Rais Kikwete kuzungumza na wazee wa CCM Dar leo jioni!

Status
Not open for further replies.
Nina Babu yangu anamiaka 75 nimemuuliza kama kapata mualiko wa JK kasema hajapata. Nimemuuliza kama yeye ni mwanachama wa Jumuhia ya Wazazi wa CCM Kasema si mwanachama na wala hawajawai kuwa mwanachama wa hiyo Jumuhia. Basi nikawa nimepata jibu la hao wazee wa CCM.
Mbona mimi nakujua wewe, Babu yako si marehemu? au ulienda Kaburini?
 
..JK mambo yameanza kumfika shingoni kesho atatafuta huruma za wazee kwa kuongea nao jijini DSM saa kumi jioni.Bila shaka hawa watakuwa wazee wa CCM tu.

Tutakumbuka kuwa JK alifanya hivi wakati mgomo wa walimu chini ya TUCTA ulipotangazwa..na hapa ndipo ile kauli ya akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako ndipo alipoitoa.

Mgoja tuone..tutegemee hotuba yenye kujaa hoja zenye kutaka huruma za wazee dhidi ya matatizo mengi yanayoisumbua hii nchi kwasasa.

SOURCE:CHANNEL TEN

kumbe muda anao sasa kwa nini asitake kuonana na madaktari?
 
Rais Jakaya Kikwete anahutubia wazee wa Dar es Salaam leo.

Zipo tetesi kuwa lipo kundi la wanaharakati linalowanunua baadhi ya
wazee hao ili wamzomee Rais ukumbini. Kundi hilo la wanaharakati
ni mpango unaosimamiwa kwa karibu na Ananilea Nkya na Hellen Kijo
Bisimba.

My take: Huu ni uchochezi na zomea zomea haina maana yoyote,
wamuache Rais ahutubie ili tujue anayotaka kuzungumza kwa wananchi
kupitia wazee hao.

Sintoacha kuchangia na kukataa huu uoni

1. Kwa hali ilivyo kulikuwa na umuhimu gani wa kuanza kuleta hisia za kubaguana kwa umri na kimikoa????
2. Kwa nini isingekuwa na vyombo vya habari?
3. Kama uko makini hili linaleta hoja ya kuzungumza na marika yote na mikoa yote verry soon.......with media hii ingefanyika kwa urahisi sana na ingekuwa effective

Mytake; Kwa kuwa yeye ni Rais na ana uhuru wa kuchagua audience well and good but ikumbukwe tena kwa umakini kuwa kura alipigiwa na watu wengi so uchaguzi wa audience ni jambo la muhimu sana hasa kwa kipindi hiki
 
Wamenunuliwa na wanaharakati!

mhhhhhhhhhhh kwa nini wanaharakati wawanunue watu ila hata kama wamefanya hivyo ina maana yake pia.ukiona watu wanafanya mambo mbalimbali hawaridhiki na mambo yalivyo kama mambo yapo shwari huwezi kuona wala kusiskia mambo ya aina hii. kama wamefanya hivyo poa.
 
Sasa magari yatawapitia saa ngapi wazee kuwapeleka Diamond Jubelee ?
Tunaomba mwenye taarifa atupatie,Alafu huyu rais mh! kama magumashi vile kwann anataka wazee tu
tena wa Dsm ?au wazee wa CCM tu

utawagundua kwa mavazi watakayokuwa wamevaa.
 
kwa kweli hili li nchi limemshinda jamaa, hivi kujiuzulu ni dhambi? si atoke tu!!!
 
Nni bora angekaa kimya na kulitatua tataizo kimya kimya!yeye mwenyewe watu tumemchoooka!akae kimya kama alivyokuwa amekaaa kwani tumezoea kwa kipindi sasa kumuona yupo kimya!watu tunataka vitendo na sio kuongea na wazee wa c.c.m kama iliivyo!kwani wazee wapo dar pekeee yake?siku nyingine aende mbeya au kilimanjaro akaone wazeee wenye akili na misimamo yao ya kisomi!hawa waswaili wa kizalamu hawana lolote zaidi kupiga makofi na kuzomea kama iliivyo kuwa 2010 ktk hotuba yake ya mbayuwayu dhidi ya wafanyakazi!kwa kifupi nchi imefilisika!haina ela!inayummba!yote hayo ni matokeo ya viongozi wabovu na mafisadi walio fugwa na magamba.
 
