profkobayashi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 224
- 71
hoja yako ipo wapi? Mnahangaika sana bandugu
Jamaa haogopi EBOLA, kutwa kwenye madaladala
Afisa manunuzi wa ccm huyo
Yeye ni rais, hawezi kupata ebola
Watanzania tuna mkosi kwa kumchagua Rasi mkosi.
Jamaa haogopi EBOLA, kutwa kwenye madaladala
Kwa jinsi kodi yangu inavyotumika vibaya nitahakikisha NAKWEPA KODI KWA UWEZO WANGU WOTE. NGUVU ZANGU ZOTE NA AKILI ZANGU ZOTE. Si uungwana watoto wa shule kuzidi kukaa chini wakati globetrotter Kikwete anajilipa posho nyingi kwa safari zisizo na tija. Haikubaliki
Kweli wanahangaika tena si kidogo. Eti omba omba anapokaa pembeni mwa ATM nako ni ka-ubunifu