Rais Kikwete ni Kiongozi mashuhuri Duniani.

Sango Ochwera

Member
Mar 20, 2013
98
95
Katika taarifa yake ya habari leo saa 2:00 usiku,TBC Taifa imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa viongozi mashuhuri Duniani waliopata fursa ya kutoa hotuba katika Mazishi ya aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Nelson Mandela.
Je ni kweli katika Viongozi mashuhuri duniani na Jakaya Kikwete yumo?
 
gulio

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
296
225
ametoa hotuba kwa ajili ya nchi kuwa kinara wa nchi zilizokuwa mstari wa mbele ktk kulikomboa bara la africa. hotuba yake aliikumbusha dunia juu ya mchango wa tanzania ktk safari ya maisha ya Mandela....nafasi kubwa ilihitimishwa na kuwatambulisha mama nyerere na mama swai
 
ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
0
...Yes! So what? ...kuwa mashuhuri nje haina maana ni maarufu ndani! Mugabe ni Mashuhuri sana Ndani lakini sina hakika kama ni Mashuhuri nje hususan kwa mataifa ya magharibi...
 
patrickcharles

JF-Expert Member
May 22, 2013
530
500
Katika taarifa yake ya habari leo saa 2:00 usiku,TBC Taifa imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa viongozi mashuhuri Duniani waliopata fursa ya kutoa hotuba katika Mazishi ya aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Nelson Mandela.
Je ni kweli katika Viongozi mashuhuri duniani na Jakaya Kikwete yumo?

:usa2::A S thumbs_up:
 
Msolwa

JF-Expert Member
May 20, 2013
480
195
Jakaya ni Raisi maarufu na makini. Nimefuatilia hotuba zote zilizotolewa kwenye msiba wa Madiba, hotuba aliyotoa Jakaya ilikuwa na msisimko, mvuto na mtiririko ulipangiliwa vizuri sana. Ukumbi wote ulikuwa unazizima na kuipokea hotuba hiyo kwa furaha sana. Pia hotuba aliyoitoa kenya kwenye sherehe ya miaka 50 ya uhuru wa Kenya, ilikuwa ni hotuba nzuri sana na yenye mvuto wa kipekee.
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
2,000
Katika taarifa yake ya habari leo saa 2:00 usiku,TBC Taifa imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa viongozi mashuhuri Duniani waliopata fursa ya kutoa hotuba katika Mazishi ya aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Nelson Mandela.
Je ni kweli katika Viongozi mashuhuri duniani na Jakaya Kikwete yumo?

Haya ni matunda ya Mwalimu Nyerere na si zaidi .Viongozi mashuhuri walitoa speech zao mapema mwanzoni mwa wiki pale Uwanjani .Leo kasimama sababu ya Mwalimu na mazimbu nk .So ni Mwalimu na si JK kama yeye .
 
tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,312
1,250
kwa hali ilivyokuwa Leo ni sahihi kusema viongozi mashuhuri afrika kwa sababu waliotoa hotuba ni viongozi wa Afrika km kuna viongozi wengine nje ya afrika waliotoa hotuba Leo basi TBC wako sahihi kama sivyo hawapo sahihi.
 
uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,463
2,000
Kwa safari zote za nje alizosafiri,
na ambazo anatarajia kusafiri,
asingefanikiwa kuwa mashuhuri
ningekunya hapa hadharani jf.
 
Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,207
2,000
Katika taarifa yake ya habari leo saa 2:00 usiku,TBC Taifa imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa viongozi mashuhuri Duniani waliopata fursa ya kutoa hotuba katika Mazishi ya aliyekuwa Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Nelson Mandela.
Je ni kweli katika Viongozi mashuhuri duniani na Jakaya Kikwete yumo?

Sema taratibu akikusikia Yule muuza gongo atanuna sana
 
chorobinsky

Member
Sep 3, 2013
49
125
amebebwa na jina la nchi ya tanzania, bt kama yy acngeweza,kwa kipi hasa alichofanya cha tofauti ili apate umashuhuri huo? tanzania ni mashuhuri na si jakaya mashuhuri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom