Rais Kikwete katika picha matukio mbalimbali







President Kikwete inaugurating a plant will produce electricity from sisal plants in Tanga




He was at Saba Saba on the 5th of July 2008




On he return, he flies to Dodoma, he chaired a cabinet meeting on the 3rd. He does office work on 4th of July. Finally!




On the 29th June he leaves for AU Summit in Egypt, where he stays until the 2nd of July.




He returns to Tanzania on 27th June. He rests for a day.




On the 26th June, He flies from Swaziland to Kigali for the East African Community Meeting.




On 25th of June, JK is in Swaziland to discuss the Zimbabwe issue, nothing meaning came out of this meeting.



Mnakumbuka bajeti ilipogonga mwamba? Hapa ndo alikuwa anaenda kuikingia kifua
 

Attachments

  • Kikwete-tng.jpg
    44.6 KB · Views: 307
  • Kikwete_page-3.JPG
    31.3 KB · Views: 310
Kuna mdau kaniomba niweke picha ya mwanae Rais alipofunga ndoa. Hii hapa:

 

Attachments

  • ridhiwani_wedding.jpg
    60 KB · Views: 314


Jakaya Kikwete, left, the president of Tanzania, embraces Muammar Qaddafi, the Libyan chief of state, in the Plenary Hall of the United Nations building in Addis Ababa, Ethiopia, during the 12th African Union Summit Feb. 2, 2009. The assembly elected Qaddafi to relieve Kikwete as chairperson of the African Union
 

Attachments

  • Jakaya_Kikwete_and_Muammar_al-Gaddafi_12th_AU_Summit_090202-N-0506A-678.jpg
    35.1 KB · Views: 298

Her Excellency Salma Kikwete of Tanzania (United Republic of).


(R-L) Her Excellency Salma Kikwete of Tanzania (United Republic of) and Sarah Brown
 
Rais Kikwete akiwa na Scholastica alipokuwa Hai mwezi Agosti 2007

 

Attachments

  • Rais Kikwete akiwa na Scholastica alipokuwa Hai mwezi Agosti 2007.JPG
    50.5 KB · Views: 331

President Jakaya Kikwete is easily East Africa's most well-dressed head of state who is not only well groomed but with a charisma to match.
Picture: Leonard Magomba
 


Disemba 2, 2005: Rais Kikwete wakati wa kampeni za kugombea urais akiwa na marehemu Veneranda Sanga (katikati) aliyekuwa yatima hana baba wala mama na alikuwa anaishi na VVU na alifariki 28/02/2009. Sijui kama anamkumbuka!
 

Attachments

  • kikwete_piuma_ost_anna_abdallah_060.jpg
    60.3 KB · Views: 266




Rais Kikwete akimpongeza Sheikh Mustapha Khalid Swidia, mkuu wa Madrasati Phalahi iliyopo Katoro, wilaya ya Bukoba vijijini, muda mfupi baada ya JK kufungua madarasa mapya yatakayotumika kama sekondari mpya ya kiislam. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika katika eneo la Katoro




Rais Kikwete akisalimiana na watoto yatima katika kituo cha watoto yatima katika kijiji cha Bwoki, wilaya mpya ya Misenyi, mkoani Kagera muda, mfupi baada ya Rais kuzindua kituo hicho.









Rais Jakaya Kikwete akisalimia wananchi waliojitokeza katika uwanja wa Amani alipoudhuria sherehe za Mapinduzi. Chini, Rais Aman Abeid Karume akikagua gwaride la heshima mwaka 2008 katika uwanja wa Amani,Zanzibar katika sherehe za miaka 44 ya Mapinduzi Zanzibar na hao wengine picha ya chini ni kikosi cha Valantia. Picha na Edwin Mjwahuzi.




JK alipomtembelea Said Kubenea Hospitali ya Taifa Muhimbili alipomwagiwa tindikali
 

Attachments

  • Kikwete na Sheikh Mustafa.jpg
    60.8 KB · Views: 300
  • Kikwete_na_Saidi_Kubenea.jpg
    38.4 KB · Views: 309


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua shamba lake la mananasi yaliyopandwa kwa ustadi mkubwa na kwa kuzingatia vipimo vya kitaalam hyuko Kiwangwa Bagamoyo




Akiandika kitu




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya mahama ya Mwanzo huko Kibutuka Liwale
 

Attachments

  • kikwete_panda_mti_.jpg
    122.5 KB · Views: 295
<!-- google_ad_section_start(name=default) -->

Rais Jakaya Kikwete




 


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya mtaa katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge kilichopo jijini Dar es Salaam leo mchana



Karani katika kituo cha kujiandikisha wapiga kura cha Shule ya Msingi Bunge jijini Dar es Salaam Bwana Issa Kipengule akimwongoza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la wapiga kura kwaa ajili ya uchaguzi wa viongozi ngazi ya mtaa.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na karani wa kituo cha Shule ya msingi Bunge muda mfupi baada ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Viongozi ngazi ya mitaa.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la wapiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge jijini Dar es Salaam leo mchana.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi, Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Aggrey Mwanri, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Adam Kimbisa na Karani wa kituo hicho Bwana Issa Kipengule

Picha zote na Freddy Maro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…