Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850

Rais Magufuli amekutana na kuzungumza na mgombea urais wa Zanzibar,Seif Sharif juu ya mgogoro wa uchaguzi wa Zanzibar.Kilichozungumzwa bado sijakujuwa ila wawili hawa wamekutana magogoni leo.

MCC at work!!!

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 1933836_1038154699538560_3300193255471338382_n.jpg
    1933836_1038154699538560_3300193255471338382_n.jpg
    18.5 KB · Views: 14,364
  • 11.jpg
    11.jpg
    16.6 KB · Views: 11,791
  • 12.jpg
    12.jpg
    18.8 KB · Views: 11,664
Last edited by a moderator:
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo juu ya hali ya siasa ya Zanzibar na makamu wa kwanza wa rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharifu Hamad Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 
Rais Magufuli amekutana na kuzungumza na mgombea urais wa Zanzibar,Seif Sharif juu ya mgogoro wa uchaguzi wa Zanzibar.Kilichozungumzwa bado sijakujuwa ila wawili hawa wamekutana magogoni leo.
MCC at work!!!

kuna watu humu wanaibeza Marekani ngoja tuone najua tutaheshimiana tu.
 
Rais Magufuli amekutana na kuzungumza na mgombea urais wa Zanzibar,Seif Sharif juu ya mgogoro wa uchaguzi wa Zanzibar.Kilichozungumzwa bado sijakujuwa ila wawili hawa wamekutana magogoni leo.
MCC at work!!!

mbona maalimu yuko zanzibar toka asubuhi?
 
Wampe Seif urais wake mambo yaishe waendelee kujenga nchi.

Mbona mimi sielewi wajameni ! si mlisema Zanzibar ni Nchi sasa Magufuri anafuatwa kufanya nini ? Anaendea kusuruhisha ugomvi kwa Jamhuri ya Zanzibar , kwani wameshindwa kumalizana wenyewe
 
Seif kajipeleka mwenyewe bila kualikwa alikuwa anajitia oh!! Sisi UKAWA hatutambui Uraisi wa Magufuli! katia heshima mwenyewe baada ya kuona Magufuli kamkaukia tu haongelei cha Zanzibar wala nini.

HAPA KAZI
 
Urais hukuliwi kiraisi ivi baba usitegemee nyie pangeni muingie mtaani mtoe damu zenu Marekani aje awatawale..
 
Urais huchukuliwi kiraisi ivi baba usitegemee nyie pangeni muingie mtaani mtoe damu zenu Marekani aje awatawale..
 
Mbona mimi sielewi wajameni ! si mlisema Zanzibar ni Nchi sasa Magufuri anafuatwa kufanya nini ? Anaendea kusuruhisha ugomvi kwa Jamhuri ya Zanzibar , kwani wameshindwa kumalizana wenyewe

CUF ndivyo walivyo wakigundua MFANO gesi Zanzibar utasikia kelele kila kona hii gesi sio ya muungano haimo kwenye katiba na watafoka na kutoa macho bungeni na kila mahali wakitoa macho utafikiri mjusi kafiwa na mkewe.

Wakipata tatizo ambalo si jambo la muungano hata kama katiba hairuhusu watatimua mbio kumtafuta raisi wa Muungano awasaidie.Watajikomba tena sana wasaidiwe.Hilo la Uchaguzi wa Zanzibar haliko katika mambo ya muungano.
Ndivyo walivyo hao CUF.
 
Back
Top Bottom