Mwanaidi hiyo kazi ya kuwa balozi alikuwa haitaki akakubali kwa sababu ya uzalendo
baadae akaanza kuwa tishio kwa bosi wake wakawa hawaongei mama wa watu akataka kurudi Dar akaambiwa atulize ball anapewa DC
Nadhani wangemkubalia tuu kisha wakampa kijana achukue
Kuna watu competent kama liberata malamula sijui kwa nini hakupewa ubalozi maana naye ni inaonekna angefaa sana kule UN kwani wikileaks cables alikuwa anaonekana ni mwenye msimamo sana
sasa wamemeenda kumpotezea muda tuu kule great lakes
sijui naye alimuudhi nani
Sijui swali lako linalenga nini au linahusiana vipi na kile nilichoandika. Ila kwangu Suala sio ujana wa Kalaghe, January Makamba, Myika Au zitto kbawe au Uzee wa Marmo kuwa baozi wa Tanzani China , USA, Southa afrika.........Kalaghe anaonekana kijana kiasi au?
I hate to say this in public lakini it was not on our
1. NATIONAL INTEREST
2. PUBLIC INTEREST
3. COMMERCIAL INTEREST
4. FUTURE INTEREST
kumpeleka this OLD GUARD China. Are we really serious about cultivating our relationship with the this superpower or not?
Membe anahusika kwenye hili kwani JK kabla haja go public na hili lazima alipewa ushauri na waziri wake wa Mambo ya Nje kama huyu mtu anafaa kupelekwa China au la.
In short ni kuwa kuna uwezekano Mheshimiwa membe alisahau kumwambia JK kuwa China is THE great economic success story of the past 30 years. Na imeweza kuondoka kwenye umaskini watu zaidi ya milioni 600 toka kwenye umaskini na hawakufanya kwa kuwa na "OLD DINOSAURS" mithili ya Philip Marmo ambao hawana kipya kimawazo na kiakili
Wana JF ambao mshafika Guangzhou nadhani you all know well wa China walivyo wekeza kwenye manufacturing: Maybe Membe should have mentioned kama vile:
1. China is the largest global producer of toys, textiles, washing machines, cameras and computers (among hundreds of other products).
2. It is also the world's largest consumer of iron, steel, coal and cement, and China's hunger for raw materials continues. Over a million enterprises have flourished, and nearly 40 Chinese companies have entered the global Fortune 500 list.
3. Je Kwa nini hawakufikiria kufungua balozi ndogo Guanzshou, Shanghai au Hongkong?
4. Je Philip Marmo anazungumza Cantonese au Mandarin?
5. Je Marmo ameshakwenda China mara ngapi na ame cultivate business ngapi kule na zina net worth how much kwa Taifa?
Either way looks like decision makers wetu ambao wengi wao ni BABYBOOMERS na wako OUT OF TOUCH with 70% of the population (ambao ni under 30) kuwa hizi si zama za GEO POLITICS bali ni zama za GEO ECONOMICS and the old guards za akina Marmo & Co itakuwa ndio wale wale ambao watakaa pale Beijing na kazi kupokea wanasiasa badala ya ku broker major deals
Ushauri wa bure kwa mlio foreign. Nashauri muanze kuangalia Plan B kwani these old men are not ready to lleave anytime soon. Nashauri muangalie options zenu kwenye private sector na sio kukaa hapo mnaandika ma papers tuuu.
This is a sad day kwa kila kijana mwenye mwamko foreign lakini nawashauri uzalendo wenu ubaki pale pale japo si vibaya kuangalia options zilizopo
Mkuu hivi kati ya "kufanya hivyo" na "kuzungumzia hivyo", kipi kati ya hayo ni "kuwadhalilisha mama zetu" zaidi?Kaa la Moto sasa itakuwa kila Mwanamke anayepewa Uongozi ni kimada wa kiongozi flani hasa Mkulu, hapana tunawadhalilisha mama zetu. Tuwahukumu on their works kwa Taifa na sio mengine ambayo FACTS za ku-prove ukweli wake.
SD, i sympathize with your observation. Lakini, niseme hivi - hakuna uwezekano wa kutenganisha CCM na matokeo yake. Wakati umetumia China kama mfano, miye ningeuliza vipi kuhusu US? Tuna uhusiano mzuri sana na Marekani lakini ni kana kwamba hatutaki kutumia nafasi yetu hiyo kuweza kujenga mahusiano yenye manufaa sana kwa taifa. Wachina wameweza kujenga nchi yao kwa kuliingia soko la Marekani na kwa kweli Uchina umesimama sababu ya Marekani; je sisi tunashindwa nini?
Kwanini hatuna hata consular Office kama LA huko au hata Chi-Town?
Binafsi nakubaliana na wewe kabisa kuwa ni lazima tuangalie diplomasia siyo kwa kufuata siasa tu bali pia kwa kuangalia mahusiano ya kiuchumi siyo kama "economic diplomacy" ya Mkapa lakini "geo-economic diplomacy". Lakini haya yote ni matamanio ya njozini tu kwa sababu CCM inakuja na matokeo yake na mojawapo ya matokeo yake ni haya tunayoyaona, ambayo tumewahi kuyaona na ambayo tutaendelea kuyaona.
Wahemishiwa hii ndio profile ya Balozi wa USA kule China....naomba muisome kwa makini:
On March 9, 2011, President Barack Obama nominated Gary Locke to be the 10th Ambassador of the United States of America to the People's Republic of China. He was confirmed by the Senate on July 27, 2011 and was sworn in on August 1, 2011. He assumed duty as the Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary to the People's Republic of China on August 13, 2011.
Previously, Ambassador Locke served as the Secretary of Commerce where he helped implement President Obama's ambitious agenda to turn around the economy and put people back to work. As the administration's point person for achieving the President's National Export Initiative, he presided over a 17 percent increase in exports from 2009 to 2010, while exports to China saw a 32 percent increase. Ambassador Locke also oversaw a significant first step in the president's export control reform effort that strengthens national security, while making U.S. companies more competitive by easing their licensing burden for exports to partners and allies.
Before his appointment to the President's Cabinet, Ambassador Locke served two terms as Governor of Washington, the nation's most trade-dependent state. He expanded the sale of Washington products and services by leading 10 productive trade missions to Asia, Mexico and Europe. During the eight years of the Locke administration, Washington State gained 280,000 jobs despite two national recessions.
As both Governor and Commerce Secretary, Locke's innovations in government efficiency, customer focus, and priority based budgeting, as well as successful and under-budget management of high risk initiatives, have won him acclaim by nationally recognized authors and organizations, including Harvard's Kennedy School of Government.
Along with his longstanding commitment to public service, Ambassador Locke has extensive experience working with China. As Secretary of Commerce, he co-chaired two sessions of the U.S.-China Joint Commission on Commerce and Trade that resulted in important changes to Chinese trade policy, helping to level the playing field for U.S. businesses exporting to and operating in China. As Governor of Washington, he successfully strengthened economic ties between China and Washington State, more than doubling the state's exports to China to over $5 billion per year. As a partner in the Seattle office of the international law firm, Davis Wright Tremaine LLP, he co-chaired the firm's China practice.
Ambassador Locke is the first Chinese-American to serve as Ambassador to China, as Secretary of Commerce and as Governor. His grandfather emigrated from China to Washington State, initially finding employment as a servant, working in exchange for English lessons. His father, also born in China, was a small business owner, operating a grocery store where Ambassador Locke worked while receiving his education from Seattle's public school system.
Ambassador Locke earned a bachelor's degree in political science from Yale University and a law degree from Boston University. He is married to Mona Lee Locke and they have three children together: Emily, Dylan, and Madeline.
Embassy of the United States Beijing, China - Ambassador
usisahau kuzoa matapishi na kusukutuaNashindwa nianzie wapi kumtafakari JK!
Natamani nitapike sasahivi!
kama wananchi wa manyara walimkataa ameshindwa kuwawakilisha vyema Dodoma(bungeni) ije iwe kuwawakilisha watanzania wote kule uchina? JK amecheza na akili zetu kiasi cha kutosha sasa tuseme basi....amekuwa mtu wa haraka kutimiza ahadi kwa marafiki zke lkn sisi wanyonge hatutimiziwi ahadi zetu. kumbuka kipindi anawaambia wana CCM waliokosa kuchaguliwa ndani ya chama "MSIWE NA WASI KUNA KAZI NYINGI NDANI NA NJE YA CHAMA WOTE MTAPEWA KAZI" ndo ujinga tulio letewa wa akina Marmo.kiukweli hata mimi nimeshangazwa sana,kwani tunapeana vyeo kwa kuangaliana usoni na wala sio uwezo wa mtu husika? hivi kweli Marmo ataweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka pale? nadhani hawajamaa wanakuja china kibiashara zaidi na sio kulisaidia Taifa hii inashangaza sana ok,ngoja tusubiri tuone
I think majina yanapendekezwa na Membe kisha anampelekea yule babu mwenye mvi pale ikulu kisha yule anampa rais lakini badou anaingiza majina ya watu wake pia....kama anavyofanya kwenye uteuzi wa positions zingine serikalini
I hate to say this in public lakini it was not on our
1. NATIONAL INTEREST
2. PUBLIC INTEREST
3. COMMERCIAL INTEREST
4. FUTURE INTEREST
kumpeleka this OLD GUARD China. Are we really serious about cultivating our relationship with the this superpower or not?
Membe anahusika kwenye hili kwani JK kabla haja go public na hili lazima alipewa ushauri na waziri wake wa Mambo ya Nje kama huyu mtu anafaa kupelekwa China au la.
In short ni kuwa kuna uwezekano Mheshimiwa membe alisahau kumwambia JK kuwa China is THE great economic success story of the past 30 years. Na imeweza kuondoka kwenye umaskini watu zaidi ya milioni 600 toka kwenye umaskini na hawakufanya kwa kuwa na "OLD DINOSAURS" mithili ya Philip Marmo ambao hawana kipya kimawazo na kiakili
Wana JF ambao mshafika Guangzhou nadhani you all know well wa China walivyo wekeza kwenye manufacturing: Maybe Membe should have mentioned kama vile:
1. China is the largest global producer of toys, textiles, washing machines, cameras and computers (among hundreds of other products).
2. It is also the worlds largest consumer of iron, steel, coal and cement, and Chinas hunger for raw materials continues. Over a million enterprises have flourished, and nearly 40 Chinese companies have entered the global Fortune 500 list.
3. Je Kwa nini hawakufikiria kufungua balozi ndogo Guanzshou, Shanghai au Hongkong?
4. Je Philip Marmo anazungumza Cantonese au Mandarin?
5. Je Marmo ameshakwenda China mara ngapi na ame cultivate business ngapi kule na zina net worth how much kwa Taifa?
Either way looks like decision makers wetu ambao wengi wao ni BABYBOOMERS na wako OUT OF TOUCH with 70% of the population (ambao ni under 30) kuwa hizi si zama za GEO POLITICS bali ni zama za GEO ECONOMICS and the old guards za akina Marmo & Co itakuwa ndio wale wale ambao watakaa pale Beijing na kazi kupokea wanasiasa badala ya ku broker major deals
Ushauri wa bure kwa mlio foreign. Nashauri muanze kuangalia Plan B kwani these old men are not ready to lleave anytime soon. Nashauri muangalie options zenu kwenye private sector na sio kukaa hapo mnaandika ma papers tuuu.
This is a sad day kwa kila kijana mwenye mwamko foreign lakini nawashauri uzalendo wenu ubaki pale pale japo si vibaya kuangalia options zilizopo
Asante Mkuu, hii sentensi ni moja tu lakini inaujumbe mkubwa sana. I wish nchi nyingi za Africa na haswa yetu tungejua maana ya Ubalozi. Sisi mabalozi wetu wanakwenda kutafuta wawekezaji, na kuwatafutia scholarship watoto wa vigogo pamoja na biashara.Ubalozi una maana kwa nchi zenye makoloni na ubepari uliobobea, wanawatumia kulinda interests zao, na siyo sisi ambao ndo makoloni yenyewe...
Christ said:Najaribu kukumbuka kuhusu lile lililomtokea mh.Chediel Mgonja enzi za Mwalimu na Sokoine....
Mwalimu alimteua Mgonja kua mkuu wa mkoa fulani katikati ya nchi baada ya kukataliwa na wananchi wa Same.
Sokoine alimfuata Mwalimu na kumtaka ushauri:Eti Mwalimu tulipokubaliana kua kiongozi akikataliwa na wapiga kura wake iweje vile?
Mwalimu akashituka.
Next morning kabla Mgonja hajachukua per diem yake uteuzi ukatenguliwa!
Hapo vipi wanaJF?Je ni jambo la katiba au ni utekelezaji wa maazimio ya vikao rasmi vya kitija vya then "one party system?"
Nadhani kina PM wa sasa alikuwepo-tunaomba asaidie katika hili.
Kaa la Moto sasa itakuwa kila Mwanamke anayepewa Uongozi ni kimada wa kiongozi flani hasa Mkulu, hapana tunawadhalilisha mama zetu. Tuwahukumu on their works kwa Taifa na sio mengine ambayo FACTS za ku-prove ukweli wake.