Rais Magufuli akubalika duniani kote

Rais Magufuli akubalika duniani kote

RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,

Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.

Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.

Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .

"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"

Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.

Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni

1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.

2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.

Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.

Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.

KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.

ASANTE.

Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
Mbona mi niliona walimshangilia Sana kagàme kuliko Marais wote
 
Watanzania bana wote Ni mafutuhi , hivi kushangilia nayo imekuwa ajenda ya kujadili ??

Mbona hata maraisi wote wameshangiliwa hasa kagàme lakin sijaona Kama imekuwa mada kihivyo
 
Hivi Precision air au fastjet au Delta au United airline nayo ni mashirika ya serikali?
Kiukweli sifahamu, hayo maprecision au united ni mashirika ya nini, ila ninachosikia ni kwamba mheshimiwa raisi amenunua ndege, nadhani ndio maana amekubalika zaidi duniani.
 
Kama ninakuelewa kwa mbali,anyway Delta,United na precision air ni mashirika binafsi ya ndege,SA wanandege nyingi na zingine kubwa kuliko sisi,pia waSA si masikini Kama sisi kiasi Cha kuona kununua ndege ni maendeleo or big deal,sorry nahisi unaongea kinyume,hongera Kama ni
 
RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,

Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.

Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.

Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .

"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"

Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.

Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni

1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.

2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.

Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.

Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.

KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.

ASANTE.

Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
Florian Musumi umejipanga vizuri kutuleta habari nyeusi hapa JF
 
Carlo mpwapwa,Alex Frederick mbona unahanaika sana na I'd Tatu Tatu ,umesahau namba za simu ,kama anakubalika duniani kote vipi kunyimwa msaada na Usa mcc ,umoja wa ulaya kusitisha mahusiano na Tanzania ,vipi Sweden ,kusitisha misaada ,vipi IMF na World bank ,mnapumulie machine halafu mnajidai mnakubalika ,jipange upya Lumumba .
 
Naona mataputapu uliyo bugia jana bado yapo kichwani
RAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??

Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.

Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,

Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.

Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.

Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .

"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"

Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.

Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni

1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.

2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.

Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.

Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.

KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.

ASANTE.

Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.
 
Hapa Mbeya hakuna hata anayefuatilia hii habari yako ya kilevi

Ni, kweli mkuu. Yaani huyu mleta mada hajui Walichoshangilia ni Tanzania na hawajamshangilia mtu. Ni kumfahamisha tu, kwamba hata angekwenda yeye, walipotaja tu jina la Tanzania wangeshangilia. Hii ni kwa sababu ya jitigada za Tanzania kumuunga Mkono kwa hali na Mali Marehemu Nelson Mandela ktk kupigania uhuru wa South Africa . Ila humu JF bahati mbaya pia kuna Mabumunda ambayo pia yanajiita great think
Unakunywa kinywaji gani mkuu?
 
Naona kuna maccm yanakifananisha Chama Tawala cha ANC cha Afrika kusini na CCM.

ANC wanauwezo wa kumng'oa Rais aliyeko madarakan endapo kama atakua ameshindwa kuongoza nchi vizuri, sasa maCCM yanaweza kufanya hivyo? Yani kama CCM ingekuwa kama ANC, leo JPM asingekuwa madarakan.
 
Akili zako ndio zimeishia hapo, kila mtu jf ana chama cha siasa
Kamdanganye mama yako kuwa hauna chama cha siasa. Kama uko jamii forums na umekuja kucomment huu uzi una chama chako.
 
Naona kuna maccm yanakifananisha Chama Tawala cha ANC cha Afrika kusini na CCM.

ANC wanauwezo wa kumng'oa Rais aliyeko madarakan endapo kama atakua ameshindwa kuongoza nchi vizuri, sasa maCCM yanaweza kufanya hivyo? Yani kama CCM ingekuwa kama ANC, leo JPM asingekuwa madarakan.
Imeuma sana jpm kushangiliwa eeh!
 
Mkiwa mnaandika upuuzi msiwe mnaweka identity yenu wazi, mnajiaibisha. Unakaa saa nzima kuandika kitu unahisi umeandika kitu smart sana kumbe umeandika upuuzi tu. What a shame
Mtu kushangiliwa South Africa unasema kakubalika dunia nzima, toka lini South Africa imegeuka kua dunia nzima? Unajua duniani kuna nchi ngapi? 1% sio 100% kama mtu unayejiita msomi inabidi ujifikirie mara mbili mbili.
 
Back
Top Bottom