Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

Ahutubie asihutubie it doesnt make any difference aiseeee, siku zote alizohutubia aliishia kucheka tu hata kwa issues ambazo ni serious. na ndio maana anaongea na wazee!! wazee?/ ili wampgie makofi kila anachokiongea...thanks, nitaangalia katuni
 
Au ndo anataka kuwatangazia wazee wa Dar es Salaam baraza lake la mawaziri?
 
Ahsante sana Mpwa Elli

Ahutubie asihutubie it doesnt make any difference aiseeee, siku zote alizohutubia aliishia kucheka tu hata kwa issues ambazo ni serious. na ndio maana anaongea na wazee!! wazee?/ ili wampgie makofi kila anachokiongea...thanks, nitaangalia katuni
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo maamuzi ya watuhumiwa wa ESCROW atayafanya mbele ya wazee wa Dar.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…