilina na maelfu kwa mamia ya wananchi waliouawa pasipo na hatia huko Kibiti na Lindi...

Sijui kwa hali hii mtu atasemaje, ameipatia heshima CCM...heshima kwa gharama ya damu za watu?

Tafadhalini bana Fisiemu
 
JPM atashinda kwa kishindo

Anaweza kushindana? Ukiona mtu anatumia vyombo vya dola kulazimisha kushinda ujue huyo sio mshindani. Watu wameshapuuza kupiga kura baada ya kujua ni Mpanga matokeo. Kupiga kura ni sawa na kwenda kuangalia mechi ya Simba na Yanga recorded kisha ushangile goli likifungwa.
 
Ila inasikitisha sana kijana kama Nape kumtukana mtu mzima ka baba yake Dr Magufuli, tena anamzidi umri, elimu na mamlaka. Nape kuna pahala malezi hayakuwa sawa.
kwahiyo ni sawa kwa Bashite kumpiga Warioba??, ni sawa na msiba kumtukana Membe, makamba na kinana??. acha kuwaza kikondoo wewe. aliyeanzisha vurugu za kutukanana ni Nape??
 
Heri kipindi hicho walikua wanavaa huku mifuko ikiwa imetuna,sasa hivi wamepauka kama kiporo cha kinyesi

Back
Top Bottom