Rais Kikwete ateua wakuu wa mikoa mipya

Masikini ya Mungu! Hakuna RPC/OCD hata moja aliyeteuliwa.

Mi natamani angemtoa huyu OCD wa A town ndg zuberi kumpeleka Njombe ingekuwa la maana.
Amwepushe na laana ya hapa Mkoani anayofanya.

Na walaaniwe magamba wote!
 
Mbona ni recycling ile ile tu! hakuna jipya zaidi ya business as usual. Ni wakati mwingine tena JK anatakiwa atazame private sector manake hiyo public anayong'ang'ania haina tija na toka uhuru imekuwa ikibomoa tu. Akitoka nje anahubiri PPP lakini utendaji wake na uteuzi wake hauonyeshi kabisa nia yake ya kuwaendeleza wa Tanzania. Private sector ya Tanzania imekuwa ikikua japo kuna vikwazo kibao, nilidhani angekuwa mbunifu kwa kuwatumia watu hawa hili apigie hatua kuliko kung'ang'ania retired burea cracy na wasio kuwa na records katika kukuza sector binafsi.

Wote ni watanzania na tunayo haki ya kujenga nchi, ila fursa ndio wenye mamlaka wanazibania na kugawana kishkaji. Kama watu hawana mentalit za kibiashara hawafai kabisa sasa na kudumisha fikra za mwenyekiti na chama haitoshi kuwaletea maendeleo watanzania.
 
unaweza ukasikia ridhiwan kapewa ukuu wa wilaya.. Usishangae sana jiulize vigezo gani vinatumika??
sasa kilichosubiriwa kinakaribia. namaanisha wakuu wa wilaya. Ndugu zangu, acha kuongelea UNDUGU wala URAFIKI. kumbuka kutesa ni kwa ZAMU.
 
Domokaya halifungi ng'ombe mguu! HAMNA JEMA NYIE! kila atakalofanya ba mwana asha ni baya, ZURI KWENU NYIE LIPI?
 
Domokaya halifungi ng'ombe mguu! HAMNA JEMA NYIE! kila atakalofanya ba mwana asha ni baya, ZURI KWENU NYIE LIPI?
 
Inasikitisha sana tunapoambiwa kila siku kuwa Serikali haina fedha na inashindwa kulipa japo mishahara kwa watumishi wake kwa wakati unaotakiwa lakini Rais anaamua kugawa nchi vipande vipande. Leo unaambiwa mkoa mpya wenye wilaya mbili; kama sio kukosa uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi tuelewe nini kwa hilo.

Hivi kama taifa hatuna mambo ya msingi ya kufanya ama viongozi wetu wanajikita katika kupeana nafasi na kulitafuna taifa kwa faida yao na familia zao?
 
Wanaongeza gharama tu kwani mkuu wa mkoa asipokuwepo mambo hayaendi?mbona yanaenda tu,mkurugenzi wa halmashauri ndio mtendaji mkuu na ndiye mwenye wafanyakazi hivi vyeo ni zawadi tu kwa marafiki wa familia za watawala walio juu serikalini!!!!!!!!!!!!!
 
Maskini Ole Njolay. wananchi wote wa mikoa uliyopita wanajua utendaji wako wa kazi haswa mkoa wa mwanza. Hapa nimeamini huyu mzee hawezi kukuacha hata siku moja mkipishana..
 

Mkuu kwa jinsi ninavyojua utamaduni wa CCM mtu akishakuwa Waziri au Naibu Waziri huwa wanampa Ukuu wa Mkoa. Kwa Masha hana chake tena. Labda asubiri Wakuu wa Mikoa na Mabalozi wanaostaafu anaweza akapata nafasi. Kinachonisikitisha ni kwa nini JK kamdisi kiasi hiki wakati yeye ndiye aliyempandisha vyeo haraka haraka hatimae leo anashindwa pa kumchomeka!
labda hachomeki... zege lishaganda..
 
Kwa staili hii baada ya miaka mingine kumi tutakuwa na mikoa 50 kama kila mkoa tunapiga pasu mara mbili ndio staili ya KIKWETE ya kuongeza ajir... ni kujiongezea gharama zisizokuwa na kichwa wala miguu
 
Kuongezeka kwa Mikoa na Wilaya Mpya kwa nadharia ni maendeleo. Ilipaswa kukua huku kuendane na Uchumi. Kinyume chake hali ya uchumi haiakisi haya makuzi.

Kama Taifa tuwe na vipaombele. Haya ya mikoa mipya hayana uharaka
 
Huyo mkuu mpya wa mkoa wa Katavi Dr Rajab Mtumwa Rutengwe ni mtu wa kutoka Chalinze kwa akina Kikwete wametoka kijiji kimoja kabisa nakumbuka mwaka 2006 aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Ulanga alikuja shuleni Kwetu Kwiro kuja kujitambulisha ndo akatuambia kuwa anatokea na Chalinze kijiji kimoja na JK,naona sasa JK ameamua kumpa ulaji zaidi kwa kumteua kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Katavi.
 
Back
Top Bottom