Jk awasambaratishe anangoja nini? ndio maamuzi magumu yenye faida kwa taifa

Hivi unadhani tunafukuzafukuza tu? Akili zako zinafanana na jina lako Mama Porojo..hizi porojo kapeleke kwa mume wako ambaye labda anapenda porojo ndio zinamfaa na sio hapa JF.
 
wale sio wazee unao fikiria wewe bali ni vibaraka wa ccm walioandaliwa kwa kazi hiyo ya kumuunga mkono kikwete. ndo maana wewe hata kama ni mzee wa miaka 1000 huwezi ruhusiwa kumsikiliza. na wazee ndo walewale. bora angesema anaongea na wazee wa upanga. kwanza sio kuongea nao bali wazee wanaenda kumsikiliza, ile haina tofauti na kwenye tv. wale kazi yao ni kupiga makofi tu.
NAWAOMBENI NYINYI MAMULUKI WA KUJIPACHIKA UZEE MUACHE KUWASHUSHIA HESHIMA WAZEE WETU KWA KUJIITA WAZEE WA DAR ES SALAAM.
 
Ningekuwa yeye ningezungumza na madaktari. Wanaoitwa Wazeee wa Dar es salaam tunatambua ni wazee wa CCM, na si sahihi kuwaadress hao kwa matatizo ya madaktari. Kuna ufinyu wa mawazo serikalini.
:A S crown-2:
 

Hivi unadhani tunafukuzafukuza tu? Akili zako zinafanana na jina lako Mama Porojo..hizi porojo kapeleke kwa mume wako ambaye labda anapenda porojo ndio zinamfaa na sio hapa JF.

watu mna hasira! mwe
 
mmmh hii miaka kumi ya uongozi wa Jk itatugharimu sana!Hayo mazungumzo yataonyeshwa live au ndo tusubiri kuhadithiwa na wanahabari wa TBc 1 waliopoteza heshima ya kazi yao kwa kukubali kufanya propaganda za sisiemu?
 
..jk mambo yameanza kumfika shingoni kesho atatafuta huruma za wazee kwa kuongea nao jijini dsm saa kumi jioni.bila shaka hawa watakuwa wazee wa ccm tu.

Tutakumbuka kuwa jk alifanya hivi wakati mgomo wa walimu chini ya tucta ulipotangazwa..na hapa ndipo ile kauli ya akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako ndipo alipoitoa.

Mgoja tuone..tutegemee hotuba yenye kujaa hoja zenye kutaka huruma za wazee dhidi ya matatizo mengi yanayoisumbua hii nchi kwasasa.

Source:channel ten


mimi naona ingekuwa bora akazungumze na madaktari pale muhimbili kwa niaba ya madaktari wengine.

Anapo zungumza na wazee wa dar, je mikoa mingine haina wazee wa kuzungumza nae, au hao wa dar ndo wenye mawazo mazuri ya kumsaidia?
 
Jk awasambaratishe anangoja nini? ndio maamuzi magumu yenye faida kwa taifa

kBYIgfCEvEAThC3mBIAhfyAsEQfhCXiAIwhfyAkEQvpAXCILwhbxAEIQv5AWCIHz5D1sdZzyUfYX0AAAAAElFTkSuQmCC
 
Sikawahi kuona rais mwenye akili za hovyo kama huyu toka nitoke tumboni kwa mama yangu!!! yaani badala ya ku dela na mambo ya msingi anaenda kuongea na wazeee.yaaani i swear before God ...hatutakuja kuchagua rais wa KABILA na DINI anayotoka JK ...maana ni watu wa hovyo sana

Nadhani ziko nchi nyingi tu duniani ambazo zina Rais/viongozi wanaotoka dini ya huyu Rais wetu lakini hakuna Rais/kiongozi wa nchi yoyote duniani (excl. Tz) anayetokea kabila la Rais wetu. Nadhani utakuja tena ku-edit post yako baada ya kusoma post hii!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom