Rais Magufuli aambiwe kuwa ndege, madaraja, reli za umeme sio vipaumbele vyetu

Niyasemayo nikwakuwa katiba ya Tanzania inanipa mamlaka of free expression.

Kutumia mabilioni kununua Ndege,pia bilions zimetengwa kununua Boeing kule America sio kipaumbele kwa taifa kwa sasa.

Kujenga flyover ndani ya Daresalaam Na kutumia bilions sio kipaumbele chetu. kwanini masoko Na ofisi kuu zisihamishwe katika ya jiji Na kuwekwa pembezoni.

kujenga reli ya umeme Tanzania ni kutojua vipaumbele vya watanzania. si kwamba haifai Bali time yetu bado.

Vipaumbele vya watanzania;

1. KILIMO
Fedha zote zilizo nunulia ndege zingewekezwa kwenye kilimo kwa kuwekeza kwenye benki za wakulima, kuwekeza kilimo cha umwagiliaji, serikali kutumia taasisi kama jeshi, vyuo vya kilimo kufanya tafiti za udongo na mbegu, wadudu. pia kuwekeza kwenye pembejeo za kilimo kama matrekta ya kulimia, kuvuna nk.

Kilimo kimedharauliwa sana.

2. ELIMU
Serikali ilitakiwa iboreshe elimu hasa VETA, ijenge vyuo kila wilaya tupate wataalamu wa kati na kati kwa ajili ya viwanda vidogo. Pia iwekeze kwa vyuo vya kilimo tupate maafisa ugani wa kutosha.

Pia elimu kwa vitendo kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu iboreshwe. Nimesoma science udsm kwa kweli lab ya chuo kikuu ni aibu, watu wanadesa tu. Km taifa litadharau quality ya elimu tutazani tunawasomi lakini incompetent.

3. AFYA
Serikali ilipaswa iwekeze kwenye afya. fikiria hata wewe, wazazi wanalala chini, dawa hakuna, vifaa tiba vichache, gharama kubwa kwa magonjwa serious, kweli tujenge reli ya umeme?

4. TUWEKEZE KWENYE MADINI NA GESI ASILIA
Uchumi wetu unakuwa boosted na madini. Je, kama kule Mererani kungejengwa viwanda vya Vito Na madini yale kuongezewa thamani.

Pili kuwekeza ni pamoja na kureview mikataba kwa kuiweka wazi hasa bungeni ikapitiwa upya.

Tatu ni kuwekeza kwenye nishati ya umeme kupitia gesi asilia. umeme ndio determinant WA kila kitu Na ndio engine ya uchumi wowote. sasa unanunua sh500 unauza 200,halafu unahubiri Tanzania ya viwanda, are we serious.

Nimetaja vipaumbele vichache kati vingi ambavyo serikali ilipaswa ianze navyo kuinua mateso na umaskini wa watu wetu.

Assadsyria3

kwa hiyo kwa akili yako finyu, umejua zikinunuliwa ndege, ikajengwa reli, basi Kilimo, Afya, Elimu na uwezekezaji ndio vimefutwa kwenye maisha ya mtanzania.? UKAWA bana, kwani tukinunua ndege, tukajenga reli, hatuwezi kuboresha kilimo, afya na elimu.?

UKAWA mbona mawazo yenu finyu sana, yaani mkiwaza jambo moja mnang'ang'ania hilohilo tu.?

serikali sio familia, kama kwako ndege hazina umuhimu, kuna watanzania wenzio wanazihitaji. pia ni vitega uchumi kwa ajiri ya kuingiza pesa ili tuboreshe zaidi hayo unayoyawaza. jaribu kufikiria nje ya boksi brother.
 
Ni kweli lakini piahata sector ya utalii inahitaji ndege zaidi. Sema mawaziti wanaosimamia sekta za utalii bado ni wabovu katika kufikiria.
 
sasa kama sio tulikua tunapiga kelele za nini kwa ATCL ohooo sijui inakufa sijui nini watz ni watu wanafiki degree ya kwanza,usipo improve infrastructure hayo mengine ni kazi bure niambie madawa tunasafirisha vipi kama miundombunu mibovu??niambie hiyo elimu walimu wanafika vipi huko mashuleni kama miundombinu mibovu??huyo mkulima anafikisha vipi hayo mazao kama miundombinu mibovu??hayo madini tunasafirishaje kama miundombinu mibovu???
fly over ya dar inasafirisha mazao kutoka wap
 
Niyasemayo nikwakuwa katiba ya Tanzania inanipa mamlaka of free expression.

Kutumia mabilioni kununua Ndege,pia bilions zimetengwa kununua Boeing kule America sio kipaumbele kwa taifa kwa sasa.

Kujenga flyover ndani ya Daresalaam Na kutumia bilions sio kipaumbele chetu. kwanini masoko Na ofisi kuu zisihamishwe katika ya jiji Na kuwekwa pembezoni.

kujenga reli ya umeme Tanzania ni kutojua vipaumbele vya watanzania. si kwamba haifai Bali time yetu bado.

Vipaumbele vya watanzania;

1. KILIMO
Fedha zote zilizo nunulia ndege zingewekezwa kwenye kilimo kwa kuwekeza kwenye benki za wakulima, kuwekeza kilimo cha umwagiliaji, serikali kutumia taasisi kama jeshi, vyuo vya kilimo kufanya tafiti za udongo na mbegu, wadudu. pia kuwekeza kwenye pembejeo za kilimo kama matrekta ya kulimia, kuvuna nk.

Kilimo kimedharauliwa sana.

2. ELIMU
Serikali ilitakiwa iboreshe elimu hasa VETA, ijenge vyuo kila wilaya tupate wataalamu wa kati na kati kwa ajili ya viwanda vidogo. Pia iwekeze kwa vyuo vya kilimo tupate maafisa ugani wa kutosha.

Pia elimu kwa vitendo kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu iboreshwe. Nimesoma science udsm kwa kweli lab ya chuo kikuu ni aibu, watu wanadesa tu. Km taifa litadharau quality ya elimu tutazani tunawasomi lakini incompetent.

3. AFYA
Serikali ilipaswa iwekeze kwenye afya. fikiria hata wewe, wazazi wanalala chini, dawa hakuna, vifaa tiba vichache, gharama kubwa kwa magonjwa serious, kweli tujenge reli ya umeme?

4. TUWEKEZE KWENYE MADINI NA GESI ASILIA
Uchumi wetu unakuwa boosted na madini. Je, kama kule Mererani kungejengwa viwanda vya Vito Na madini yale kuongezewa thamani.

Pili kuwekeza ni pamoja na kureview mikataba kwa kuiweka wazi hasa bungeni ikapitiwa upya.

Tatu ni kuwekeza kwenye nishati ya umeme kupitia gesi asilia. umeme ndio determinant WA kila kitu Na ndio engine ya uchumi wowote. sasa unanunua sh500 unauza 200,halafu unahubiri Tanzania ya viwanda, are we serious.

Nimetaja vipaumbele vichache kati vingi ambavyo serikali ilipaswa ianze navyo kuinua mateso na umaskini wa watu wetu.

