Rais Magufuli akubalika duniani kote

Rais Magufuli akubalika duniani kote

Tukikuhitaji tunakupataje?

RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,

Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.

Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.

Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .

"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"

Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.

Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni

1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.

2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.

Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.

Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.

KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.

ASANTE.

Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
 
Nachojua mimi wasouth na tz tuna historia ya mda mrefu.... Tz imesaidia sana ukomboz wa south, mandela aliweka kambi tz morogoro na baada ya hapo akaenda kutwaa uhuru wa south.... Kwa hiyo wasouth unapowaambia Tanzania lazima walipuke kwa furaha na hasa ktk mazingira kama yale ya kitaifa...... Mlipuko ule sio kwa ajili ya magufuli kama mnavyotaka kuaminisha watu, tena kuna wengine pale hata hilo jina hawalijui.... Mlipuko wa furaha ule ni kwa ajili yaqushiriki wa tz katika shughuri ile,.... Tena na imani hata lingepita gari tu pale alafu ikatangazwa gari kutoka Tanzania linapita wale watu wangeshangilia kuona tz ipo pale simply kwasababu ya kukumbuka mchango wa tz Kwao...
 
Mbona kila mtu Kiongozi walishangiliwa pale uwanja I heee mbona mna jaribu kujifanya Magu eti anakubalika sana kwani mna shida gani lakini. Hata kikwete alishangiliwa sana tu
 
RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,

Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.

Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.

Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .

"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"

Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.

Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni

1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.

2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.

Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.

Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.

KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.

ASANTE.

Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha JPM anakubalika?kizuri hujiuza mkuu,wekeni tume huru,toeni wale wakurugenzi kwenye mchakato wa uchaguzi na mkiweza fanyeni zoezi la ujumlishaji wa kura liwe live kila mtu aone kisha subirini muone raisi wetu kipenzi chetu na chaguo la mungu akishinda kwa kishindo vile haijawahi kutokea.
 
Thread kama hizi mwisho huwa na jina au namba ya simu ili atafutwe hakika bora kuwa masikini wa Mali na simaarifa watu kama hawa wengi hutunga viji thread kama hivi wakiwa kwenye Nyumba za zao au kwa sarogate dad
 
RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,

Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.

Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.

Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .

"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"

Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.

Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni

1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.

2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.

Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.

Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.

KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.

ASANTE.

Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
Magufulizaniaukuma wengi akiri zenu zimefubaa kutokana na uvutaji bangi, sisi tunauliza nchi kuendeshwa bila kufuata sheria,

1.Mfumko wa bei usioendanda na mzunguko wa fedha nchini,

2.Anguko la shilingi dhidi ya Dora

3.Anguko la uchumi na ugumu wa maisha kwa watanzania.

4.Wizi wa fedha zetu (walipa kodi) zaidi ya Tillion 4 katika kipindi cha Magufuli.

5.Huduma mbovu za afya,
6.Mfumo mbovu wa Elimu nchini.
7.Usalama wa Raia na mali zetu.
8.Mauaji yanayohusishwa na serkali ya wanyonge.
9.Ukosefu wa ajira.
10.Kupandikiza chuki kati ya Raia na vyombo vya dora.

Jamani nimechoka ila ningeweza kupata mawasiliano na uyu Msukuma bila shaka angerudisha salamu kwa aliyemtuma.
 
Kama umeumia sana kajinyonge ili upumzike. Mh. Rais Magufuli amepokelewa kwa bashasha huko S. AFRIKA ndiyo ukweli wenyewe kama hupendi pita kimya kimya tu mkuu!!
Yaani hii ndo argument yako..like seriously..
PATHETIC.
 
Jina jema hungaa gizani,jpm ni mjumbe Wa mungu
Nakubaliana nawewe Muraa Jpm ni mjume wa mungu ila sio mjumbe wa Mungu, angalia tofauti katika herufi za mwanzo ukikuta mahali popote asa kwenye Biblia limeandikwa jina Mungu uyo ndiye aliyeumba mbingu na nchi ila ukikuta limeandikwa "mungu" kwa herufi ndogo mwanzoni uyo ni shetani. =
 
Mkuu kwanini unakubali alfu 7 ikutoe jasho kiasi hiki? Come on Flo, you're far smarter than this!
 
RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,

Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.

Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.

Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .

"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"

Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.

Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni

1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.

2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.

Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.

Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.

KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.

ASANTE.

Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
Uzuri wa verified I'd na jina halisi pia ugeni wako tunaelewa
 
acheni uongo nyie vipofu. aliyeshangiliwa sana ni Mnangwanga wa Zimbabwe.....

Hawa wengine mliona kama walikuwa wanashangiliwa ni kwa sababu gwaride lilishaanza kuingia uwanjani hivyo walikuwa wanashangilia gwaride na sio mtu
Mimi nimeangalia ile Clip sijaona pale aliposhangiliwa au hawa wanaCCM uchwara huwa wanamuangalia mungu wao kwa macho mengine na si haya ya kawaida
 
RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,

Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.

Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.

Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .

"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"

Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.

Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni

1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.

2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.

Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.

Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.

KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.

ASANTE.

Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
Ngoja Niangalie media za nje kama RT, China today, DW tv, CNN, BBC, CNBC, CBS, Aljaezila, FOX News, BBC, FRANCE 24, La Italia nk nione kama hii kwao ni habari!
 
Back
Top Bottom