imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,036
Tena mtu kama wewe ndio kwanza ukimuona utamkimbilia na shikamoo nyingi halafu utaanza kumfafanulia matatizo yako na kuanza kumuomba hela na kuanza kujiliza liza.Mwambie ajaribu. Kama yeye mwanaume.