Imekuwaje tena!... kwani wazee wa Dar es Salaam hawapo?Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi
Mkuu wa nchi kuhutubia taifa ucku, kaa tayari kusikia atakachosema mkuu kwa maendeleo ya nchi
Naheshimu sana usingizi wangu.
hivi unaacha usingizi wako umsikilize dhaifu atakuwa na lipi au anataja alioshiriki nao kutaka kumuua dr ulimboka..au anataka kuja kutuambia kuwa vijana wake aliwatuma kuua na siyo kujeruhi..
Naheshimu sana usingizi wangu.
watu wanafiki kama wewe ni hatari kwa taifa ni unafiki tu unawasumbua asipo hutubia mnaponda, akihutubia mnakosoa