Wacha porojo, ulitaka Amiri Jeshi Mkuu asiwaambie askari wake kujitayarisha kukabiliana na vurugu kama zitatokea?
Hivi wanaposema ulinzi utaimarishwa unafikiri ina maana ipi?
Fox at work!!
Wacha porojo, ulitaka Amiri Jeshi Mkuu asiwaambie askari wake kujitayarisha kukabiliana na vurugu kama zitatokea?
Hivi wanaposema ulinzi utaimarishwa unafikiri ina maana ipi?
Kikwetele amekuwa siku hizi mnajimu?? Amefanya makusudi iliaandae mauaji??
Kikwete ni Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania. Unataka kusema nini zaidi ya hilo ewe punguani?
Nenda wewe kawaamrishe askari kama anavyowaamuru Kikwete uone nini kitakutokea.
Wewe lazima umuone Hitler much better si Mkatoliki mwenzio.
Asubuhi ya leo wakati nasikiliza kipindi cha magazeti nilisikia statement iliyokuwa na ukakasi, kwamba Amiri Jeshi Mkuu amewaambia Polsii wakae Mguu pande kukabili vurugu wakati wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura, Kura ya Katiba Mpya na Uchaguzi mkuu.
Hii statement ya kuwatangazia polisi wetu maneno mabya kama haya, sio sahihi kabisa na kamwe haikubaliki.
Swali langu, kama Raisi ametangaza hadharani kuwa kutakua na vurugu na Polisi wajiandae, vipi Wananchi nao wakijiandaa itakuaje? Amani itapatikana kweli? Nadhani tuchunge sana sana kauli zetu kwenye kipindi hiki.
wananchi nao watakuja siku waamue kujilinda, itakua shida tupu. MUNGU tuepushie kauli hizi za viongozi wetu.
BAK tpaul MANI na wengine, hizi kauli si za kupuuzwa hata kidogo, ni kuwajengea watu tension ambayo si ya lazima. I stand to be corrected.
Unapoandika "mlikula" mkong'oto unamaanisha akina nani? Hii nchi hakika tusipokuwa makini itakuja kuwa zaidi ya Libya na Iraq. Sikutegemea kuna watu wana kauli za namna hii. Kumbe kuna watu hawajisikii vibaya binadamu wenzao wakiteswa ilimradi wao wanakula na kulala. Jamani,vita haina ndugu wala rafiki. Angalieni Syria. Angalieni Nigeria kaskazini ambapo wasichana 200 wasiokuwa na hatia hadi leo hawajulikani waliko. Acheni kuropoka kwa kuwa mnakula na kwenda chooni.
Hebu tuwekane sawa FF...
Kwa uelewa wako zoezi la kuandikisha majina ya wapiga kura huwa linaambatana na vurugu?
Kama Rais anaamini kuwa kuna sababu zinazoweza kupelekea vurugu kwa nini mianya hiyo isizibwe?
Kutoa amri kwa jeshi la polisi ya kuthibiti vurugu maana yake rais anakubali kujenga ukuta kabla ya kuziba ufa...
Amewambia polisi wajiandae kukabiliana na vurugu wakati wa uandikishaji,kipi cha ajabu hapo.Nilikuwa naelewa ni kuhusiana na chokochoko za mipaka ya nchi. Sikujua kuwa polisi wanatakiwa wajiandae kupambana na wanachi. Tunakoenda ni zaidi ya hatari. Polisi wako wangapi na wanachi wako wangapi? Duh! Hii ni hatari kabisa.
Wacha porojo, ulitaka Amiri Jeshi Mkuu asiwaambie askari wake kujitayarisha kukabiliana na vurugu kama zitatokea?
Hivi wanaposema ulinzi utaimarishwa unafikiri ina maana ipi?
Nilikuwa naelewa ni kuhusiana na chokochoko za mipaka ya nchi. Sikujua kuwa polisi wanatakiwa wajiandae kupambana na wanachi. Tunakoenda ni zaidi ya hatari. Polisi wako wangapi na wanachi wako wangapi? Duh! Hii ni hatari kabisa.
Duuu we kweli jua kali mapaka aondoke madarakani utakuwa ushapewa ukuu wa mkoa si ulisema asiposhughulikia lile sakata la ajali.iliyouwa juzi barabara ya mbeya ungejiuzulu umefikia wapi sasa au ndio wale mnaolia huku mnacheka mnafiki ni mtu hatari kuliko mchawi bora mchawi akikuloga unaweza aguliwa lakini mnafiki ana sumu kali kama ya nyoka.
Hivi hauwezi kabisa ku-comment kitu bila kuweka UDINI na hasa WAKATOLIKI?Hivi sisi WAKATOLIKI tumekufanya nini kiasi kwamba unatudharau na kutudhalilisha?Hivi kuna mahali ABDALAH MOHAMED akawa MKATOLIKI?
Jifunze kuheshimu IMANI za wengine ,sidhani kama tukianza kudhalilisha na kudharau UISLAMU tutakuwa tumewatendea haki WAISLAMU wenzako?
Nakuomba dada yangu issue ikiwa haina dini basi jitahidi kuepuka kulaumiwa bila sababu.Humu JF tuko WAKATOLIKI wengi ambao hatupendezwi kamwe na comment zako.
Utanisamehe kama nitakuwa nimekukwaza ila najua nitakuwa nimeusemea moyo wangu.
Fox at work!!
Bibi yetu tunakuomba utufafanulie maana halisi ya neno 'vurugu'tuanzie hapo ndio tutajua ni nani huwa anafanya vurugu kati Serikali au Wananchi.
Hapa ndio mwisho wa rais wenu wa kufikiri kama aliweza kujibu swali hajui kwa nini wananchi wake wanaishi kwenye lindi la umasikini wakati wamejaaliwa rasilimali za kutosha na kujibu hajui , uchumi wa nchi umekuwa kwa magari foleni za magari barabarani sishangai kutoa kauli hiyo ila anahitaji maombi kwa kweli .
Tunachokisema sisi kama Watanzania hakuna mtu au kikundi kitakachoanzisha vurugu tu hivi hivi ,lazima pana tatizo na tatizo lenyewe ni "haki".
Watawala wa CCM mnazidisha kutuamulia kila kitu sisi wananchi,katiba mmeamua kuandika ya kwenu na tunajua mtaipisha kwa hila na vitisho kama hivi.Katiba sio mali ya CCM ni mali na ni "haki" ya Watanzania wote lakini haki hii mmeshaichukua na bado mnataka tukae kimya tu?
Tukisema ukweli mnawaagiza polisi watupige na kutuua,mtaua wangapi?
Hitler alihusu nini kwenye huu mjadala?