Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,687
- 134,425
hapo mimi bado kuelewa. Ni ataongoza au atashiriki?
Nyie chekeleeni tu wenzenu wanakula vichwa...Ibada ya mazishi ya kamanda Regia itaongozwa na Paroko/Padre au Askofu wa Kanisa Katoliki.Baba,Mama Dada,Bibi,Viongozi wa CDM na Rais Kikwete pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serekali watahudhuria katika Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Regia.
Kwenda kwenye misiba kama hiyo ingekuwa sawa na utendaji kwa maslahi ya Taifa basi tungekuwa mbali sana!JK anashiriki misiba mingi sana na kwa hilo mimi siwezi kubania kumpa hongera zake.
Bado sijapofushwa na unazi au itikadi za kisiasa hadi kutoona hata yale mema ambayo mtu uliye tofauti naye anayafanya.
Ni jambo jema kabisa lisilo na ubaya wowote ule.
Kwenda kwenye misiba kama hiyo ingekuwa sawa na utendaji kwa maslahi ya Taifa basi tungekuwa mbali sana!
Haya mambo ya kisiasa si sawa na mambo ya kifamilia, tunataka kuona ushirikiano bora kati ya viongozi kwenye kutuletea maendeleo, na hayo mengine ya msiba, harusi nk, yatakuwa ya ziada tu.
Hii PR yote ni kwasababu wanataka tu kunufaika kisiasa mbele ya macho ya watanzania, lakini ukweli uko wazi, wangekuja pamoja nyakati zote na si za msiba tu.
Hapo ndo msimamo wangu ulipo, kwamba amekwenda na ni jambo jema, yes, but...
hapo mimi bado kuelewa. Ni ataongoza au atashiriki?