Rais Magufuli afanya Ziara ya Kikazi Kagera, ahimiza kilimo cha kila Mazao

Ha matani! Hawakupenda awe rais? Alikopata kura za kishindo wakitaka awe kiongozi mkuu wa vyombo vya dola! Acha fitina. Anaenda kuwashukuru kwa kura zao za tsunami. Kule kwa kura wenzetu hawajambo. Wamewaambukiza Waganda kupiga kura za kimbunga kwa M7. Narudia, acha fitina. Usisahau Chato ilikuwa Biharamulo ya Kagera. Burigi imezaa hifadhi ya Burigi-Chato. Mema ya nchi, ambayo kwayo wengi wenu mnawaonea wivu Chato, sasa yanaenda kwa ndugu zao wa damu. Mtafura hadi kupasuka na wivu wenu?
Watafula hadi wafwe infact
 
Watafula hadi wafwe infact
Nadhani sasa wote ni maiti! Mwenye kaya yake kasema kuishi kwake ni huko. Ataanza lini? Msululu wa mema ya nchi Karagwe. Akaishi jirani na Askofu mdomo, tapeli, waruwaru(Mama Amoni voice) Chuo Kikuu cha Karagwe naona kinasajiliwa haraka sana. Muulize Kimei lilivyofunguliwa tawi la CRDB Chato. Feasibility study alifanya JPM akiwa bado tu waziri wa ujenzi. Si zaidi sasa akiwa kiongozi wa mambo yote ya dola! Doctorate ya pili kwenye maganda ya buni inanukia. Na kumbuka urais anao atataka aongezee na uprofesa. Jioni anatembea hadi chuoni na kutema kemia kwa kisukuma!
 
BunguWa post: 37888693 said:

Atakuwa Mkuu Wa Chuo University of Karagwe -UOK
Atakuwa Mkuu wa
 
Back
Top Bottom