Rais Kikwete na Mama Salma wakiwa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,558
2,000
attachment.php


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013

attachment.php

attachment.php


attachment.phpRais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013

Rais Kikwete na Mama Salma wakiwa na Mzee Mandela wakati wa Uhai wake.
attachment.php


attachment.php


Picha kwa hisani ya Ikulu
 

Attachments

 • NGI_3387.jpg
  File size
  424.3 KB
  Views
  4,167
 • NGI_3513.jpg
  File size
  479.4 KB
  Views
  4,099
 • NGI_3514 (1).jpg
  File size
  447.1 KB
  Views
  4,059
 • NGI_3516.jpg
  File size
  425.1 KB
  Views
  5,909
 • DSC04698.jpg
  File size
  164.7 KB
  Views
  3,610

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
15,549
2,000
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
That's good
 

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
24,200
2,000
sasa jk nae mbona anakimbelelee kama kibonde... yeye anakuwa mtambulishaji kama nani!?
 

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,935
2,000
...mbona kama anashangaa,afu wenzake wanaangalia the oposite direction...
 
Dec 5, 2013
48
0
attachment.php


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013

attachment.php

attachment.php


attachment.phpRais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013Picha kwa hisani ya Ikulu
Sasa tufanyeje?
 

Mavotah

JF-Expert Member
May 24, 2013
280
250
Nimejaribu kufuatilia hakuna hata chombo chochote cha kimataifa kilichompiga picha na hapa nilijua mtazileta za Michuzi au kutoka Ikulu
 

masatujr1985

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,981
2,000
Kilichonishangza ni pale ambapo hata Dira ya Dunia BBC pamoja na kipindi cha Focus on Africa vyote vikirushwa na BBC walipoyataja majina ya Marais wa Kenya na Uganda kwa nguvu zote lakini hata kutamka tu kuwa Rais wa Tanzania alikuwepo hakuna!!!
Duh, ina tafsiri kubwa sana hii hali. Je, wana tu-ignore?
 

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,740
2,000
sasa jk nae mbona anakimbelelee kama kibonde... yeye anakuwa mtambulishaji kama nani!?

Ndugu sio kimbelembele amechukua fulsa hiyo kwa kuwa yeye ameishatembea karibu nchi zote za Dunia hii kwa hiyo anawajua Marais wote waliohudhuria hafra hiyo ndio maana akachukua fulsa ya kuwatambulisha tofauti na hao wengine inawezekana hawajuani.
 

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,740
2,000
attachment.php


Maelezo yanasema anatambulisha kweli Watanzania tunapenda kujiproud sana hapa kuna muonekano wa kutambulisha kweli? Hapa kinachojionyesha wote wapo kwa ajili ya kumuangalia Rais Obama na sio Rais wetu kama picha inavyojionyesha wote macho kwa OBAMA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom