Wacha porojo, ulitaka Amiri Jeshi Mkuu asiwaambie askari wake kujitayarisha kukabiliana na vurugu kama zitatokea?
Hivi wanaposema ulinzi utaimarishwa unafikiri ina maana ipi?
Nilikuwa naelewa ni kuhusiana na chokochoko za mipaka ya nchi. Sikujua kuwa polisi wanatakiwa wajiandae kupambana na wanachi. Tunakoenda ni zaidi ya hatari. Polisi wako wangapi na wanachi wako wangapi? Duh! Hii ni hatari kabisa.