General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Kama kawaida yake, wiki hii Rais kikwete anaelekea marekani kuaga.
Habari zinasema kwamba rais atakuwa huko kwa wiki moja, na atawaaga wakuu wa nchi katika mkutano wa umoja wa mataifa, UN.
Hii itakuwa safari ya 410 katika uongozi wakee!!.

Wakuu, nafikiri JK anahudhuria kikao cha kawaida cha wakuu wa nchi Umoja wa Mataifa ambacho hufanyika kila mwaka majira kama haya. Siipendi CCM na mambo yake lakini safari hii kwa sasa ni justifiable.
Tupunguze matumizi. Sasa hivi Mkoa moja inapelekewa OC ya shs.45,000,000 kwa mwezi badala ya Tshs.250,000,000 kama ilivyopangwa kwenye bajeti kwa mwezi. Kwa kweli hali inatisha. hakuna kazi inayofanyika kwenye ofisi zetu sasa hivi.
Akaage kwa mara ya mwisho na awambie lowasa ndo atajkuja mwakani
Anaenda kumtambulisha Mh.Lowasa UN huwezi kuondoka bila kuacha jina la mrithi UN.
Ukawaaaaaaaa tumaini letu.
WH huwa hawakaribishi kiongozi yeyote anayetoka ktk nchi inayofanya uchaguzi...