Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,468
HAPANA si mwaka mmoja tu {umepunguza siku},
uelewe kila akisafir ukaa huko nje kwa wastani wa siku 5; hivyo idadi ya siku alizokaa = 5*409 unapata jumla ya siku 2045 ambapo ni takriban miaka 7 aliyokaa nje KWA KULIKIMBIA TAIFA LAKE.
Nipo tayar kusahihishwa.
jamaa anapapenda marekani! mimi nahisi atakuwa raia wa marekani aisee. khaa
Umesahau magari ya kifahari
Hii ni record ya kidunia,raisi katawala miaka 10,hata hivyo mwaka mmoja na miezi mitano yuko nje ya nchi bila hata wananchi kustuka,hii ni hatari aisee
hivi anajari kweli?
hivi kuna siku bajeti yake imewahi kuwa kama ya afya kwani ya afya ni pungufu kila mwaka
hivi kuna siku bajeti yake imekuwa kama ya elimu kwani ya elimu ni pungufu kila mwaka
Hii ni record ya kidunia,raisi katawala miaka 10,hata hivyo mwaka mmoja na miezi mitano yuko nje ya nchi bila hata wananchi kustuka,hii ni hatari aisee
Wapumbavu na malofa bhana,mkuu akisafiri kidogo tu mnalalamika.hamuoni wenzetu wenye akili wanaona sawa tu?.akisafiri sio kama huwa hakuna umuhimu la hasha! ila kuna umuhimu mkubwa.kwa mfano alipokuwa anaumwa malofa tulitegemea afanye nini wakati Tz hawajaweka misingi bora katika kuleta afya bora kama si kwenda duniani huko? pia wakati alipoenda kufanya exchange ya madini flani amaizing kwa nyavu za kuvulia samaki..aah net kwa ajili ya kuzuia malaria hamuoni kama malaria inapigwa vita hapo?,hapa bongo hakunaga fresh air time zingine so mnataka mkuu asipate wasaa wa kupata fresh air duniani huko?..mamvi kashaenda sana nje so itabidi atulie tu maana kwa wanavyomsemea afya yake anaweza akatosha kwa mabadiliko ya ndani ya nchi tu na sio kusafiri nje.Makufuli nadhani hajaenda safari nyingi so bora ashinde tumsapoti tuhakikishe anavunja record ya safari hizi nae ampishe mwingine.kidumu chama cha masafari.
kula yangu kwa kijani
ccm oyeeee
Mwaka huu tumestuka ndio maana tumeamua kuipiga ccm chini
Tupunguze matumizi. Sasa hivi Mkoa moja inapelekewa OC ya shs.45,000,000 kwa mwezi badala ya Tshs.250,000,000 kama ilivyopangwa kwenye bajeti kwa mwezi. Kwa kweli hali inatisha. hakuna kazi inayofanyika kwenye ofisi zetu sasa hivi.
Inauma sana jamaa yangu.. ukisikia mkwanja unaotumika kwenye ziara utapigwa na butwaa, ukija kuzidisha na 410 ndio unaweza kupata headache kabisa