Assadsyria3
Unaakili sana na unaonekana na ukiwa shuleni ulifaulu sana kwa kukalili. Ukiwa Mtaani ninachokushauri Jitahidi Kujifunza ili tuendelee kuukuza Uchumi wa nchi Kimataifa kwa kuangalia vipaumbele vya kututoa tulipoganda ili tusonge mbele kimaendeleo.
Ulivyovitaja vyote tunavyo na vyote ulivyovitaja ni raw material ambavyo vipo hata kabla hujazaliwa na ukute saizi una umri wa miaka 60 ila bado hujaelewa ni kwanini uko vilevile. Kwa ufupi upo vilevile kwasababu mlikuwa mnawatengenezea utajili na ajira Wengine. Tathimini kwa kina na elewa kwanini unaishi kwa kubahatisha Maisha.
Vyote ulivyovitaja kuwa si kipaumbele kwa
kuishi kwa kuwasikiliza Wanasiasa wa upeo wa kupinga kila kitu na wewe unaiishi mitazamo yao Unawasikiliza kuwa siyo vipaumbele wakati wanavitumia kutoboa kwenye Maisha walipokwama .
NB: Nilikuwa nakufafanulia umuhimu wa uwekezaji kwenye miradi mikubwa ya kimaendeleo ili kuibadilisha akili yako ya namna bora ya kufikilia. Tumia Fursa zilizowekwa na Serikali ya awamu ya 5 ili utajilike haraka. Maisha ya ramli hayafai tuyakatae kabisa.
 
mkuu what u have said make sense. Ila kwanini tusiboreshe reli yetu ya Kati ambayo IPO, kuliko kujenga reli ya umeme ya gharama kubwa km tatizo ni ilo tu. kupanga ni kuchagua. watu wako wanashida ivo unatakiwa uboreshe reli kwa level yetu sio kutaka sifa kwamba reli ya pili Africa baada ya Morocco wakati sie maskini wakutupwa kila kitu twapewa misaada
Time is money 3 hrs sio sawa na 12 hrs, opportunity cost ni kubwa na operational cost za replacement ya mabehewa na engine kwani wenye kutumia meter gauge ni wachache
 
Achana na wapumbav kaka watakuumiza kichwa. There people thinks using their ass. Mtoa post jiangalie sana
sasa kama sio tulikua tunapiga kelele za nini kwa ATCL ohooo sijui inakufa sijui nini watz ni watu wanafiki degree ya kwanza,usipo improve infrastructure hayo mengine ni kazi bure niambie madawa tunasafirisha vipi kama miundombunu mibovu??niambie hiyo elimu walimu wanafika vipi huko mashuleni kama miundombinu mibovu??huyo mkulima anafikisha vipi hayo mazao kama miundombinu mibovu??hayo madini tunasafirishaje kama miundombinu mibovu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu what u have said make sense. Ila kwanini tusiboreshe reli yetu ya Kati ambayo IPO, kuliko kujenga reli ya umeme ya gharama kubwa km tatizo ni ilo tu. kupanga ni kuchagua. watu wako wanashida ivo unatakiwa uboreshe reli kwa level yetu sio kutaka sifa kwamba reli ya pili Africa baada ya Morocco wakati sie maskini wakutupwa kila kitu twapewa misaada
Reli ya umeme ni maono ya mbali.Kwani tukiwa na reli mbili kuna ubaya gani? Kigoma,katavi Tabora kumeshindwa kuendelea kwa sababu ya miundo mbinu lakini ndio maeneo yaliofaa kuwa ghala la Taifa.Kuna mvua za kutosha,maji ardhi yenye rutuba lakini usafishaji F,umeme F nani ataenda kuwekeza apoteze hela zake.Hivi reli haijaisha nenda Katavi,kigoma Tabora kawekeze kwenye kilimo hutajuta.Kufikisha Dar mawese,asali,mahindi,samaki itakuwa kunusa.Reli Bwawa la umeme vitaleta mapinduzi ya viwanda Tanzania kwa sisi wenye macho.Shime baba kimbia kawekeze.Leo wakenya wananunua naparachichi Njombe ndani kabisa na kusafirisha hadi kwao bila kuharibika njiani.Leo machungwa ya Tanga yanaliwa Kila kona ya Tanzania, bila Barbara isingewezekana.Viazi mviringo vinatoka mbeya mpaka Tabora,katavi,kenya nk, bila Barbara isengewezekana.Miundo mbinu ndio indicator ya development. UDSM ulisoma DS gani mkuu au ulikuwa unashinda Meridian betting clubs?
 
Rais anawekeza kwenye mfumo ambao matokeo yake yatakuwa mtambuka na kugusa kila sekta.
Uchumi uliposhuka marekani waliwekeza kwenye miundombinu mkikubwa hata China pia kama vichocheo vya ukuaji wa uchumi na vitakavyoathili mamillioni.
Mimi naona anafanya vitu ambavyo vimejaribiwa na vimefanya kazi na kuleta matunda duniani. Ndio maana ukuaji wa uchumi Afrika ni wastani wa asilimia 2 huku kwetu hadi 7 yaani juu ya wastani. Ukiona karibu utaona anakosea ila ukiangalia mbali na kwa kina utaona vipaumbele unavyopendekeza baadae vitafanikiwa kwa spidi kubwa sana tena Bila nguvu nyingi...
Kweli mkuu,Kigoma kwetu kulidumaa kutokana na kukosa umeme wa gridi,Barbara ya lami,reli inayosuasua,ndege iliodorora ilhali ni mpaka wa kuingiza watu nchi tatu.Hali hip ilidumaza uchumi wa kigoma ambapo kuna ziwa,ardhi,bandari,chumvi,mbuga za wanyama nk.Sasa kwa ujenzi huu wa reli Kigoma ndani ya miaka 15 ijayo itakuwa habari nyingine.Kwa Mara ya kwanza waha wataipa CCM kura za kishindo.Ugonjwa ilioshindikana umepata tiba karibuni kigoma muwekeze tumbaku,kahawa,miti,pamba,tangawizi,korosho,kahawa ndizi,samaki,mawese,asali nk usafiri,umeme si tatizo tena mwenye macho haambiwa tazama. Waha,wamanyema,wabembe nk rudini nyumbani muwekeze.
 
Niyasemayo nikwakuwa katiba ya Tanzania inanipa mamlaka of free expression.

Kutumia mabilioni kununua Ndege,pia bilions zimetengwa kununua Boeing kule America sio kipaumbele kwa taifa kwa sasa.

Kujenga flyover ndani ya Daresalaam Na kutumia bilions sio kipaumbele chetu. kwanini masoko Na ofisi kuu zisihamishwe katika ya jiji Na kuwekwa pembezoni.

kujenga reli ya umeme Tanzania ni kutojua vipaumbele vya watanzania. si kwamba haifai Bali time yetu bado.

Vipaumbele vya watanzania;

1. KILIMO
Fedha zote zilizo nunulia ndege zingewekezwa kwenye kilimo kwa kuwekeza kwenye benki za wakulima, kuwekeza kilimo cha umwagiliaji, serikali kutumia taasisi kama jeshi, vyuo vya kilimo kufanya tafiti za udongo na mbegu, wadudu. pia kuwekeza kwenye pembejeo za kilimo kama matrekta ya kulimia, kuvuna nk.

Kilimo kimedharauliwa sana.

2. ELIMU
Serikali ilitakiwa iboreshe elimu hasa VETA, ijenge vyuo kila wilaya tupate wataalamu wa kati na kati kwa ajili ya viwanda vidogo. Pia iwekeze kwa vyuo vya kilimo tupate maafisa ugani wa kutosha.

Pia elimu kwa vitendo kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu iboreshwe. Nimesoma science udsm kwa kweli lab ya chuo kikuu ni aibu, watu wanadesa tu. Km taifa litadharau quality ya elimu tutazani tunawasomi lakini incompetent.

3. AFYA
Serikali ilipaswa iwekeze kwenye afya. fikiria hata wewe, wazazi wanalala chini, dawa hakuna, vifaa tiba vichache, gharama kubwa kwa magonjwa serious, kweli tujenge reli ya umeme?

4. TUWEKEZE KWENYE MADINI NA GESI ASILIA
Uchumi wetu unakuwa boosted na madini. Je, kama kule Mererani kungejengwa viwanda vya Vito Na madini yale kuongezewa thamani.

