Tupo wengi ambao hatufaiHakufai wewe .
Hatuna imani nae.........naomba wabunge wakirudi bungeni wampigie kura ya kutokua na imani nae ile twende kwenye uchaguzi, sipati picha hiyo miezi iliyobaki kitatokea nini kama akiendelea kuwepo........imetosha wajameniii!!!!!!
Anaekufaa ni yupi? Sisi wengine tunamuona anatufaa na hakuna Rais bora kama yeye. Na angekuwa yeye ni kamanda wakati huo unaosema asingeingia kwenye vita.
Hata Gaddafi na wema wote kwa Libya wako waliomuona hawafai sasa hivi wanajuta.