Rais kushindwa kutumia gari la wazi leo Dodoma ni ishara kuwa hatuko salama au ametishwa?

yaani leo mpaka ambulance ilikuwa ipo stand by na wakati anakagua uwanjani nayo ilikuwa ina pita karibu flan hivi,Nilishangaa kweli.
 
Ufisadi je?!nao ni sifa?!!
ndio ni sifa za kuukwaa uraisi, ubunge

rejea ufisadi uuzwaji wa nyumba za serikali, ununuzi wa kivuko, escrow, ununuzi wa rada.

Ivi mahakama ya mafisadi si ipo kwa nini haina wateja.
 
Tumlinde tu kwakutumia technolojia yoyote
tukiacha kumuangalia kwa jicho LA kisiasa kafanya makubwa sana.

Mbona POTUS hamsemi kwa ulinzi wakeulivyo mkubwa

Kwa sababu hatuna technology basi tutumie hiyohiyo technology tuliyonayo ya watu
 
Tunapoteza kodi za wananchi tu, umesema kweli kabisa, ila tena kama ulivyosema hapo juu, ili wale wanausalama waonekane wanafanya kazi yao ni lazima wayaweke haya mambo kwa manufaa yao, hata bajeti inayotumika kumlinda rais wetu sidhani hata itakuja kuwekwa wazi, kuna watu wanatafuna hela za kufa mtu kwa visingizio vya hofu za kijinga kama hivi ile mbaya...
Imagine wakipunguza hayo matumizi iwe robo tu ili hela zingine ziende vijijini?!
Ila sidhani kama tutafanikiwa kwa hili...
 
Maandamano yajayo ya kumuunga mkono raisi Magufuli ni lazima yavunje rekodi,yatayafunika haya ya mange na wabeba box waliopinda37 ndio mjue rais Magufuli anapendwa na wanyonge.
 
Kutishia wananchi wako kwa majeshi na silaha za moto.Wewe kweli ni raisi wa hao wananchi?
 
Maandamano yajayo ya kumuunga mkono raisi Magufuli ni lazima yavunje rekodi,yatayafunika haya ya mange na wabeba box waliopinda37 ndio mjue rais Magufuli anapendwa na wanyonge.
Siku akiweka jiwe la msingi standard gauge ,maeneo ya pugu alipakia watu wapande treni bure la Gongo la mboto !
 
Siku akiweka jiwe la msingi standard gauge ,maeneo ya pugu alipakia watu wapande treni bure la Gongo la mboto !
Kama baadhi ya wakazi wa Dar wanamchukia raisi Magufuli sio kosa lao,moja ya dalili za tezi dume ni hasira za hapa na pale,kuchukia chukia bila sababu kugombana hadi na TV.
 
Kama baadhi ya wakazi wa Dar wanamchukia raisi Magufuli sio kosa lao,moja ya dalili za tezi dume ni hasira za hapa na pale,kuchukia chukia bila sababu kugombana hadi na TV.
Na yeye jiwe kuwa na hasira za hapa na pale ni dalili za tezidume pia mkuu imhotel?
 
Na yeye jiwe kuwa na hasira za hapa na pale ni dalili za tezidume pia mkuu imhotel?
Tofautisha mtu ambaye yuko serious na mtu mgonjwa,raisi Magufuli yuko serious na jukumu tulilompa sisi wanyonge la kutuletea maendeleo.
 
Back
Top Bottom