Pili kuwekeza ni pamoja na kureview mikataba kwa kuiweka wazi hasa bungeni ikapitiwa upya.

Tatu ni kuwekeza kwenye nishati ya umeme kupitia gesi asilia. umeme ndio determinant WA kila kitu Na ndio engine ya uchumi wowote. sasa unanunua sh500 unauza 200,halafu unahubiri Tanzania ya viwanda, are we serious.

Nimetaja vipaumbele vichache kati vingi ambavyo serikali ilipaswa ianze navyo kuinua mateso na umaskini wa watu wetu.

Assadsyria3
Tulimpa miaka 5 hiyo mingine najua ataendelea tu hata tukikataa wote, ila nafahamu tutashuhudia miaka mingine 5, sasa sijui ataendelea tu na ujenzi au ataamia kungine, kama elimu bure kweli, afya, kulipa madeni ya ndani,kupandisha mishahara, kilimo na mifugo nk.
 
Niyasemayo nikwakuwa katiba ya Tanzania inanipa mamlaka of free expression.

Kutumia mabilioni kununua Ndege,pia bilions zimetengwa kununua Boeing kule America sio kipaumbele kwa taifa kwa sasa.

Kujenga flyover ndani ya Daresalaam Na kutumia bilions sio kipaumbele chetu. kwanini masoko Na ofisi kuu zisihamishwe katika ya jiji Na kuwekwa pembezoni.

kujenga reli ya umeme Tanzania ni kutojua vipaumbele vya watanzania. si kwamba haifai Bali time yetu bado.

Vipaumbele vya watanzania;

1. KILIMO
Fedha zote zilizo nunulia ndege zingewekezwa kwenye kilimo kwa kuwekeza kwenye benki za wakulima, kuwekeza kilimo cha umwagiliaji, serikali kutumia taasisi kama jeshi, vyuo vya kilimo kufanya tafiti za udongo na mbegu, wadudu. pia kuwekeza kwenye pembejeo za kilimo kama matrekta ya kulimia, kuvuna nk.

Kilimo kimedharauliwa sana.

2. ELIMU
Serikali ilitakiwa iboreshe elimu hasa VETA, ijenge vyuo kila wilaya tupate wataalamu wa kati na kati kwa ajili ya viwanda vidogo. Pia iwekeze kwa vyuo vya kilimo tupate maafisa ugani wa kutosha.

Pia elimu kwa vitendo kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu iboreshwe. Nimesoma science udsm kwa kweli lab ya chuo kikuu ni aibu, watu wanadesa tu. Km taifa litadharau quality ya elimu tutazani tunawasomi lakini incompetent.

3. AFYA
Serikali ilipaswa iwekeze kwenye afya. fikiria hata wewe, wazazi wanalala chini, dawa hakuna, vifaa tiba vichache, gharama kubwa kwa magonjwa serious, kweli tujenge reli ya umeme?

4. TUWEKEZE KWENYE MADINI NA GESI ASILIA
Uchumi wetu unakuwa boosted na madini. Je, kama kule Mererani kungejengwa viwanda vya Vito Na madini yale kuongezewa thamani.

Pili kuwekeza ni pamoja na kureview mikataba kwa kuiweka wazi hasa bungeni ikapitiwa upya.

Tatu ni kuwekeza kwenye nishati ya umeme kupitia gesi asilia. umeme ndio determinant WA kila kitu Na ndio engine ya uchumi wowote. sasa unanunua sh500 unauza 200,halafu unahubiri Tanzania ya viwanda, are we serious.

Nimetaja vipaumbele vichache kati vingi ambavyo serikali ilipaswa ianze navyo kuinua mateso na umaskini wa watu wetu.

Assadsyria3
Vipaumbele vyako sio vipaumbele vyetu so kaa na watu wako mtimize vipaumbele vyenu tuache na sisi tutimize vipaumbele vyetu
 
Back
Top Bottom