Duh..hii nchi ina shida kubwa .Tunahitaji dictator kuleta nidhamu na mpangilio.kwa wewe na wenzenu msio na akili na ambao mnashindia viroba ndio mtakaomuona SLAA kuwa sio wa mtaani. ila sisi wengine tunamuona ni mjinga tu wa mtaani na ndio maana anaishia kuwa mzinzi na ana promote uzinzi hadharani. kuhusu kauli yake ya eti''mtoto wa kigogo amekamatwa china na shehena ya drugs''' hilo litaaminiwa nwa wanywa gongo kama wewe kwa sababu wakati wa uchaguzi wa 2010 alitutangazia kuwa kuna CONTAINER LA KURA BANDIA LINATAKA KUVUSHWA MPAKANI TUNDUMA-MBEYA. wajinga mlitoa macho na kushupaa lakini wenye akili zetu tulijua ni usanii wa kijinga na ikaja ikathibitika hivyo. kwa mwenye akili na mjuzi(sio mzushi kama wewe na babu slaa),mtandao wa wasafirishaji(punda),waagizaji,wasambazaji na watumiaji.... kwa namna yoyote hauwezi kumfanya ridhiwani(kama kweli angekuwa anafanya hiyo biashara) akawa ni msafirishaji(punda) mpaka afikie mahali pa kukamatwa. yeye ni wazi angekuwa katika rank ya waagizaji. ila sina haja ya kuwaelewesha kwa maana ujinga upo deep within you na ndio maana tunawadharau,tunawapuuza, na tuko dodoma tunawatungia katiba ambayo itawainamisha for the next 50 years
Faiza Foxy:Huwezi kuwa tofauti sana na asili yako.Huwezi jua tofauti ya destruction na construction, mmekuwa na kujenga ktk misingi ya confussion ,lies na irresponsibility.JK haoni mbali sana na wala hana sense ya responsibility kitaifa na hata kwa watu anaodhani kuwa nawaokoa kumbe anwaangamiza.Ni bora hii nchi ingejiendesha yenyewe wawangekuwa na hakika na vitu wanavyofanya na kujifunza wangekuwa wanafanya vitu kwa uangalifu na umakini.JK ni naive sana.Na ni coincidence na jinsi jamii yetu ilivyo mixed ndio maana judgement yake inakuwa ngumu sana kwa watu wengi na wanaoweza wanakuwa na shida kuwashawishi watu. CCM si mara ya kwanza kuwapa watu majina mabaya na JK akiwa kinara ila hamjawahiw ajibishwa kwa hilo.Hivi Dr.Slaa akawa wa Mitaani na machokoraa ,au wale waswahili wanaolala km mbwa vibarazani na kuishi kwa gahawa wataitwa nani?Ninakuhakikishia JK anabebwa na econimic booms na plan za kimataifa ktk mambo fulani kwa kiasi cha kudangnya umma kuwa kafanya mabadiliko.Wenzetu wanashinda na china na wana mipango ya kuweka umeme, na miundo mbinu mingine km barabara ili kuwekza jenga misingi ya wao kuwekeza kwa mafanikio.NI kupitia matukio km haya na ganzi ya akili iliyowakumba watanzania kwa viapo vibaya.CCM inasurvive.ILa hii inatosha kuwapumbaza jamii km zenu.Days are comming Hata Bima,pesion wenzetu wanaweza zifanya za kimataifa ,kupitia mitandao, hizi dili dili na mipangilio mibovu ya jamii zilizoharibiwa na ukichaa wa CCM na uongozi wake.Mtazalisha sana wauza unga,wauza baa,malaya, mashoga..wapiga debe wa hao jamaa.... na si vinginevyo.Unapobeba jamii huku ukiidanganya kuwa kisicho haki yao ni haki yao,na kwamba ni zamu yao ya kula bila kuwaambia pia ni zamu yao kufanya kazi.Jamii inayomlinda kufa kupona kwa minajili ya dini hata asipowajibika,naona mmeamu mchagua JK ova mkapa.Kuna mengi nawaambia mnalimbikiziwa ila huu uongozi ukitoka vitakuwa drained km puto likiondolewa hewa.Watabaki akina Manji na Bakhresa etc .Kwa vile wanafanya na watu wenye taaluma na weledi wa kuwasukumia maendeleo yao ,na si wa kundi lenu.Bado mtapewa sababu kuwa utawala uliopo ndio umewarudisha nyuma na si udhaifu wa jamii zenu.Tumaini Makene, Wewe ni mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda cha uongo. Hivi hako kadaktari ka kanoni kana hadhi ya kueleweka na Kikwete? chenyewe hakajielewi.
