Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

PAMBANA

Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
73
Reaction score
21
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.
 
Msikieni tu wenye nafasi hiyo jamani. Ndo mkuu wa nchi yuyo. Zidumu fikra sahihi za M/Kitiiiiiii..sema.. Zidumu. Kwa heri zenu, naenda kulala mapema akimaliza niangalie Isidingo the need.
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

Ni kweli uyasemayo,sababu hana uzalendo kabisa na ninadhani anafikiri usipokuwa CCM na ukawa na mawazo tofauti na CCM basi si RAIA mwema tena na wala si Mwananchi wake nadhani angekuwa na uwezo angewafukuza watanzania wote wanaosupport upinzani.Labda huwa namuelewa au ninamuhukumu vibaya, sijui.
 
Nalibadili stations baadaye nikaamua kwenda kutembea kabisa.
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

bonge la hutuba tupo hapa watu wanashangilia ile mbaya mheshimiwa ni rais wa karne
 
Ni walewale tu vijembe kama kawaida.kama baba anapiga vijembe watu wake kule bungeni wataachaje? Ukoo wa laana ni wa laana tu.
 
Mimi leo nilipandia daladala maeneo ya tip top kuelekea ubungo, ile naingia tu, dereva akaweka hotuba halafu akahamisha.
Mi nikasema iache hapo kwa JK dereva wangu..
Dah! Wamenishambulia abiria utafikiri nimeua.
 
bonge la hutuba tupo hapa watu wanashangilia ile mbaya mheshimiwa ni rais wa karne

Pole,wengine tunasubiria Tamthilia ipo more entertained than hiyo hotuba. Na foleni hiyo,hope watawarudisha nyumbani.
 
milelee siwez msikiliza huyu jamaa.akianza tu naumwa kichwa.puuuuumbaaaaaa
 
Tangu lini ccm wakawa na jipya, siwezi kupoteza muda wangu kusikiliza intarahamwe nisije nikaingiwa na maradhi ya moyo bure. Tangu aondoke Nyerere ladha yote ya viongozi wa ccm ikazikwa kule butiama waliobaki ni kichefuchefu
 
Nipo kwa fundi hapa tv imezima baada ya kufungulia hotuba ya Jk..
 
Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo wawashe TV na radio zao.Hii inadhihirisha jinsi gani watu walivyomchoka rais Kikwete.

Hata mimi niliamua niangalie startv kipindi cha tution mana hana mvuto na zaidi ni UCCM wa vijembe na kumkashifu mzee wetu mpendwa Warioba
 
Back
Top Bottom