ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,858
Kwa cash, bila ya after sales service agreement, ni la ajabu kabisa.Lazima akubalike, kununua ndege sio jambo jepesi.
Kwa cash, bila ya after sales service agreement, ni la ajabu kabisa.Lazima akubalike, kununua ndege sio jambo jepesi.
No sir, you underestimate me, i think you have no idea what SATIRE is!this z the kind of stupid pple Tanzania is having.
Yap, kwenye kutawala sawa, ila sio kuongoza, unajua tofauti ya kutawala na kuongoza, the man knows how to conquer, but no idea on leadership!Jamani Magufuli jembe, dunia nzima especially waafrika wanajuwa kuwa Magufuli ndiye rais anayefaa na ndiyo maana nchi nyingi hapa Afrika zinamlilia akatawale nchi zao na kutuonea wivu sie. Wababaishaji wajiue tu miaka hii.
Kama umeumia sana kajinyonge ili upumzike. Mh. Rais Magufuli amepokelewa kwa bashasha huko S. AFRIKA ndiyo ukweli wenyewe kama hupendi pita kimya kimya tu mkuu!!Siko upinzani mkuu but to be honest hivi vi thread uchwara vya kusifia daily mnaboa mkuu,mnafanya wote tuonekane bogus.
Uhalisia ndiyo unaosemwa hapa kuwa Wananchi wa S. Kusini wamempokea kwa shwangwe kubwa Mh. Rais Magufuli sasa hayo yako hayatuhusu. Ukweli utabaki ukweli tu.Kunawatu akili zao kama zinakupwa na kujaa,zikikupwa ndo anaongea ujinga kamahuu! Unadhani SA wanamkubali kwalipi hasa? Kafanya nini chakuzungumziwa hko? kununua ndege? Kenya tuu wanamadege,mareli tayari,mabandari nk. hawamsifu rais na chama kila kukicha kama majinga ya sisiemu!! Kazi ya kujenga nchi inafanywa na wananchi woote sio chama,kodi tunalipa wrote na kazi tunaipiga pamoja wapinzani hawajafungwa mikono. Muache maushamba na maujinga
SA wanaijua TZ na wanaiheshimu kwakukumbuka zama za Nyerere na ukombozi sio huyu...hakuna wajinga wakuvutwa Shati kipuuzi hivyo. Maisha yawe magumuuu,vijana kazi hakuna,viwanda feki,kilimo chini,demokrasia hovyooo alafu mseme mataifa yanamsifu hivi hamuoni hata aibu?? Ndiomaana nchi haisogei hii kwanini msihame mtafute nchi yenu ninyi masisiemu
Halafu hakushangiliwa JPM bali hakushangiliwa Tanzania.Siko upinzani mkuu but to be honest hivi vi thread uchwara vya kusifia daily mnaboa mkuu,mnafanya wote tuonekane bogus.
S.Kusini unamaanisha Sudani Kusini au!!???Uhalisia ndiyo unaosemwa hapa kuwa Wananchi wa S. Kusini wamempokea kwa shwangwe kubwa Mh. Rais Magufuli sasa hayo yako hayatuhusu. Ukweli utabaki ukweli tu.
Acha ubishi wee bavichaHalafu hakushangiliwa JPM bali hakushangiliwa Tanzania.
Wa South wana historia na Tz. Hata angekwenda Nani na kutangazwa ametoka Tz lazima wangeshangilia sana. Lumumba kila kitu mapromo ya kiajabu.
Ubongo wako haufanyi kazi sawasawa nenda kapimwe. Thread hii inahusu Sudani Kusini au??!!S.Kusini unamaanisha Sudani Kusini au!!???
Bavicha hii sindano ya chroloquine+decrophenac imeuma eh!Kwani kushangiliwa kuna tatizo gani? Pale uwanjani kulikuwa na watu wa mataifa tofauti na watanzania walikuwepo sasa kuna ubaya gani kwa watanzania kumshangilia rais wao?
Mkuu, mtu mzima aliyeamua kutumia kichwa chake kama pambo achana naeUbongo wako haufanyi kazi sawasawa nenda kapimwe. Thread hii inahusu Sudani Kusini au??!!
Unatafuta ubunge wa kuteuliwa na na namba simu kabisaRAIS Magufuli kushangiliwa kwa Nguvu Afrika kusini Ina Maana gani kwa Wapinzani wake??
Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini 25 May 2019 , lakini mara baada ya jina la Rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,Raia wa Afrika kusini walisimama na kushangilia kwa nguvu sana.
Umati mkubwa wa wananchi umelipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019
Kwa Mtazamo Wa kawaida hii inaashiria Rais Magufuli Kukubalika KITAIFA NA KIMATAIFA,
Kwa upande wa upinzani Utaendelea Kubeza na kukejeli Hatua Ambazo anafanya Rais Magufuli ila Kwa upande Wangu wapinzani Kufanya hivyo ni Sahihi kwao kwasababu Hauwezi Kutafuta Serikali kwa kusifia Serikali Iliyopo.
Wananchi Wanatakiwa kufahamu Wapinzani wanatekeleza Majukumu Yao,ila Ukweli wanaufahamu na Ukweli siku zote Haufichiki.
Kwa Wapinzani Kwasababu ya Kupinga hata yale Mazuri yanayofanywa Na Rais Hawachelewi Kusema .
"Waliomshangilia Rais Magufuli Afrika kusini Ni wanaCCM Walisombwa na Magari"
Ndugu Kwa sasa Hatuhitaji Kukosoa kila Kitu Tunahitaji kusema pale Panapohitaji Kusema,
Tuna Vijana wengi Ambao wana uwezo Mkubwa wa kulisemea Taifa hili na Sio Kushambulia Viongozi kwa Matusi Mitandano.
Agenda ya vijana wa Upinzani kwa sasa ni
1.MAGUFULI KUMPIGA PICHA DK Kikwete na Rais wa A.Kusini Ramaphosa.
2. Rais Magufuli kaongea Lugha gani A.kusini.
Hatuwezi Kuendelea kuwa Na vijana wa upinzani Wenye Maono Madogo Kiasi Hicho, Wanawaza PICHA NA LUGHA, Tunahitaji kuwa na Vijana ambao wanakuja na Mikakati ya Kuendeleza Uchumi, Umoja wetu Kitaifa na Uzalendo.
Hakika Magufuli Anakubalika kidunia.
KWA STYLE AMBAYO VIJANA WA UPINZANI WANAENDA NAYO, HATA KAMATI KUU YA CHADEMA NDIO IKIWA TUME YA UCHAGUZI CCM INASHINDA KWA KISHINDO.
ASANTE.
Road To 2020.
Florian Musumi
Mwanza.