Rais Kikwete na Mama Salma wakiwa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,577
6,582
attachment.php

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013

Rais Kikwete na Mama Salma wakiwa na Mzee Mandela wakati wa Uhai wake.
attachment.php

attachment.php

Picha kwa hisani ya Ikulu
 
Attachments

  • NGI_3387.jpg
    NGI_3387.jpg
    420.2 KB · Views: 4,168
  • NGI_3513.jpg
    NGI_3513.jpg
    444.8 KB · Views: 4,100
  • NGI_3514 (1).jpg
    NGI_3514 (1).jpg
    412.2 KB · Views: 4,060
  • NGI_3516.jpg
    NGI_3516.jpg
    421.9 KB · Views: 5,910
  • DSC04698.jpg
    DSC04698.jpg
    53.8 KB · Views: 3,611
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
That's good
 
sasa jk nae mbona anakimbelelee kama kibonde... yeye anakuwa mtambulishaji kama nani!?
 
...mbona kama anashangaa,afu wenzake wanaangalia the oposite direction...
 
attachment.php

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013

Picha kwa hisani ya Ikulu
Sasa tufanyeje?
 
Nimejaribu kufuatilia hakuna hata chombo chochote cha kimataifa kilichompiga picha na hapa nilijua mtazileta za Michuzi au kutoka Ikulu
 
Kilichonishangza ni pale ambapo hata Dira ya Dunia BBC pamoja na kipindi cha Focus on Africa vyote vikirushwa na BBC walipoyataja majina ya Marais wa Kenya na Uganda kwa nguvu zote lakini hata kutamka tu kuwa Rais wa Tanzania alikuwepo hakuna!!!
Duh, ina tafsiri kubwa sana hii hali. Je, wana tu-ignore?
 
sasa jk nae mbona anakimbelelee kama kibonde... yeye anakuwa mtambulishaji kama nani!?

Ndugu sio kimbelembele amechukua fulsa hiyo kwa kuwa yeye ameishatembea karibu nchi zote za Dunia hii kwa hiyo anawajua Marais wote waliohudhuria hafra hiyo ndio maana akachukua fulsa ya kuwatambulisha tofauti na hao wengine inawezekana hawajuani.
 
attachment.php

Maelezo yanasema anatambulisha kweli Watanzania tunapenda kujiproud sana hapa kuna muonekano wa kutambulisha kweli? Hapa kinachojionyesha wote wapo kwa ajili ya kumuangalia Rais Obama na sio Rais wetu kama picha inavyojionyesha wote macho kwa OBAMA
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom