Rais Kikwete's visit to Jamaica

Kupenda kula miguu ya kuku kuna leta mambo yake haya bwana.............🙂

mama weeeee.ndo shida ya kulelewa na bibi mkichinja kuku we unachukua miguu unachoma hayo ndo madhara yake sasa
 
Mimi wasiwasi wangu ni kuishiwa kwake nguvu na kuzimika baada ya kupanda pipa kwa muda mrefu kama anavyotuambia daktari wake; kuwa huwa anapata uchovu! Akizimika huko ugenini itakuwa noma! Ashauriwe apumzike hapa nyumbani aache kutangatanga.

huyu wamuwekee draft na bao kwenye ndege awe anacheza huku anakunywa kahawa akichoka wamuwekee karata acheze mpaka atafika tu
 
Naam, Jamaika mtapata somo zuri tu,toka Tanzania. Na Mhe. Prez atakuja na mikoba yote juu ya mafanikio hao. Mshindwe wenyewe kukopi!
 
Our beloved SINDBAD.....He is a roving presidaa.
 
Kila la kheri kwenye safari yake, ila aangalie afya yake kabla ya kwenda Jamaica. JK anazunguka mnoo, Mungu amuepushe asije kuanguka kwenye nchi za watu.
 
Open your eyes
And look within
Are you satisfied
With the life you're living?
We know where we going
We know where we're from
We're leaving Babylon
We're going to our Father's land.


[ame]http://www.youtube.com/watch?v=0NHbOqmNVm8[/ame]

​
 
Kila la kheri kwenye safari yake, ila aangalie afya yake kabla ya kwenda Jamaica. JK anazunguka mnoo, Mungu amuepushe asije kuanguka kwenye nchi za watu.

Dada wee,

Ataangaliaje afya yake wakati haamini kwamba anaumwa? Badala ya kukaa akapumzika anashindana kupata misifa kwamba alipokuwa rais aliatembelea nchi zote za dunia kasoro Somalia!! Haya we, nawasahauri wasaidizi wake waandae ICU ndani ya ndege na ikibindi waweke na chumba cha mapumziko marefu kwani inawezeka hako mshumaaa kake kakazimikia angani!!
 

Apumzike nyumbani ashughulie matatizo ya nchi yeye badala akaye anazurula. huyu kweli Sindbad kama msemaji mmoja alivyosema. Ataleta Richmond nyingine.
WaTZ hapa tumefulia.
 
Mheshimiwa asisahau kutuletea miche,unajua amekipa kilimo kipau mbele ,so katika safari ya huko ni lazima atutafutie mbegu bora ,asije akageuka kama Pinda na mavazi ,Kikwete akatwambia tusiharibu hela kwenda kwa vinyozi just rasta inatosha kubana matumizi !
 
Wakuu,
Mimi sikatai yeye kusafiri sana; si unakumbuka aliahidi maisha bora kwa kila mtanzania!!!!

Tatizo ni ubishi wake!! Hivi tangu alivyoanza kwenda Marekani kwa Bush; ameleta nini!!! Sasa anahamia Jamaica!!! Anaondoka anaiacha nchi giza totoro!!!! Mgao umeanza!!! Lini watakubali warekebishe makosa waliyofanya nyuma.

Ben na nwenzake ndo wametufikisha hapa; migao ya kufa mtu!!!! Mi kichwa kinauma. Arrrrrrrrrrg, mwacheniaende bwana aah!!! Hata akibaki nini kitabadilika...
 
Kocha mzuri wa RIADHA atapatikana huko kwenye ziara hii. Nadhani atapata nafasi ya kuonana na akina Usain Bolt, Asafa Powell wammegee siri kidogo ya mafanikio yao.
 

Unatata miche ya "MARIJUANA"!!! Au sijkuelewa vizuri???
 
Wow!....just Wow!

I want to be his bodygurd yo!, so I can travel the world too.
 
huyu naona hajafika Afghanistan tu na ni kwa vile kuna vita bila hivyo angeenda huyu..halafu rais wetu ana alergy na kutembelea nchi za kiafrica ,mbona sijasikia akienda visiwa vya ngazija

Kigogo umeniacha hoi. Napumzika kidogo alafu nitarudi tena ksoma point zako. Lakini huyuJK mbona safari zote hasafiri na mke wake? au ndo kusema huko kuna nyumba ndogo.
 
mwache aende....akitoka huko ata[pitia marekani nasikia kuna ahadi hazijakamilika hivyo anaenda kusisitiza kuwa sisi ni masikini sana hivyo tusaidiwe haraka iwezekanavyo ikwezeka kabla ya kenya................
 
huyu naona hajafika Afghanistan tu na ni kwa vile kuna vita bila hivyo angeenda huyu..halafu rais wetu ana alergy na kutembelea nchi za kiafrica ,mbona sijasikia akienda visiwa vya ngazija

Kwikwikwiiii!kweli wikendi imenoga humu JF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…