We vipi wewe una kua kama mkw.ere bwana!!Bila shaka Makene umekurupuka. Dr Kikwete alijibu kwa mujibu wa swali aliloulizwa. Mtahangaika sana na JK lakini ndo hivyo siku zinayoyoma
Kwa Mbumbumbu asiyejua Dunia inakwendae km Tumaini Makene na Dr wake ndio anaaweza kung'ang'ani vitu vya kipuuziUkiona nguvu nyingi zinatumika kupinga tukio fulani; msikilizaji unatakiwa ufikirie zaidi ya kufikiria!
ndani ya Chama chenu MUUONDOE kwanza huo UDIKTETA, UKABILA na UDINI ndio muombe ridhaa ya utawala kaskazini tu ni Tanzania yoteDuh..hii nchi ina shida kubwa .Tunahitaji dictator kuleta nidhamu na mpangilio.
kwa wewe na wenzenu msio na akili na ambao mnashindia viroba ndio mtakaomuona SLAA kuwa sio wa mtaani. ila sisi wengine tunamuona ni mjinga tu wa mtaani na ndio maana anaishia kuwa mzinzi na ana promote uzinzi hadharani. kuhusu kauli yake ya eti''mtoto wa kigogo amekamatwa china na shehena ya drugs''' hilo litaaminiwa nwa wanywa gongo kama wewe kwa sababu wakati wa uchaguzi wa 2010 alitutangazia kuwa kuna CONTAINER LA KURA BANDIA LINATAKA KUVUSHWA MPAKANI TUNDUMA-MBEYA.
wajinga mlitoa macho na kushupaa lakini wenye akili zetu tulijua ni usanii wa kijinga na ikaja ikathibitika hivyo.
kwa mwenye akili na mjuzi(sio mzushi kama wewe na babu slaa),mtandao wa wasafirishaji(punda),waagizaji,wasambazaji na watumiaji.... kwa namna yoyote hauwezi kumfanya ridhiwani(kama kweli angekuwa anafanya hiyo biashara) akawa ni msafirishaji(punda) mpaka afikie mahali pa kukamatwa. yeye ni wazi angekuwa katika rank ya waagizaji.
ila sina haja ya kuwaelewesha kwa maana ujinga upo deep within you na ndio maana tunawadharau,tunawapuuza, na tuko dodoma tunawatungia katiba ambayo itawainamisha for the next 50 years
Mkuu, hivi hujui kuwa CHADEMA ni chama cha matukio?
.....yaani Rais wetu hana shughuli mpaka aingii vijiweni kujibu Mwanasiasa.....???
Vise Vesa. Hata KANU wakati inaanguka walikuwa wanaongea kama wewe. Wapi moi sasa? Ungemsikiliza aliyekuwa katibu wa bunge maalum la katiba la Kenya Patrick Lumumba Japo kidogo ungejifunza chochote. Any way CCM wana tabia ya kushupaa.CHADEMA ni sikio la kufa
Haa!!Kiongozi unasema Jp Omuga ni mwizi?Umeiba Avatar ya kibo10
leta updates za presconference yenu uliyotujuza hapa mitandaoni usitugeuze wala viroba kama wewe na babu yako.
Kazi ya kukurupuka kujibu hoja za kipuuzi ni ya Babu mpora wake za watu na Mr. Zero a.k.a Mkuu wa misukule na si kazi ya kiongozi mwadilifu na makini kam Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais ana mambo mengi muhimu ya kuwatumikia watanzania!. Halafu wewe Makene mbona hujitambui!?. Hujui huyo Sinaraha unayemtolea jasho kila siku anakutumia tu kama k'ndom?
Bila shaka Makene umekurupuka. Dr Kikwete alijibu kwa mujibu wa swali aliloulizwa. Mtahangaika sana na JK lakini ndo hivyo siku zinayoyoma
Rais hawezi kujibu mkusanyika wa mawazo ya kipuuzi rais ana mambo mengi ya kuwatumikia wananchi wake, hayo anawachia nyie na Dr.Slaa.
Mkuu Tetty wahenga wanasema ukiwa muongo usiwe msahaulifu! Hawa jamaa wanataka kuiga nyayo za kifimbo ila walipobugi ni kwamba yeye aliwaongoza watu wengi wasio na elimu na sasa wengi wamesoma hvyo inakuwa vgumu kutawala coz hawasom bali wanatumia uzoefu tu ndo maana ukiwapa vipengele wanabutwaa na kuanza ropoka hovyo hii nyundo imegonga utosi watashaa bado kidogo