Rais Kikwete punguza safari za nje

sweetlady leo umeingia kwenye siasa
huku unaweza jikuta unapigwa ban bure bora twende kwenye jukwa letu la chit chat bana
Maana huchelewi kukasirika na kujikuta umetukana

Siku hizi nipo imara Mr Rocky .....naelewa jinsi ya kucheza na akili za vilaza.....usijali hapigwi mtu ban hapa!
 
Last edited by a moderator:
Eti anaenda kuemea!!!!!!!!!!!na cha ajabu zaidi anayekupa misaada anapanda daladala,anayeenda kuomba anakwenda na taxi.


Afu akihemea akipata badala ya kukuza kile alichohemea kwa akili na maarifa yake mwenyewe anakitunia tena kufanyia anasa afu kesho tena huyooooooo kuhemea tena !
 
hivyi anaweza kukaa hapa wiki mbili bila kwenda kuomba msaada. ukweli ni aibu kubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom