Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Wadau mkiletewa uzi wa kuponda na kukashifu huwa mnajiskia vizuri na roho zenu, zikija uzi wa kusifia huwa mnajaa nyongo na hasira
Bila kuwa na udikteta kidogo waafrika hatuambiliki.Style of his leadership ndio mfano kwa bara la africa
Ni kweli anakubalika Afrika yote na nchi nyingi duniani. Wewe kama humpendi uwe mpole tu.Mkiwa mnaandika upuuzi msiwe mnaweka identity yenu wazi, mnajiaibisha. Unakaa saa nzima kuandika kitu unahisi umeandika kitu smart sana kumbe umeandika upuuzi tu. What a shame
Mtu kushangiliwa South Africa unasema kakubalika dunia nzima, toka lini South Africa imegeuka kua dunia nzima? Unajua duniani kuna nchi ngapi? 1% sio 100% kama mtu unayejiita msomi inabidi ujifikirie mara mbili mbili.
Jina jema hungaa gizani,jpm ni mjumbe Wa mungu
Njoo na proof, magufuli hajulikani nje ya east africa. Sina muda kubishana na watu ambao wakitembea sana wamegusa mpakani mwa tanzania na kenya, njoo na proof anakubalika nje tuone, hakuna hata anayemjua, no one gives a *** about shit hole politicsNi kweli anakubalika Afrika yote na nchi nyingi duniani. Wewe kama humpendi uwe mpole tu.
Hiyo picha yko umetoa mimacho kama umebanwa na mlangoRAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??
Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.
Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019
Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,
Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.
Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.
Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .
"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"
Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.
Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni
1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.
2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.
Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.
Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.
KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.
ASANTE.
Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

N kwel inabid mkuu thread za kuponda, kudhihak, kukebehi tu ndo zitiririke tu humu kwa kivuli chetu kile cha 'kukosoa'Siko upinzani mkuu but to be honest hivi vi thread uchwara vya kusifia daily mnaboa mkuu,mnafanya wote tuonekane bogus.
CRAP! Nani mwenye akili timamu amkubali mwendawazimu, mwizi, fisadi, muongo, dikteta, nduli na MUUAJI!? Akili za wapi hizi!?
Huyu mwuaji na MTU wa kisasi Mungu atamkataa Siku si nyingiJina jema hungaa gizani,jpm ni mjumbe Wa mungu
Makada wa ccm wananiacha hoi ukiwauliza mnashangilia nini kupotezwa watu ?
You trynna be sarcastic but lemme tell you someahit,,ujinga hauwezi komeshwa na ujinga.N kwel inabid mkuu thread za kuponda, kudhihak, kukebehi tu ndo zitiririke tu humu kwa kivuli chetu kile cha 'kukosoa'