Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
teh teh teh teh teeeeeh! Kwa hiyo kikwete anainamateh teh.
Nadhani mmesahau usemi usemao,mtaka cha uvunguni sharti ainame.
teh teh teh teh teeeeeh! Kwa hiyo kikwete anainamateh teh.
Nadhani mmesahau usemi usemao,mtaka cha uvunguni sharti ainame.
ndio maana tunasema kuwa huyu mkulu alipaswa kuwa mjumbe wa nyumba kumi, maana ndo kazi anazoziweza na si hii ya urais, rais mzima anakwenda kugawa ng'ombe? Halafu kwenye majukumu ya msingi ya kitaifa humuoni, kama vile hajui. Asije nitafutia ban bure, go to hell jk.Cost waliyoingia kwenye kutengeneza hilo banda la chuma la kugawia ng'ombe ni Sh ngapi?
hazitoshi Ng'ombe 20 kweli hapo?
Je, cost ya Mkwerre kwenda Longodo ni sh ngapi? mkuu wa mkoa asingeweza kugawa hizo ng'ombe?
kwangu mimi, this is anther clown play!
we are doomed, this circus will never end unless we get rid of this political gang!!! you know what i mean!!!
Acha kupotosha watu bwana mimi hapa nipo Namanga ambapo ni mpakani mwa Tz na Kenya na ndo wilayani Longido, Mwaka 2010 wakati Kikwete anapiga kampeni nakumbuka kulikuwa na ukame sana hapa wilayani longido uliosababisha ng'ombe wengi kufa, ili kubeba kura za wamasai kiurahisi kikwete aliwaahidi kuwaletea ng'ombe ili kuliplace waliokufa kwa ukame, na jana ndo alikuja kugawa ng'ombe kwa jamii ya kimasai zilizoaslika na ukame wa mwaka 2010. Na nashangaa umeihusishaje hii ziara ya kugawa ng'ombe na kampeni za Arumeru au ndo kutafuta cheap popularity zisizo na maana yeyote hapa. Kajipange upya
wananchi ni kulazimisha chaguzi ndogondogo ndio suluhisho la matatizo.
Wabunge wetu wamekufa kifo cha namna gani? "Natural death" au
na huo ndio ukweli mkuu acha ubishi ameenda kuzindua kampeni rasmi kwani madaktari waligoma hapa week tatu watu walikufa mbona alikuwa kimya hivi huu ndio muda wa kugawa ngombe alizoahidi kwenye uchaguzi alikuwa anasubiri nini? au alijua sumari atakufa,watanzania wameamka na wapo makini na wala hapo sio igunga hilo wajue.
Hatimaye Mtukufu Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete amefungua rasmi kampeni za uchaguzi mdogo kule arumeru safari hii akianzia jirani na baadaye kumalizia penyewe kama alivyofanya kule Igunga kwa kutoa chakula kwa wale walioachwa na njaa kwa muda mrefu na hatimaye wananchi wakaona hakuna kama ccm hawa chadema wanapiga kelele tuu hawaleti chakula wala ngombe kama mkulu.
Sasa wananchi wamegundua ili kutatua matatizo ya barabara na miundo mbinu nyingi vijijini ni kulazimisha chaguzi ndogondogo ndio suluhisho la matatizo.
Nawasilisha.
Hint:MPENDE ADUI YAKO.[/QUOTE
UNADHANI ZIADI YA HAPO ANGEFANYAJE ZAIDI YA HAPO? Mm sioni tatizo, Tatizo lipo pale watakapo kabidhi fisadi mkuu Wa Richmond,EPA,KAGODA NA MVUA ZA KUTENGENEZA NA MKWE WA C.E.O.E KUPIGA KAMPENI JAPO DK.5 TU NDIPO ITAKUMBUKWA KWAMBA ITS PEOPLE WHO MAKE HISTORY KWA HIYO MTU ANAWEZA KUTABIRI TU KWAMBA RAIS WA KWANZA CCM NI JK NA WA MWISHO NI JK,sababu itakuwa ni woga wa kukemea matajiri jicho kwa jicho kutokana na kuwahonga,heri mpoteze kwa hekima kuliko kupata kwa hongo.